Mtizamo tofauti kuhusu kipigo kwa Dr Ulimboka

Kutoa maoni kuhusu kupigwa kwa Dr Ulimboka kunataka hekima ya hali ya juu,ngoja tuendelee kusikiliza yanayotokea na ukweli utajulikana, pole DR.
 
Ullimboka anatumiwa na watu wa nchi ile ya kaskazini kudhoofisha serikali. Sijui kwa nini hawakumpa kilema cha maisha muuaji huyu!
 
Historia inaonyesha kuwa wapambanaji waliotekwa na uwt,huchomwa sindano ya sumu ili mtu afe polepole
 
Hata wao pamoja na huyo DHAIFU anayewatuma hawataishi milele, watakufa tu.
 
Yawezekana maisha ya watu wangapi yanateketea kwa mgomo wao. Wenye mawazo mafupi hutukana humu. Sasa yeye anatibiwa na nani au mgomo kwao na familia zao hauhusiki?

acha ungese ww....nisome kwa shida...nilipwe kidogo...nifanye kazi kwa shida....na ujue kabisa madaktari ni tofauti na walimu...kuanzia qualifications zinazotakiwa ili kujiunga na masomo hayo.....waliofeli hupelekwa kuwa walimu.....
 
Mtazamo wako umetoka kwenye tundu lako la nyuma! Pambaff gamba weee!
hiyo ndio democrasia uliyofundishwa na slaa??!
kila mmoja yupo huru kuwasilisha wazo lake kenge wewe!
kama vipi pinga hoja si matusi,halafu ni kama vile hawa wanaosimamia blog hii wameipenda comment yako yenye matusi hawajaifuta mpaka sasa?
 
acha ungese ww....nisome kwa shida...nilipwe kidogo...nifanye kazi kwa shida....na ujue kabisa madaktari ni tofauti na walimu...kuanzia qualifications zinazotakiwa ili kujiunga na masomo hayo.....waliofeli hupelekwa kuwa walimu.....
nani alikutuma kuwa doctor,si bora uwe mwanasiasa kama kina c.lissu upate ofa bure za pombe!
 
Yawezekana maisha ya watu wangapi yanateketea kwa mgomo wao. Wenye mawazo mafupi hutukana humu. Sasa yeye anatibiwa na nani au mgomo kwao na familia zao hauhusiki?
Nadhani somo amelipata

Mimi ni mhanga wa mgomo uliopita nilipata ajali kona ya Dito nikafika muhimbili mgomo sasa nadhani he can feel the rhythm aone how it feels like the moment you need some one to save your life unaambiwa mgomo.

Kwani yeye nani angekufilia mbali Shenzi Kabisa........wengine kwani Hawana roho yeye ndio nani?

Aonje Madhara ya hicho anachokisimamia to its reality......nimependa Hajafa kwani asingeonja uchungu wanaopata wanyonge sasa anaetukana atukane ila na yeye ameonja.....na ningekuwepo au kumjua km ni yeye anapigwa nami ningeshiriki ....nimependa sana hii...
 
Wana JF

Tuwe tunajaribu kufikiri zaid ya maono yetu kwan macho siku zote upoteza uwezo wa kufikiri zaidi,kwa mtazamo wangu napata picha ya watu wenye kuuguliwa sana na ndugu zao wameamua kumpa somo Dr. Ulimboka kuwa kuongoza kwake mgomo kunawapa watu maumivu na vifo, hivyo basi nae aonje joto la jiwe ile asiongoze mgomo tena dhidi ya uhai wa binadamu kwa maslai yake..

NAWASILISHA WANA JF,NI MTAZAMO TU.

Umejiunga lini JF? hivyi nyie uwezo wenu wa kufikiri ndio umeishia hapo, kama kweli nyinyi ndio wanausalama wa nchi hii!!! nachelea kusema kuwa mnafikiri kwa kutumia masaburi, yaani wewe ndo wamekutuma uje ujiunge leo uangalie tunafikiri nini?
 
Mtazamo wako umetoka kwenye tundu lako la nyuma! Pambaff gamba weee!

naona yalio tokea libya , na syria sasa yanakuja tanzania ..utabiti wa mrema....

huko libya wakundi ya kutumika walikua wakiua watu then akisingiziwa ghadafi na serikali yake..hatimae tunajua kilichofata...
na huko syria wauaji walio funzwa vyema wanauwa vichanga , watoto na wanawake then wanasingiziwa majeshi ya serikali...propaganda zinapigwa dunia nzima kwamba serikali ya Bashar assad inaua...mbona huko nyuma hajamuua hata sisismizi ?
mbinu hizi zilitumika sehemu nyingi ..lengo kuifanya jamii waichukie serikali yao....
naomba serikali ichuke tahadhari kubwa na kufanya uchunguzi wa kina na pia ushauri wa mrema na kauli yake kwamba aliwahi kuitwa na ubalozi mmoja ili kufanya mambo kama haya lakini mrema alikua shujaa na mzalendo halisi akakataa.

hakuna mantiki kwa serikali au pinda au kikwete kuwa wanahusika...serikali sana sana ingewafukuza hawa madaktari na kuwapiga marufuku kufanya shughuli yoyote ndani ya nchi.basi ingetosha kuwa ni adabu ya kwao kugoma kwa sababu za kisiasa.
tujihadhari...
 
Umefika kwenye shule zetu? Kuna walimu wanajisaidia porini, wanafunzi wanakaa chini. Nenda ofisi za ardhi, wafanyakazi hawana vitendea kazi hata ofisi hawana. Nenda viwanja vya ndege, matatizo tele. sasa kwa nini madaktari tu ndio wagome? Na unapogomea kudai kuboreshwa mazingira unataka kutuambia serikali inaweza kuboresha mazingira hayo over night?

Kama wewe unawakilisha idadi ya Watanzania wengi, ndiyo maana tumeendelea kiasi hiki...wewe huna macho ya kuona kuwa uwezo upo bali ni ubinafsi unaosababisha hali mbaya za mashule na mahospitali na maofiosi mengine ? Hakika kuna wa evolution ambayo ni incomplete,matumizi ya matanuzi ya viongozi wa serkali yako unaona ni halali kuliko kuwekeza kwenye huduma bora za mahospital na mashule ? wengi wa mawaziri tunawafahamu wakiwa raia na watumisshi wa kawaida wakitumia magari yenye cc kidogo ili kupunguza matumizxi ya mafuta,wakipewa uwaziri sijui pepo gani linawaingia hadi wanadhani hawezi kutumia magari yenye cc ndogo ili kuokoa fedha za taifa,wewe unataka waendelee kula pepo tu,mgomo no njia ya kuwakumbusha wapiga kura uzembe wa serikali walkiyoiweka madarakani na kama unawaathiri wapiga kura kama hivi wa madaktari ni nyenzo nzuri ya kuwapa wapiga kura elimu ya uraia ambayo serikali haitaki waijue. AMKA NDUGU TUOKOE TAIFA.
 
WAZILI MKUU [PINDA] BILA SHAKA NA RAISI WAKE KIKWETE WANAUSIKA NA MAJARIBIO YA MAUAJI YA ULIMBOKA KWANI MUNGU AME IHIFADHI BADO ROHO YAKE IWE HAI , SASA HUYU PINDA ALIKUWA NAMAANA GANI KUSEMA LIWALO NA LIWE LAKINI MADAKTALI WATARUDI KAZINI HAKIKA ALIKUWA ANAJU KILA KITU KUWA DR AMEKWISHA KUFA NA NDIO MAANA ALIKUWA NA UJASILI KATIKA KUTOA KAULI HIYO AKIWA AMETAARIFIWA KAZI IMEKWISHA:hatari: HATIMAYE AMEAIBIKA NA ANATUFANYA WATANZANIA WOTE WAPUMBAVU KAMA WAO BAADA YA KUMSHAWISHI DR KWA KUMPA RUSHWA NA AKAKATAA KABISA WAMEONA NI BORA KUMUUA HATA KUTUMIA AKILI ZA MBAYUWAYU ZIKO WAPI LAKINI JUENI MUNGU SI DHALIMU KAMA CCM NA WEWE PINDA NA KIKWETE
 
naona yalio tokea libya , na syria sasa yanakuja tanzania ..utabiti wa mrema....

huko libya wakundi ya kutumika walikua wakiua watu then akisingiziwa ghadafi na serikali yake..hatimae tunajua kilichofata...
na huko syria wauaji walio funzwa vyema wanauwa vichanga , watoto na wanawake then wanasingiziwa majeshi ya serikali...propaganda zinapigwa dunia nzima kwamba serikali ya Bashar assad inaua...mbona huko nyuma hajamuua hata sisismizi ?
mbinu hizi zilitumika sehemu nyingi ..lengo kuifanya jamii waichukie serikali yao....
naomba serikali ichuke tahadhari kubwa na kufanya uchunguzi wa kina na pia ushauri wa mrema na kauli yake kwamba aliwahi kuitwa na ubalozi mmoja ili kufanya mambo kama haya lakini mrema alikua shujaa na mzalendo halisi akakataa.

hakuna mantiki kwa serikali au pinda au kikwete kuwa wanahusika...serikali sana sana ingewafukuza hawa madaktari na kuwapiga marufuku kufanya shughuli yoyote ndani ya nchi.basi ingetosha kuwa ni adabu ya kwao kugoma kwa sababu za kisiasa.
tujihadhari...

Well said Mkuu, hata mimi kitendo hiki kimenisikitisha/kilinishangaza sana! Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kweli kutumia cowboy tacticts za namna hii kwa RAIA wake hata kama amekosea kupindukia?
 
MIMI NASHANGAA SANA WATU WANAPOTEZA MUDA WAO KUTAKA KUMUUA MTU AMBAYE NYUMA YAKE WAKO WATU KAMA MILIONI KADHAA KAMA YEYE.JE WANATAKA KUWATISHA WATANZANIA TUSIDAI HAKI ZETU?FINE.NINACHOTAKA KUWAAMBIA HAO WAHUSIKA WAKIWEZA KUNYAMAZISHA WATU 'HATA MAWE YATAONGEA.ee MWENYEZI MUNGU MPE NGUVU ULIMBOKA SHETANI APATE AIBU

Amina.
 
Nimefurahi sana kupigwa kwako,migomo ya kipuuzi Kabisa,Watu wangapi wameteketea?halafu wao wanatibiana. kwahiyo walimu nao wagome? maengineer nao wagome?wafagizi nao wagome? Upuuzi mtupu.operation chakaza wachakazeni hao madaktari wapuuzi tena ninahasira nao kweli
 
'Paradigm thinking' Huo ni mtizamo wako lakini possibilities ziko nyingi ,mfano labda watu hawa wametumwa na serikali ili kumfutilia mbali ili wawatie hofu madakatari wenzao wajuekwamba serikali ipo,huwezi juwa labda ni chama cha siasa kinataka kutumia mwanya huu kuudhihirishia umma wa Watanzania na dunia kwa jumla kwamba nchi hii haitawaliki,au ni Wafitini wake wa kitaa au kazini wametumia nafasi hii ili kumalizana naye.Nawashauri tujadili jambo hili kama changamoto kwetu Watanzania bila kusahau nini kilipaswa kifanyike mapema kwa Watawala wetu , wasomi hatimae wanachi kwa ujumla wake
 
By Kafiribangi Mtazamo wako umetoka kwenye tundu lako la nyuma! Pambaff gamba weee!

bila shaka hii ndio akili yakidaktari,,,,,nandio hivi mnavyotukana wagonjwa wakija mahospitalini,.....shame on u
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom