Mtikisiko ndani ya CHADEMA

Rutorial k

JF-Expert Member
Jun 8, 2014
937
817
Wana JF nawasalimu,

Nianze na kwa kusema kwa mda wa miaka mitano kumekuwa na mtikisiko mkubwa sana ndani ya CCM na tulishuhudia mpaka kinachoitwa kuvua gamba.
hiyo haitoshi tukashuhudia waliokuwa mawaziri wakuu wa serikali.

Lowasa na Sumaye wakihamia CDM hakika huu ulikuwa mtikisiko wa aina yake ila CCM ikasimama, kama ilivyo ada (principle of managment) kila tasisi ina migogoro ingawa sio yote inamadhara (constructive and destructive conflicts).

Sasa wasiwasi wangu ni pale migogoro mikubwa itakapoikumba CDM kama ilivyokuwa kwa wenzao wa CCM na kushuhudia important figures kama vile Lisu, Myika Mdee wakikihama chama hicho na kujiunga na vyama vingine je mtikisiko huu watauhimili?

Ikumbukwe kuwa kila aliyekuwa kiongozi katika chama flani akienda
upande mwingine hutoa siri za alikotoka, je siku jamii ikianza kujua ukweli kuhusu pesa za ruzuku zinavyotumika vibaya kutoka kwa wahusika wenyewe CDM itasimama?

Wito CHADEMA ijenge misingi ambayo hata itakapotikiswa ibaki salama..bado tunawahitaji ili kujenga nchi imara yenye upinzani wakweli.

Siyo chuki mkuu, mm ni mwalimu pale. Naumia sana kuona uduni wa ufundishaji pale, nikilinganisha na chuo nilikotoka. Na pia naumia sana na quality ya wanafunzi tunaoletewa pale.

Kama una access ya mwalimu yeyote wa UDOM, jaribu kumpeleleza

RAHA YA KUWA NA MBUNGE MSOMI WA UKAWA


Niko hapa MNH naangalia pilika zinavyoendelea. Hakuna nurses wa kutosha kuwa Na ward nyingine ghafla. Hawa kina mama wanaweza kupata tatizo wakiwa wenyewe

Hebu afikiri critically. Hivi walimu wanachohitaji ni kulipiwa mia nne za nauli kweli? Amwambie mkurugenzi wake wa manispaa awalipe walimu wake madai yao ya likizo za dec 2013 na 2014 hadi dec 2015. Aanzishe miradi ya ujenzi wa nyumba za walimu aachane na madarasa na madawati na hilo ndio suluhu ya kuwahi kazini. Aache kufikiri kiduchu.

Hii ndio faida mojawapo ya kuwa na upinzani wenye nguvu
 
wana jf nawasalimu

nianze na kwa kusema kwa mda wa miaka mitano kumekuwa na mtikisiko mkubwa sana ndani ya ccm na tulishuhudia mpaka kinachoitwa kuvua gamba.
hyo haitoshi tukashuhudia waliokuwa mawaziri wakuu wa serikali ...lowasa na sumaye wakihamia cdm...hakika huu ulikuwa mtikisiko wa aina yake ila ccm ikasimama
kama ilivyo ada (principle of managment) kils tasisi ina migogoro ingawa sio yote inamadhara(constructive and destructive conflicts)..sasa wasiwasi wangu ni pale migogoro mikubwa itakapoikumba cdm kama ilivyokuwa kwa wenzao wa ccm na kushuhudia important figures kama vile lisu..myika...mdee wakikihama chama hicho na kujiunga na vyama vingine je mtikisiko huu watauhimili?
ikumbukwe kuwa kila aliyekuwa kiongozi ktk chama flani akienda
upande mwingine hutoa siri za alikotoka..je siku jamii ikianza kujua ukweli kuhusu pesa za ruzuku zinavyotumika vibaya kutoka kwa wahusika wenyewe cdm itasimama?

wito...chadema ijenge misingi ambayo hata itakapotikiswa ibaki salama..bado tunawahitaji ili kujenga nchi imara yenye upinzani wakweli.
Masaa 6 hakuna mchangiaji hiyo ni aibu
 
Back
Top Bottom