Mtoto akikupiga chabo

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
Hi JF members.
Kuna ubaya wowote kama itatokea mtoto wako wa miezi 3-6 ambaye unalala nae atakuona ukifanya mapenzi na mama yake
 
Sidhani kama kuna tatizo kwanza haelewi lolote ila si vizuri maana akizoea ataadhirika kisaikolojia hapo baadaye. Na pia brain ya watoto huwa haisahau kitu kwa hiyo kuwa muangalifu sana.
 
Siyo vzuri kiukwel kwanza mtoto anakuwa anajengewa tabia mbaya.
 
Sasa solution ni ipi ukizingatia mtoto ni mdogo wa miezi 3-6 ni ngumu kumlaza peke yake na usiongelee wazazi kuacha kufanya mapenzi
 
...inakwaza sana, hata raha na hamu ya kuendelea inakwisha.
 
Jamani mtoto wa miezi 3-6 ana akili gani?????? Mtoto kama huyo bado hana akili yeyote ya kuweza kujua chochote.
We fanya tu kile unachotaka kukifanya maana huyo bado hana utambuzi wowote.
Ingelikuwa labda mtoto wa miaka 3-6 hapo noma tena sana.


Take care!!!!
 
Sasa solution ni ipi ukizingatia mtoto ni mdogo wa miezi 3-6 ni ngumu kumlaza peke yake na usiongelee wazazi kuacha kufanya mapenzi

Kwanza nashangaa mtoto wa umri huo kulala na nyinyi, kiafya siyo sawasawa. Sio vibaya kuwa chumba kimoja lakini anatakiwa awe na kitanda chake kidogo pembeni.
 
Mbu;...inakwaza sana, hata raha na hamu ya kuendelea inakwisha.

Umeona mkuu, haipendezi mko katika hiyo shughuri mtoto anawatolea macho. Miezi sita mtoto anaelewa mbona na akili hapo inanasa kwelikweli mambo. Inavunja stimu .... mtoto alale kwenye kitanda chake. Tendo la ndowa ni la wawili haipendezi awepo wa tatu hata kama ni mdogo. Hamtendei haki mtoto kwakweli katika hilo.
 
Back
Top Bottom