Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

habari hii nimeisoma sijaimaliza maana machozi yamenitoka, sisi nyumbani kwa kweli tulikuwa tumejaliwa maana kilimo cha kahawa kilitutoa sana kabla ya CCM na Vibaraka wake kuua KCU, tulikuwa na wapagazi wawili, moja ni mtusi, mmoja mnyarwanda, wote walikuwa wanaongea lugha zinafanana hata sisi warijaribu kutufundisha. Nyarwandwa alikuwa anatuchungia ng'ombe wetu, Mrundi alikuwa akilima magugu maji (Rumbungu) na kupalilia. Wakati vita imepamba moto nyarwanda alimuua mwenzie na kukimbilia rwanda, tukaajiri wengine, nao vita ilivyopamba moto waliiba ngombe wetu 30 na kutokomea wakatuachia umaskini, tulianza kusoma kwa shida sana kwani kahawa zilikosa mbolea na kufa, angalau ulikuwa ukikosa karo baba anakuambia tafta soko la ng'ombe wawili uuze. Wdogo wangu wengi waliishia form 2 kwa sababu ya umaskini. watu hawa huwa sitaki kuwasikia kabisa walitutia umaskini sana. Mtikila ongeza juhuzi tukomeshe hawa ngedele.
 
Safi sana Reverend. wewe kwangu siku zote ni mzalendo namba moja kwa hoja zako za msingi unazoibua kila mara. mimi nimeshangaa sana serikali ilikuwa wapi mpaka hawa watu wakajipenyeza kwenye idara muhimu kabisa. hata humu jf ninaamini kabisa Kagame keshaweka watu wake. ukiwagusa kidogo tu utawaona wanakuja juu. Hatari sana
 
Mrdash1;Sawa baba mhutu Mtikila tumekusikia!

Mimi binafsi nimeipenda sana hiyo himaya ya ki Tutsi kama kweli ipo. Ni bora zaidi ya hii himaya ya uamsho.Himaya ya ki Tutsi ni ya kiafrika. Long live Tutsi Empire! Long live Mseveni! Long live Kagame!.....You are so Pathetic i even dought if you are a Tanzanian,HOW DARE YOU CURSING YOUR OWN COUNTRY?woe onto you my friend,Point of advice;usije ukasema hayo mbele za watu it may discredit you my friend.
 
mary mary;Nampenda Mtikila, hakuna jinsi ya kufanya tumvute kwetu?Mkuu ni heri huyo abaki hivyo hivyo ndo atakuwa efficient.
 
Mtikila anakurupuka! Huo waraka wake hauna msingi wowote! Kama vip aache dini aingie kwenye siasa! Mshika mbili moja humponyoka! Tz inalinda mipaka yake na usalama wa raia ila ni chuki zakae binafsi na kutaka kuchafua ccm. Mtikila a.k.a wa kutoa hoja zisizo na msingi.
 
Chuki juu ya watutsi waacheni watumie akili zao kufanya mambo yao. Sasa kam tz tumelala tunasubiri moaka tuamshwe acha wajanja wale vyao. Big up Mseven na Kagame.
 
haya si mawazo unaaweza kuyategemea kuyaona ktika mfumo wa utandwazi(globalisation)na ktk krne ya 21,na millenia mpya
 
hoja za mtikila mara nyingine unatakiwa utafakari sana kabla ya kumuunga mkono ,kwa sababu nyingi huwa zina utata na ukweli kiasi akiona haaminiki anakimbilia mahakamani .tutafakari hoja hizi
 
Mtikila anakurupuka! Huo waraka wake hauna msingi wowote! Kama vip aache dini aingie kwenye siasa! Mshika mbili moja humponyoka! Tz inalinda mipaka yake na usalama wa raia ila ni chuki zakae binafsi na kutaka kuchafua ccm. Mtikila a.k.a wa kutoa hoja zisizo na msingi.

niambie mtuts wa ukweli! Naona ume guswa na habari hii
 
Mtikila yuko sahihi kabisa ispokua kuna watu humu jf wamejaa ucristo sana, hasa ktk kashfa hiyo kuusishwa makanisa kufanyia vikao vya kidhalim, kutajwa mapadri kuusika na mauwaji ya wafanya kazi wao pia mlolongo wote kuwahusu wakristo kwa%100. Hicho tu ndicho kinawafanya wengine wampinge mtikila. Wao walitegemea atajwa Ponda, Uamsho, hapo oooh wangemuunga mkono! Tubadike tuchukue hatua lasivyo nchiyetu itachukuliwa na watuts. Shukrani mchungaji mtikila mungu akujaze nguvu uwendeze harakati za kizalendo
 
habari hii nimeisoma sijaimaliza maana machozi yamenitoka, sisi nyumbani kwa kweli tulikuwa tumejaliwa maana kilimo cha kahawa kilitutoa sana kabla ya CCM na Vibaraka wake kuua KCU, tulikuwa na wapagazi wawili, moja ni mtusi, mmoja mnyarwanda, wote walikuwa wanaongea lugha zinafanana hata sisi warijaribu kutufundisha. Nyarwandwa alikuwa anatuchungia ng'ombe wetu, Mrundi alikuwa akilima magugu maji (Rumbungu) na kupalilia. Wakati vita imepamba moto nyarwanda alimuua mwenzie na kukimbilia rwanda, tukaajiri wengine, nao vita ilivyopamba moto waliiba ngombe wetu 30 na kutokomea wakatuachia umaskini, tulianza kusoma kwa shida sana kwani kahawa zilikosa mbolea na kufa, angalau ulikuwa ukikosa karo baba anakuambia tafta soko la ng'ombe wawili uuze. Wdogo wangu wengi waliishia form 2 kwa sababu ya umaskini. watu hawa huwa sitaki kuwasikia kabisa walitutia umaskini sana. Mtikila ongeza juhuzi tukomeshe hawa ngedele.

Umenikumbusha mengi mkuu, nakumbuka pale nyumbani walikuwa wanahandikiwa vipande na kulipwa kila mwezi baada ya kufanya kazi, wanaishi kwenye vibanda vyao baadae wanarudi kwao - kitu kilicho kuwa kinanishangaza Watutsi na Wahutu wanazungumza lugha moja lakini wanachukiana sana na wengi wao walikuwa si wa aminifu.

Mkuu aliye imaliza KCU ni Kambarage, mpaka sasa huwa sijuhi alikuwa na tatizo gani na Vyama vya ushirika vya wakulima; Nyerere alikuwa ni Kiongozi mwenye akili nyingi lakini wakati mwingine alikuwa anatoa mahamuzi ya kushangaza kidogo - hili la kuivunja KCU lilikuwa na an hidden agenda, alifanikiwa kuturudisha nyuma kimaendeleo - and 4what if I may ask? Kwani vyama vya ushirika vilikuwa na tishio gani kwa utawala wake!!!

Mkuu KCU ilikuwa na FEDHA nyingi kwenye Benki ya NBC, zote zilitaifishwa as if zilitokana na wizi/umafia/ufisadi!! Mpaka leo fedha hizo hazajarudishwa, mzee Mwinyi aliwarudishia baadhi ya watu waliokuwa wametaifishiwa nyumba zao, lakini hili la fedha za KCU hakuna aliye wahi kulivalia njuga ili fedha za wakulima zirudishwe bila mashariti yoyote. Mimi nilitegemea mtu kama Masillingi Jr. alipo kuwa Waziri angeweza kulishughulikia suala hili kwa kuwa baba yake aliwahi kufanya kazi KCU na Masillingi mwenyewe alisomeshwa na fedha za KCU O-level, hakuna kilicho fanyika mkuu!!!
 
MENGINE YANA UKWELI NA MENGINE NI CHUKU TUUU YA WATUTSI, Me naona Kagame na Mseveni wanaiba kivyaoo ila kuhusisha sijui na serukama mara sijui nani hizo ni chuki za ziada!

Kaka wakati mwingine usiwe unabisha vitu usivyovijua.Je unajua kwamba Zitto Kabwe na Serukamba ni Brothers?Unajua kua asili yao sio TZ?
 
Back
Top Bottom