Mtizamo: Let love lead the way

Mh aksante Teamo ingawa nina mashaka kama nimewaelewa wewe na Babu..........eti hakuna haja ya kuhangaika KUYAFANYA mapenzi yadumu?!! hebu nielewesheni kwanza kabla sijapanda juu ya meza kwa ubishi!

.....binafsi sidhani kama tunahitaji 'external' force.

i mean hatuhitaji hata kuweka hizo MARKINGS za ''territorry'' as long as unajua mtu UNAMPENDA....and you play your part inatosha sana!

i mean there is no need of going extra miles kumfikiria mtu ''unaeshea nae'' mume/mke!....mwisho wa siku utaplan kitu kibaya for nothing!

JUST LOVE.....AND LET LOVE LEAD YOU!
listen to your heart...and that is it
 
Hapa ndipo watu watakapomshangaa ODM atakapopiga marufuku vibinti vyake kufanyiwa kitchen party.... Mtu kishalazwa kwenye sita kwa sita mpaka kanogewa, kishazungushiwa viuno mpaka anajisikia kupaa mbinguni. Labda kashapigwa vibao kavumilia. Kishampikia na jamaa limeinjoi mapishi yake.......... afu leo eti majimama ambayo yenyewe ndoa zao zimeyashinda ndo yaje kumkalisha kitako na kumfundisha "Jinsi ya kuishi na mmewe"............Hell NO!

Hili nalo neno, unakuta binti ana mtoto tayari eti anafanyiwa kitchen party, hapana kwa kweli.
 
Hapa ndipo watu watakapomshangaa ODM atakapopiga marufuku vibinti vyake kufanyiwa kitchen party.... Mtu kishalazwa kwenye sita kwa sita mpaka kanogewa, kishazungushiwa viuno mpaka anajisikia kupaa mbinguni. Labda kashapigwa vibao kavumilia. Kishampikia na jamaa limeinjoi mapishi yake.......... afu leo eti majimama ambayo yenyewe ndoa zao zimeyashinda ndo yaje kumkalisha kitako na kumfundisha "Jinsi ya kuishi na mmewe"............Hell NO!

Mkuu Asprin...hapo umegusa panapostahili kabisa...
 
cista....!
yani unapenda nje ya ndoa??!......

inawezekana kweli?

Teamo... kama mtu ulomuoa ndio huyo unampenda Mshukuru saana Mungu na hakikisha kua kila siku unapiga magoti kumshukuru... For ina maana unamthamini Mkeo which is very good.... Achana na kitu kinaitwa Mapenzi... unaweza kua umeolewa/oa lakini bado you fall in love na mtu mwingine (it is not right but Mapenzi hauwashi ama kuzima kwa kuchagua) BUT what makes us better people ni ile utambuzi kua huyo ulo nae (mme/mke) hata kama humpendi tena ni mambo tu yametokea na kwambo you loved him/her once ... hivo hayo ni mapito tu na tamaa (maana sometimes tamaa waweza ona ni Mapenzi... na akili yako ikashindwa kabisa tofautisha)

Hivo basi kua ndani ya ndoa is not a gurantee kua ulonae is the person you love (naomba nilisielewe vibaya...) sio kwamba I support.... NO! But ndio ukweli wenyewe.... Hivo basi katika hii hali kama you are married and in love na mtu ambae hamko married.... Disaster!

Nirudi kwenye topic yako... kama kweli unaempenda ndio Mwenza hio advice Umetoa is the Best to follow regarding na LOVE...
 
Husninyo kulinda penzi sidhani kama ni sawa na kulazimisha penzi au mimi ndo sielewi leo wajameni!? Mbona kila kitu naona kichina tu hapa?
Najiona kama vile mnaniambia once am married, am being loved so sina haja ya kuhangaika kulidumisha??!!

cista angu mj1.....

unawezaje kulinda penzi?...how?.....kwenye hili watu wengi hawajawahi kufanikiwa kabisa....they ended up frustrated!utahangaika weeeeeee!utapekua sms za mumeo wakati kalala weeeeeee!utalia weeeeeeeeeee!utaongea weeeeeeeeeeeeeee!utaacha hadi bra kwenye gari.....trust me IT WILL NEVER WORK!sana sana unamjengea awareness huyo mwenzi wako itakayompa drive ya kufanya kile usichokipenda (that is human nature).

i thought kwamba ''LOVE'' is the solver to all these pro
 
Inaelekea na mimi nilimuelewa the same na kama ni hilo kuna ukweli ndani yake na there is no real formula ya kujua kuwa mapenzi yanatakiwa kwenda hivi au vile
Au Ad tumeingia chaka

Rocky naona tulielewa sawa... Umeona condition alotoa ODM hapo chini??

Exactly! But if that love is within your marriage!

Dah! ODM as if we choose kua sasa I should Love or not.... Thou ni very good iwe ndani ya ndoa....
 
Kwa mtrazamo wangu mie Teamo na wengine, love need to be nurtured............. otherwise tunaawezajikuta tunaishi kimazoea, maisha ambayo yanabore na isitoshe inakuwa rahisi kumfanya mwenzio/wanandoa wote wawili kutoka nje ya mahusiano yao. Its a human nature kupenda exitements sasa kama nyumbani Mama umepoa tu kuwa nshaolewa ndani mie and his love will outomatically flow nadhani tunawezajikuta hiyo love inaflow kwa nyumba ndogo kimoja.

Nakubaliana na wewe kutokuzidisha kama kwenda kwa waganga au kufanya mawivu ya kijinga but kwa ku'hamasisha' mahusiano yenu ya mapenzi, I still believe there is a need ya kuya'hudumia' at least once in a while
 
Mh aksante Teamo ingawa nina mashaka kama nimewaelewa wewe na Babu..........eti hakuna haja ya kuhangaika KUYAFANYA mapenzi yadumu?!! hebu nielewesheni kwanza kabla sijapanda juu ya meza kwa ubishi!
MJ1, hebu niambie hayo mahangaiko ni ya aina gani unayoyafanya mapenzi yadumu? Mi naona ni kujitesa tu........ Kama penzi halipo hata uhangaike na kuombewa na mapadre na mashehe wote duniani, hutaambulia kitu zaidi ya kutumiwa kama mashine na wala si penzi la dhati....

Hivi unajua huwa kuna mapenzi ya kuoneana huruma?
 
cista angu mj1.....

unawezaje kulinda penzi?...how?.....kwenye hili watu wengi hawajawahi kufanikiwa kabisa....they ended up frustrated!utahangaika weeeeeee!utapekua sms za mumeo wakati kalala weeeeeee!utalia weeeeeeeeeee!utaongea weeeeeeeeeeeeeee!utaacha hadi bra kwenye gari.....trust me IT WILL NEVER WORK!sana sana unamjengea awareness huyo mwenzi wako itakayompa drive ya kufanya kile usichokipenda (that is human nature).

i thought kwamba ''LOVE'' is the solver to all these pro

Sasa kaka yangu nimekuelewa. Nadhani uko sahihi kabisa kuwa ukililinda penzi lako kwa staili hiyo kamwe hutofanikiwa! Penzi halilindwi kwa bastola na mapanga, lakini pia penzi halina guarantee kuwa litalindika hapo ninakubaliana na wewe kabisa but si sawa pia kuliacha tu lenyewe lijiendee litakavyo, pamoja na kuwa pia hatuwezilipeleka kule tutakako!

Mie leo nahisi akili yangu ina mimba!! Imekaa kibishi bishi tu sijui kwa nini!
 
Husninyo kulinda penzi sidhani kama ni sawa na kulazimisha penzi au mimi ndo sielewi leo wajameni!? Mbona kila kitu naona kichina tu hapa? <br />
Najiona kama vile mnaniambia once am married, am being loved so sina haja ya kuhangaika kulidumisha??!!
<br />
<br />
penzi unapolilinda sana ni kama unalilazimisha.
Labda utuambie penzi linalindwa vipi kwa mtazamo wako? Vipi kama mapenzi kwa mwenzi wako kama yashaisha jitihada utakazofanya kurudisha (nafikiri ndio kulinda kwenyewe ulikomaanisha) huoni kama utakuwa unafanya kazi ya kulilazimisha?
Inawezekana hatujaelewa wote, huyu babu teamo atufafanulie vizuri.
 
Teamo... kama mtu ulomuoa ndio huyo unampenda Mshukuru saana Mungu na hakikisha kua kila siku unapiga magoti kumshukuru... For ina maana unamthamini Mkeo which is very good.... Achana na kitu kinaitwa Mapenzi... unaweza kua umeolewa/oa lakini bado you fall in love na mtu mwingine (it is not right but Mapenzi hauwashi ama kuzima kwa kuchagua) BUT what makes us better people ni ile utambuzi kua huyo ulo nae (mme/mke) hata kama humpendi tena ni mambo tu yametokea na kwambo you loved him/her once ... hivo hayo ni mapito tu na tamaa (maana sometimes tamaa waweza ona ni Mapenzi... na akili yako ikashindwa kabisa tofautisha)

Hivo basi kua ndani ya ndoa is not a gurantee kua ulonae is the person you love (naomba nilisielewe vibaya...) sio kwamba I support.... NO! But ndio ukweli wenyewe.... Hivo basi katika hii hali kama you are married and in love na mtu ambae hamko married.... Disaster!

Nirudi kwenye topic yako... kama kweli unaempenda ndio Mwenza hio advice Umetoa is the Best to follow regarding na LOVE...

ndugu yangu ashadii........!

hiyo bolded tungeiacha tu manaake uzoefu wangu kwenye ndoa ni mdogo sana
kwenye hiyo blue naona tutatofautiana zana kwa kuwa tu mimi nina mtizamo tofauti sana tu....!yani unampenda mtu...anakuoa again humpendi tena...even worse ni kwamba you fall for another man...no no!ni udhaifu tu wa kibinadamu wa kushindwa kuyakabili mawimbi ya maisha (ukiwa ndani ya ndoa)
 
MJ1, hebu niambie hayo mahangaiko ni ya aina gani unayoyafanya mapenzi yadumu? Mi naona ni kujitesa tu........ Kama penzi halipo hata uhangaike na kuombewa na mapadre na mashehe wote duniani, hutaambulia kitu zaidi ya kutumiwa kama mashine na wala si penzi la dhati....

Hivi unajua huwa kuna mapenzi ya kuoneana huruma?

Babu kama niliamini mwanzo kuwa ulinipenda na ukanioa kwa kuwa ulinipenda, mi jukumu langu kuhakikisha kuwa hujutii kunioa right?? nijitahidi niwe mwaminifu kwako, nisikuvunjie heshima kama mume wangu, nikupende, nikutii pale inavyoistahili yaani niwe mke mwema.....kiasi kwamba ukiamua kuua penzi lako kwangu itakuwa ni kwa tamaa zako tu na si kuwa eti nimeshindwa kulilinda penzi langu kwako!!

Na ndio maana ninasema utakuwa umejitahidi ingawaje haiguarantee kulilinda 100 percent! Na tunaposema kulilinda hatumaanishi kuzuia msichepuke NO coz hiyo ni nature yenu. Kulilinda ni kwa maana ya kuwa wewe ni mume wangu wa ndoa ninayeamini tutazikana, utachepuka but utarudi kunizika nikuzike!......... utarudi kwenye territory yako.
 
Sasa kaka yangu nimekuelewa. Nadhani uko sahihi kabisa kuwa ukililinda penzi lako kwa staili hiyo kamwe hutofanikiwa! Penzi halilindwi kwa bastola na mapanga, lakini pia penzi halina guarantee kuwa litalindika hapo ninakubaliana na wewe kabisa but si sawa pia kuliacha tu lenyewe lijiendee litakavyo, pamoja na kuwa pia hatuwezilipeleka kule tutakako!

Mie leo nahisi akili yangu ina mimba!! Imekaa kibishi bishi tu sijui kwa nini!

nashukuru sana...!

records zangu zinanithibitishia kwamba watu wengi waliotumia ''nguvu'' kwenye mahusiano hawakufanikiwa.....!ukijifanya ''kulipigania'' penzi utajikuta automatically unatumia mechanical forces.....you fail it all
 
Teamo... kama mtu ulomuoa ndio huyo unampenda Mshukuru saana Mungu na hakikisha kua kila siku unapiga magoti kumshukuru... For ina maana unamthamini Mkeo which is very good.... Achana na kitu kinaitwa Mapenzi... unaweza kua umeolewa/oa lakini bado you fall in love na mtu mwingine (it is not right but Mapenzi hauwashi ama kuzima kwa kuchagua) BUT what makes us better people ni ile utambuzi kua huyo ulo nae (mme/mke) hata kama humpendi tena ni mambo tu yametokea na kwambo you loved him/her once ... hivo hayo ni mapito tu na tamaa (maana sometimes tamaa waweza ona ni Mapenzi... na akili yako ikashindwa kabisa tofautisha)

Hivo basi kua ndani ya ndoa is not a gurantee kua ulonae is the person you love (naomba nilisielewe vibaya...) sio kwamba I support.... NO! But ndio ukweli wenyewe.... Hivo basi katika hii hali kama you are married and in love na mtu ambae hamko married.... Disaster!

Nirudi kwenye topic yako... kama kweli unaempenda ndio Mwenza hio advice Umetoa is the Best to follow regarding na LOVE...
Shem, am worried ujue........
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom