MTIKISIKO kuikumba tena CCM, Viongozi maarufu na wasanii maarufu 18 kuikacha

Status
Not open for further replies.

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Kuna tetesi kwamba kati ya Kesho na Jumamosi kuna kundi kubwa la Viongozi na Makada maarufu kuikacha CCM! Mbali na wanachama hao ni kwamba kuna kundi la wasanii maarufu 18 ambao sijathibitishiwa ni tasnia ipi nao kuikacha CCM, kati yao 5 kutimkia ACT na 13 kutimkia UKAWA kujiunga na timu mabadiliko!

Mhabarishaji wangu ambaye ni Rafiki wa karibu na moja wa wasanii hao ambao awali walikua wakitumbuiza ktk kampeni za Mgombea urais wa CCM amesema wamedai kwamba mkataba wao wa kibiashara na CCM umeisha na sasa kutimiza vile wanavyoviamini wao.

Aidha mnyetishaji wangu ameniambia kua mbali na wasanii hao kuikacha CCM pia kuna waliowahi kua mawaziri wa serikali na wengine ni mawaziri sasa pamoja Viongozi waandamizi ndani ya CCM kutoka mikoa mbali mbali nao kuikacha CCM na kujiunga na timu mabadiliko.

Zaidi tusubiri muda ufike tupate taarifa kamili Mimi nimedokezwa tu.
 
Kuna tetesi kwamba kati ya Kesho na Jumamosi kuna kundi kubwa la Viongozi na Makada maarufu kuikacha CCM! Mbali na wanachama hao ni kwamba kuna kundi la wasanii maarufu 18 ambao sijathibitishiwa ni tasnia ipi nao kuikacha CCM, kati yao 5 kutimkia ACT na 13 kutimkia UKAWA kujiunga na timu mabadiliko! Mhabarishaji wangu ambaye ni Rafiki wa karibu na moja wa wasanii hao ambao awali walikua wakitumbuiza ktk kampeni za Mgombea urais wa CCM amesema wamedai kwamba mkataba wao wa kibiashara na CCM umeisha na sasa kutimiza vile wanavyoviamini wao.

Mungu azibariki NJOZI na TETESI zako ili ziongeze CHACHU na KASI ya MABADILIKO! Wote tuseme AMEEEEEEEN!!
 
Kuna tetesi kwamba kati ya Kesho na Jumamosi kuna kundi kubwa la Viongozi na Makada maarufu kuikacha CCM! Mbali na wanachama hao ni kwamba kuna kundi la wasanii maarufu 18 ambao sijathibitishiwa ni tasnia ipi nao kuikacha CCM, kati yao 5 kutimkia ACT na 13 kutimkia UKAWA kujiunga na timu mabadiliko! Mhabarishaji wangu ambaye ni Rafiki wa karibu na moja wa wasanii hao ambao awali walikua wakitumbuiza ktk kampeni za Mgombea urais wa CCM amesema wamedai kwamba mkataba wao wa kibiashara na CCM umeisha na sasa kutimiza vile wanavyoviamini wao.

Aidha mnyetishaji wangu ameniambia kua mbali na wasanii hao kuikacha CCM pia kuna waliowahi kua mawaziri wa serikali na wengine ni mawaziri sasa pamoja Viongozi waandamizi ndani ya CCM kutoka mikoa mbali mbali nao kuikacha CCM na kujiunga na timu mabadiliko.

Zaidi tusubiri muda ufike tupate taarifa kamili Mimi nimedokezwa tu.

Hao wasanii wangebaki hukohuko...

To me wasanii wamejidhalilisha sana kutokana na umalaya wa upeo na kutojitambua

labda waende ACT... they have just degraded themselves mno with CCM especially type ya juma nature
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom