Mtizamo: Let love lead the way

Punguza wivu shosti...sisi sote tu wajukuu wa Babu mmoja (ODM)....chako changu...changu changu mwenyewe.

Eti?? Chako chako mwenyewe?? loh Manda leo umeniacha hoi!! Haya bwana tutabanana hapo hapo kwa ODM siyo?
Yaani nikibadili tu na kusubiria ijiendeshe, looo itakula kwangu,nazungushi michongoma kabisa babu

Hebu mweleze naona Babu kaamua kuweka nta masikioni!
 
wababa wabishi hawa, wanawake lazima wawe wabunifu kufanya mahusiano yadumu
Shantel hawa bwana hawaelewi hata usemeje............wanafikiri kupendwa kwa wanawake na wanaume ni sawa! Wanawake huwa tunatendency ya kutokubweteka........hata mume akibweteka Mwanamke utahangaika tu
 
Tembea na yesu ufike salama..kumbuka kunletea vile ulivyoahidi kunletea na hujanleta bado.

...e bana weee,...halafu mmenikera kweli na hizo foleni, vumbi na mgao wenu wa umeme. Hivi hamjuagi kudai haki zenu nyie ee? ...moskwitoz na kiangazi pekee ndio rehma za mwenyezi mungu, lakini ati symbions power hawataki kuwasha umeme mpaka mafuta yakachunguzwe kiwango??? ...ni ubabaishaji!...

....halafu kwanini mnawakubalia mababa watu wazima wakojoe katika chupa za uhai halafu wanazitupa barabarani? ...yaani ukizikanyaga na gari una splash kwa waliokuwamo na wasiokuwamo, hivi taifa linakwenda wapi?
aaah, nawaachieni matatizo yenu....

MANDA, mzigo wako sijasuhau,..nakumbuka na upo njiani. Soulmate atakuletea.


Shantel hawa bwana hawaelewi hata usemeje............wanafikiri kupendwa kwa wanawake na wanaume ni sawa! Wanawake huwa tunatendency ya kutokubweteka........hata mume akibweteka Mwanamke utahangaika tu

...mwanajamiione unazungumzia kwa experience yako, si kila mwanaume hujibweteka bana.
nikikupa cv yangu utakuta wanawake niliokumbana nao maishani walikuwa na tabia za kujibweteka
halafu mbu ndio ahangaike nao kuwarudisha kwenye mstari...

kila mtu na kilio chake bana.
by the way, ahsanteni kwa dua zenu,...nimefika salama u salmin.
 
Hebu mweleze naona Babu kaamua kuweka nta masikioni![/QUOTE]
kagangamala naona we mwache tu, ila sie uzi ni uleule hakuna kulaz damu, you klem you pass, you understand you fail
au sio wangu
 
Hebu mweleze naona Babu kaamua kuweka nta masikioni!
<br />
kagangamala naona we mwache tu, ila sie uzi ni uleule hakuna kulaz damu, you klem you pass, you understand you fail<br />
au sio wangu[/QUOTE]hahahahha wewe BB hakuna siku nimecheka mwenyewe kama leo eh! Eti yu klemu yu pasi, yu andastandi yu feili! Ah acha tu niklemu aisee! Lengo langu ni kupasi bana
 
Nasema asante Teamo,Mj1,Asprin,Kimey,ADII na wengine...mmetuongezea kitu,hatujutii kuwepo hapa...me na mke wangu pia tumegawana timu ila tumekubaliana kutokukubaliana ktk hii topic...Teamo pamoja na kupote ameacha somo la kutosha NASHAURI TUNGEACHA MAPENZI YAKATAFUTA NJIA YAKATUONGOZA PALE WAPENDANAO WANATAMANI KUPAFIKA-Teamo....ukiisoma tena post yake #36 anamkatalia ADII kuwa na uzoefu na mambo ya ndoa...ndani kabisa hakutaka hii ihusishwe na ndoa(HAPA SASA..MAPENZI HUITANGULIA NDOA)...ADII naye post 25 anatuhabarisha penzi la tamaa/uchakachuaji? akihabarisha makosa ktk uchaguzi (ANAMRUDISHA TEAMO TENA let love lead the way...listen to ur heart and that is it!) hapa ADII ametufunza kuna aidha external forces zimetumika kulazimisha...mlingotini? magari ya kuazima?.......anakuja Mj1...post #38 moja kwa moja anatetea ndoa yake bila kujali aliingia na mguu gani ktk hiyo ndoa..ANAMRUDISHA TEAMO..maadam kulikuwa na kutokuusikiliza moyo (penzi la force king)...Teamo anasema unajilisha upepo buree...sijui nimeeleweka au ndo pilau na maharage..mapenzi hutangulia mahusiano ndoa ikiwamo...mapenzi yakikosewa mwanzo mbele ya safari ni maunivu,kubahatisha,huruma nk..
 
Back
Top Bottom