Mtoto aishi na mama yake mzazi kinyumba miaka 10

Yani hata ndugu,jamaa,marafiki na wanakijiji wanawachekelea tu wanafanya ujinga huu,hata sodoma ndo walifanya haya!
 
Kweli mapenzi balaa..duh!
Sasa tumebakiza nini tena..kama mtu aweza kumuoa mamaake mzazi??
 
haya mambo wanaweza mbuzi na ng`ombe binadamu mwenye akili timamu anazama alipotokea?Mungu tusamehe uovu huu ndio maana hatuendelei
 
Ni dunia inaelekea mwisho, kha jamani pengine hawana akili za kibinadamu
 
Hii haikubaliki kidini, kimila, kidesturi, kimaendeleo, kimagharibi, kiarabu/kimashariki ya kati wala ya mbali, hata kishetani pia haikubaliki!!! cjui inatoka wapi hii.....
 
Hiyo dhambi siyo kwa watu kusini tu. Kwa kweli imezuka katika sehemu nyingi hapa Tanzania kwa kina mama kuishi kindoa na watoto wao wa kuzaliwa. Mwenyezi Mungu atuepushe na baa hilo.

Mkuu hebu sema ni wapi maana ni aibu na hatari kabisa. Vitabu vya dini vimekataza kwa ole wake auchunguliaye u----c---h--i wa mke wa babaye au amchunguliaye babaye akiwa u--c--h--i na ole wake azaaye na umbule (dada na kaka). Sasa huu si mwisho wa dunia? another Sodoma and Gomora!! Kweli wazee wa mila katika ukoo huo wa Mapunda walifumbia hili jambo macho? Ni ufirauni wa kutupwa, ni laana ya vizazi!!!
 
Hii haikubaliki kidini, kimila, kidesturi, kimaendeleo, kimagharibi, kiarabu/kimashariki ya kati wala ya mbali, hata kishetani pia haikubaliki!!! cjui inatoka wapi hii.....

Yaani hata hizo nchi za wenzetu ambao tunasema wameendelea hili halipo!!! sana sasa kwa africa nimeona baba na binti na kaka na dada japo pia linakatazwa kwa nguvu na ni laana. Sijui mtu wa namna hii tumuite nani, kafiri au nani sijui.
 
Hawa walevi wa matap tap wamekolezwa na ma pombe wanakufuru,waone kwanza....hata aibu hawana!!hizo ni pombe tu sio kingine!
 
Ndugu zangu na wapenzi wa nyumba hii ya MMU,

Jana nilisoma hadithi ya kusikitisha kwenye gazeti la Mwananchi. Hadithi hii kutoka Songea (Na Joyce Joliga) inaeleza kisa cha mtu na mama yake ambao wameishi pamoja kama mume na mke kwa zaidi ya miaka 10.

Mama huyo, Condranda Ngonyani (70 yrs old) alisema hivi..."Naomba mnisamehe, ila niwe mkweli, huyu mwanangu ndiye alikuwa mume wangu kwa zaidi ya miaka kumi. Ila kwa sasa namruhusu atafute mke. Mimi sitaki tenana nimeshachoka kwani umri wangu umekwenda na huyu jamaa ana nguvu sana". Ila kwa maelezo zaidi, ni kwamba alimependa sana huyo kijana wake na alikuwa anamfurahisha na kumridhisha sana kimapenzi.

Naye kijana Joseph anakiri kuwa alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mama yake toka 2002 baada ya baba yao kufariki. Alisema kuwa wakati wanaanza uhusiano na mama yake alikuwa na mke. Hata hivyo, mke wake alivyofahamu mambo hayo aliachana naye ingawa hakutoa siri hiyo kwa watu wengine,

Mambo hayo yalifumuka baada ya mama mmoja aitwaye Flora Ndembo kuanika upuuzi huo hadharani. Hali hiyo ilivuta umati wa watu ambao walianza kuwazomea hadi wakaomba radhi.


Je hawa ni wazima kichwani (mentally sound)?? Kama si wazima, inawezekanaje wagonjwa wawili wakakutana kirahisi na namna hiyo? Kama kweli ni wazima, hii inawezekanaje katika hali ya kawaida?


Babu DC!!
 
Back
Top Bottom