Inamaa yote haya usalama wa taifa hawayajui?
Padre alivyopigwa risasi unguja usalama wa taifa hawajui?
Hizi propaganda za Tutsi empire nilizisikia kwa mara ya kwanza 2006 nchini Uingereza nilipomtembelea rafiki yangu mwislam, ambaye ni msomi mzuri tu wa elimu dunia, nilijaribu kubishana nae kwa sababu mwanzoni nilidhani kuwa ni maongezi ya kawaida na alikuwa anakoleza tu ili tuendelee kuchangamka lakini baadae nikagundua kuwa ni habari ambayo inaaminiwa kuwa ni sahihi na watu wenye mtazamo kama wa kwake. Namsikitikia sana Mtikila kwa kutumika ama kwa kutojitambua au kwa shinikizo la pesa.
Waumini wa habari hii wanadai kwamba
1. Watusi wana asili ya kiyahudi (pata jibu la nani ni adui yao mkuu na yupo nyuma ya hizi propaganda)
2. Ina elezwa kuwa watutsi kupitia conspiracy yao wamejipenyeza na kushika madaraka kweye baadhi ya nchi wakiwa na lengo la kueneza Tutsi empire (Jewish?)
3. Viongozi wa Kiafrika wanao tuhumiwa kuwa watutsi kulingana na mtu niliyeongea naye 2006 walikuwa ni Nyerere (RIP) na Robert Mgabe naona Mseveni na Kabila are new additions
Habari hii ya Mtikila na ile niliyoisikia 2006, imenihamasisha kutaka kufanya utafiti wa kama kulikuwa na mkono wa alqaida/uamsho/boko haram/alshabab katika kuchochea mauaji wa watutsi ambao wanadaiwa kuwa jamii ya kiyahudi.