Mtizamo tofauti kuhusu kipigo kwa Dr Ulimboka

Nimekuwa nikisema mara kwa mara, kwamba sionhi huruma kwa yaliyomkuta Ulimboka. Biblia inasema MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI. Yeye amewaongoza wenzake kudai haki zao kwa kumwaga dhambi za watanzania maskini wasio na hatia yoyote. Yeye kama mwenye akili angeweza kuwashauri na kuwashirikisha wenzake kutumia mbinu mbadala ya kudai haki zao na siyo kuua watanzania maskini wasio na kipato cha kununua hata kadi ya Tshs. 500 ya kumuona Daktari.

Mwenyezi Mungu ameamua kumuumbua kwa kumuona hicho alichokipata. Hebu atafakari na ajiulize yeye asingekuwa Daktari angekuwa raia wa Tanzania asiye na fedha amevamiwa na Majambazi na kumpa kipigo hicho cha paka mwizi kisha yeye Ulimboka akawa ni mgonjwa na amepelekwa Hospitali akiwa taabani namna hiyo kwa kipingo akakuta Madaktari wamegoma. na anakwa hana wa kumuhudumia eti wanadai haki zao za kuongezewa Mshahara kutoka 900,000/- hadi wanavyotaka wao wakati kuna waliosoma miaka kama yao wanalipwa Tshs. 500,000/? Mimi nasema hilo ni fundisho kwa Madaktari wengine wote.
 
acha ungese ww....nisome kwa shida...nilipwe kidogo...nifanye kazi kwa shida....na ujue kabisa madaktari ni tofauti na walimu...kuanzia qualifications zinazotakiwa ili kujiunga na masomo hayo.....waliofeli hupelekwa kuwa walimu.....
Tumia hekima ,si kwamba wote wanaofaulu hayo masomo ya PCB,CBG,CBA sekondari(advanced level) wanachagua kusomea udaktari naomba tusichefuane nyongo bure.Watu wako katika professions mbalimbali kwa sababu mbalimbali sio kufaulu mitihani tu.Kila mtu kwa nafasi yake ,taaluma yake ni muhimu katika nchi hii.Don't display your unneccessary proffessional arrogance!!!
 
Ulimboka ni kiongozi wa magaidi wauaji wa raia wanyonge. Mwache aonje joto ya jiwe!

unamfananisha na nani?, yule anayeidhinisha trilions kila mwaka kwa ajili ya ziara za kwenda ughaibuni kupigapicha na akina Beckam huku akiwaacha manesi hawana gloves za kuwahudumia wazazi?!, huyu anayeidhinisha mamilioni kila mwaka ya kununulia magari mapya huku wazazi vijijini wakipelekewa pkpk za miguu mitatu?, huyu anayehongwa suti na mapumziko hotelini na ku-offer tax excemption in reward na kuziacha hospitali bila dawa?. Fafanua tafadhari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom