Mtoto adhalilishwa msibani kwa Barlow

ndio maana sipendi msongamano na wanamme, alinikosa kosa mmoja.

Na daladala kama imejaa sipandi, vinginevyo nikachuchumae kwenye gia ya dereva.
 
Nawasikia SI.

Basi ndio kazi yao hio.. Wako so fast na full time ndude zao(chululu) zinakuwa zimesimama na yuko karibu kuwamwaga wazungu anytime ...yani anakuwa na njaa kama ya mwaka mmoja hivi kumbe jana yake tu ndio katoka kumwagia mtu kwenye daladala.. So akikukaribia anatoa ndude yake anakuachia wazungu then yeye anasepa fasta..
 
ukizingati shule ya Nyamagana na uwanja vilivyo karibu?

Afu ndio na mwalimu wao aliyesasabisha, lazima waliambiwa waende msibani au waende home.

watoto hawakwenda shule
umesahau ni msiba wa shemeji ule
walimsindikiza mwalimu wao
 
unadhani atasema kwao??

Wala hawezi sema, ni aibu sana.
uoga na uelewa mdogo unasababisha watoto wa kike kudhalilishwa sana.mimi niliponea kubakwa mara 3 mara mbili na mtu mmoja na sikuwai kumwambia mtu hadi kesho
but huyo bazazi nilipokuwa mkubwa mwaka juzi nilimface nikamwambia unakumbuka zamani ulitaka kunidfanya nini wewe mbuzi ananiogopa kweli kweli huyo mzee
 
Smile, mimi ni mwanaume lakini hiyo kwangu ni mpya, yaani jamaa alichomoa kiungo chake cha siri na kumwaga! ili iweje? Sipati picha hata kama ni ukame, ukame gani huo.

Mie sishangai mimi ilinitokea kwenye daladala nikitoka Mwenge kwenda Posta miaka ya 19s tukampeleka Oyesterbay jamaa mpaka nilishanga tena sikuwa nimesimama tumekaa na yeye kwenye siti moja nikasikia kitu cha moto kinanimwagikia kha???
 
useme uonekane mhuni??

Unapambana kimya kimya tu.

Yaani mazingira magumu sana kwa mambinti.

uoga na uelewa mdogo unasababisha watoto wa kike kudhalilishwa sana.mimi niliponea kubakwa mara 3 mara mbili na mtu mmoja na sikuwai kumwambia mtu hadi kesho
but huyo bazazi nilipokuwa mkubwa mwaka juzi nilimface nikamwambia unakumbuka zamani ulitaka kunidfanya nini wewe mbuzi ananiogopa kweli kweli huyo mzee
 
Kusema ukweli inasikitisha. Hasa na hili wimbi la wababa kupenda watoto wadogo, mbona wenetu wako mashakani jamani?? Na huo uwoga wanaouzingumzia Dada Kongosho na Da Smile ndo kabisaaa, tutajashtukia tunauguza maradhi na kulea wajukuu tusiowatarajia. Eh Mola tunusuru.
 
mtu akininajisi haki naondoka na huyo mdudu wake
Ngumu gundua wkt mzigo unamwagiwa kwenye nguo baadae ukipoa utagundua kitu cha baridi kimepenya mwilini ukishika unakutana na mtelezo mithiri ya mlenda wkt huo njemba imeshuka kituo kilicho pita
 
Kusema ukweli inasikitisha. Hasa na hili wimbi la wababa kupenda watoto wadogo, mbona wenetu wako mashakani jamani?? Na huo uwoga wanaouzingumzia Dada Kongosho na Da Smile ndo kabisaaa, tutajashtukia tunauguza maradhi na kulea wajukuu tusiowatarajia. Eh Mola tunusuru.
Kuepuka janga hili wazazi watengeeni bajeti ya chipsi kuku na soda
 
Hiyo ni kazi ya Dunga dunga. Kuna kipindi Dala dala za Dar hayo yalikuwa mambo ya kawaida hasa kwa Wadada/Wamama waliojazia miili.
 
Ila mwali, mie nashangaa malezi ya siku hizi. Huyu binti alikuwa anahusikaje na msiba huu? Nimeangalia kimya kimya watoto wa shule wengi kwenye kuaga nikajisemea waalimu hawawajibiki siku hizi. Enzi zetu ukifiwa unakuja kuchukuliwa shule na mzazi ama mwakilishi akiwa na barua ya mzazi!
Nasikitika yaliyomkuta, nashukuru Mungu hakubakwa kabisa.
SI si alikwenda naye kuaga mwili wa Kamanda wake jamani? Au hana haki?

Ila tukumbuke kuwa si kila mtu huwa na nia iliyo njema kila wakati, humo humo kwenye mkusanyiko kuna walokwenda kwa nia ya kuiba ingawa sidhani kama huyo alotenda kitendo hicho alikwenda kwa nia ya kutenda hivyo au ni kawaida siku hizi??
 
huyo hajabaka jamani lakini kwa kawaida huyo mwanaume alipatwa na kitu kinachoitwa mfadhaiko!
inawezekana katika foleni huyo mwanaume alikuwa nyuma ya binti, na makalio yake yalipogusana na dushelele yake ndo ikaerupt maana alikuwa haja doo siku nyingi
mpeni pole binti, na jamaa aliyepatwa na mfadhaiko mwambieni awe anapiga pu.nye.to inasaidia kuondoa ukame
 
Mimi ningedili na waalimu. Nadhani nitakuwa na clear time table for my kids, saa ngapi wanaenda shule, saa ngapi wanatoka na saa ngapi wanafika home (allowance ya foleni time). Waalimu watakuwa na clear instructions, wanangu hawatoki bila mimi kuwachukua ama baba yao! Waalimu ni walinzi wa watoto, why watoto wanafugwa huria kama mbwa koko (forgive my lingua)
Hivi huyo mtoto hakupaswa kuwa shuleni wakati huo?

kulikuwa na ulazima wa yeye kuwepo msibani?

ningekuwa mzazi ningeanza na bakora kwa mtoto
nani alimtuma kwenda?
 
Heeh! Sasa bomba aliliachia side ways! Pole sana, that would haunt me!
Cha kusikitisha polisi watakuwa walipewa tshs 20,000 tu na kumuachia jamaa. Damn this cursed country!

Back
Top Bottom