Mtoto akisha kua atatanganzwa RC

Jamani mtang'oana meno bure,

Pinda alisema kuwa uteuzi wa ma-DC na ma-RC unangoja uundwaji wa mikoa na wilaya mpya ukamilike.
Suala la kujiuliza ni lini uundwaji huo utakamilika
 
Sio kwamba Dar haina RC bali nchi nzima. Ni kwamba baada ya kuingia ikulu, jamaa alitakiwa kuteua ma RC na ma DC, wote waliopo sasa wanakalia viti hivyo kwa sababu tu kwamba jamaa hajafanya uteuzi.

Dar inaonekana kwa sababu RC wake ameshinda ubunge. Mwanza ingekua hivyo pia endapo Kandoro angeshinda Iringa, ma rc wengi walichakachuliwa kwenye kura za maoni, Kandoro, Nsekela, Mbega, nk. jamaa anapata kigugumizi kwa sababu walioko benchi ni wengi.

Hajui amweke nani amwache nani. Inasemekana mama wa Arusha anabembeleza abaki pale pale arusha ili ajitengenezee mazingira ya kumng'oa Lema 2011.
 
Hv sijui tunaelekea wapi Tanzania,DSM haina RC kwa muda sasa hii sio kusema wenye sifa hawapo bali propaganda zinaendelea,Kuna kitu nyuma ya pazia kina eleza kuwa kuna yule aliyekosa jimbo Arusha mjin ndiye mlegwa,akimaliza kulea basi jiji litapata RC.


na vp kuhusu Njoruma ,Katavi na mingine?
 
Kwani kuna shida gani kukaa bila mkuu wa mkoa.mi naona tusubiri huyo mtoto wa watu akue.
Kwani wamempa matenite livu ya muda gani?Mambo mazuri hayataki haraka.
 
Sio kwamba Dar haina RC bali nchi nzima. Ni kwamba baada ya kuingia ikulu, jamaa alitakiwa kuteua ma RC na ma DC, wote waliopo sasa wanakalia viti hivyo kwa sababu tu kwamba jamaa hajafanya uteuzi. Dar inaonekana kwa sababu RC wake ameshinda ubunge. Mwanza ingekua hivyo pia endapo Kandoro angeshinda Iringa, ma rc wengi walichakachuliwa kwenye kura za maoni, Kandoro, Nsekela, Mbega, nk. jamaa anapata
kigugumizi kwa sababu walioko benchi ni wengi, hajui amweke nani amwache nani. Inasemekana mama wa Arusha anabembeleza abaki pale pale arusha ili ajitengenezee mazingira ya kumng'oa Lema 2011.
Kwa Arusha mama asahau kumng'oa Lema hakuna wa kumpigia kura labda familia yake.Arusha hatuitaki ccm pmj na viongozi wake na kulidhihirisha hili Polisi warudie ile mambo walifanya ma'peole wakafa,safari hii watatuua wote tumekamilika sn
 
1. Labda kama JF kimekuwa kijiwe cha majungu, matusi, mambo ovyo ovyo tu..Basi endeleeni...........

2. Labda baadhi yetu tunapost na kujibu hoja ili kutoa dukuduku na chuki zetu dhidi ya Utawala wa sasa....na pengine ni sawa tu endeleeni.....

3. Labda ni kweli kuwa JF hapa kuna baadhi ya watu wanalo lao jambo, poa tu endeleeni......

4. Lakini kama hayo si kweli ninadhani tuwe na subira ili tuone ni akina nani watateuliwa katika nafasi za Ma-RC, Ma-DC na Ma-DED, kisha tuanze kuwajadili maana tutakuwa na vigezo.

Umeahidiwa nini ?
 
Hv sijui tunaelekea wapi Tanzania,DSM haina RC kwa muda sasa hii sio kusema wenye sifa hawapo bali propaganda zinaendelea,Kuna kitu nyuma ya pazia kina eleza kuwa kuna yule aliyekosa jimbo Arusha mjin ndiye mlegwa,akimaliza kulea basi jiji litapata RC.

Wewe Liwolo lazima utakuwa kigogo fulani unayeotea kuukwaa huu u-RC. Unaona wanakuchelesha au kitumbua kinachukuliwa.

Sisi watu wa kawaida wala hatuoni umuhimu wa kujaza hiyo nafasi. Akipewa BB sawa, akipewa YM sawa, sisi tutaendelea kuikimbiza shillingi watoto wale.

Nakutania Bana. Wewe siyo kigogo. Wikendi njema.
 
Back
Top Bottom