MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
<br />
<br />
penzi unapolilinda sana ni kama unalilazimisha.
Labda utuambie penzi linalindwa vipi kwa mtazamo wako? Vipi kama mapenzi kwa mwenzi wako kama yashaisha jitihada utakazofanya kurudisha (nafikiri ndio kulinda kwenyewe ulikomaanisha) huoni kama utakuwa unafanya kazi ya kulilazimisha?
Inawezekana hatujaelewa wote, huyu babu teamo atufafanulie vizuri.
Sawa nimekuelewa kulilinda sana ndio tofauti yenyewe ila dada jua penzi lina lindwa. Nimejaribu kumweleza Babu hapo just kuwa mwaminifu, jithamini, jiheshimu, palilia kuwa mke mwema kiasi kwamba kama mumeo atakuacha na kuhamisha penzi kabisa basi jua kuwa ni taa au karogwa. But mwanaume mwenye akili zake timamu, mwenye kuheshimu mamlaka ya MUNGU katu hawezihamisha penzi lake toka kwako. Na hiyo ndio maana halisi ya kulinda penzi lako si ulinde kwa mawivu na ukaguzi usio na msingi!