chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 900
Mtikila ni mwanasiasa na mwanaharakati wa kweli, tatizo yupo ofisi mbovu tu (chama chake)
Tukipata watu watatu tu walio kama Mtikila bila shaka tutashinda!
Nadhani aendelee hapo, si mtu wa kuweka karibu sana . Anajua mengi lakini ana matatizo yake mengi, kwa hili la wanyarwanda mie sipingi kwani viongozi wa mikoa ya kagera na kigoma wanaishi kwa sababu ya watu hawa hata Nchimbi anajua lakini anang'ang'ania CHADEMA