Mtikisiko nchi nzima

wizaga

Member
Nov 27, 2011
70
8
Jana baada ya kutangazwa ushindi wa ubunge ,Arumeru pamoja na udiwani nimeshuhudia maadamano na bendera za chadema zikipita kwa kusheherekea ushindi huo maeneo ya singida,tabora eneo la iguna na nzega pamoja na shinyang na mwanza.hii inaonesha sehemu nyingi ya nchi wamekubali chadema mkombozi wa wanyonge.
hebu ongeza sehemu nyingine waliko shehelekea kwa maandamano na kupeperusha bendera ya chadema
 
Kaka heading yako inastahili kwenye udaku, asante kwa taarifa.
 
Tabora walisafiri kwenda kusherehekea Kahama mkuu ila mitaani pia hali ilikuwa ya shangwe sana ikipata msukumo kutoka chuo cha Sauti hapa Tabora

Viva CDM
 
WanaCCM nao wanasherekea kushindwa kwa Lowasa!!! Hata Pasco wa JF nae anasherekea eti!!!!!!! Maralia Sugu nae, hata yule Rejao nao anasherekea aiseeee, na yule nani aaaaah Ritz eti nae yupo jamani kusherekea kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeh
 
Jana baada ya kutangazwa ushindi wa ubunge ,Arumeru pamoja na udiwani nimeshuhudia maadamano na bendera za chadema zikipita kwa kusheherekea ushindi huo maeneo ya singida,tabora eneo la iguna na nzega pamoja na shinyang na mwanza.hii inaonesha sehemu nyingi ya nchi wamekubali chadema mkombozi wa wanyonge.
hebu ongeza sehemu nyingine waliko shehelekea kwa maandamano na kupeperusha bendera ya chadema

umeshuhudia kupitia MEDIA au?
 
Wapi FF,MS na wenzake..!!!?Au bado MAGAMBA hawa wanafanya mahesabu ya KURA upya huku wakiugulia maumivu na hasara waliyoipata kwa kuliwa pesa walizokuwa wanahonga wananchi..?VIVA CDM,VIVA M4C...
 
Jana nimekunywa sana lager bila kulipa,zilikuwa zinamwagwa tu watu walivyokuwa wamefurahi!!
 
Iringa town, Mafinga, Njombe, makambako, Mbeya na Songea watu waliweuka ushindi wa CDM,!
 
This is called M4C
View attachment 50922
And now Arusha City is Free, Like the Mwanza City!!
CDM.jpg
Yes, its MOVEMENT FOR CHANGE (M4C)
 
Jana baada ya kutangazwa ushindi wa ubunge ,Arumeru pamoja na udiwani nimeshuhudia maadamano na bendera za chadema zikipita kwa kusheherekea ushindi huo maeneo ya singida,tabora eneo la iguna na nzega pamoja na shinyang na mwanza.hii inaonesha sehemu nyingi ya nchi wamekubali chadema mkombozi wa wanyonge.
hebu ongeza sehemu nyingine waliko shehelekea kwa maandamano na kupeperusha bendera ya chadema

Yatasemwa mengi mwaka huu.
 
Kuanzia mitaa hii ya Choma cha nkola, kahama, ikuzi, msasa, nikonga,masumbwe, ushirombo, runzewe, lubeho, kanagele, nyugwa, nyamtukuza.... wana nzengo wote bado tunasherekea ushindi wa CHADEMA
Maxmum respect to CHADEMA!
 
Back
Top Bottom