Mtikila: CCM inafanya mafunzo ya wizi wa kura Afrika Mashariki

Kati ya wazalendo wachache wa nchi hii waliopo kwenye list yangu, Mtikila ni mmojawao. Wanaomdharau basi hawamjui, na wanaomjua wanamheshim sana, na miongoni mwao wanamwogopa mno. Mtikila huongea akimaanisha kile akisemacho.
 
Taarifa kutoka nairobi kenya zinaeleza kuwa nkutano wa siasa uliohusisha wenyeviti na makatibu wa vyama afrika mashariki umeisha huku mtikila akichafua hali ya hewa.

Mtikila(0713 435016) alipinga east afrikani federation kwa sababu zifuatazo
1. Umoja huo si kwa maslahi ya wananchi bali viongozi pekee yao
2. Hakuna demokrasia katika chaguzi kwani ccm ya tanzania ndiyo imekuwa ikifundisha wizi wa kura ,katika chaguzi za kenya, zimbabwe,uganda,malawi,n.k
3. Wakenya wanataka muungano huo kwa kuwa wanataka ardhi ya watanzania na si muungano
4 .museveni ni rais dikiteta ambaye hataki upinzani hivyo hatuwezi kuungana na wauaji
5. Rwanda ni wauaji na wamemwaga damu hivyo ni hatari.
6. Serikali ya kenya wanaua wapinzani na mtu yoyote akitaka kuipinga serikali anauawa.
7. Ccm tanzania ina lindwa na vyombo vya dola na kuchakachua matokeo kuwalinda wagombea wa ccm
8. Tume ya uchaguzi tanzania haiko huru kwa kuwa wakuu wa wilaya, wakurungezi , wakuu wa mikoa wanahujumu upinzani

Hizo point zote zimejaa chuki na uchochezi,mnakumbuka enzi zile za KANU kule kenya wapinzani muliituhumu kwa ukandamizaji na ukiukwaji wa demokrasia. wakenya wakaandamana,wakaunda umoja wa upinzani na hatimae Kibaki akaingia Ikulu.leo hii Kibaki huyo huyo (mpinzani mwenzenu) amegeuka na kuwa ( CCM ), na kama CCM ndio inafundisha kuiba kura basi KANU isingeshindwa, na pia kwa point hiyo ya kwanza inaonesha kuwa hakuna kiongozi bora afrika mashariki je huo ndio ukweli? tuhakikishieni kuwa Chadema haitakuwa/Slaa hatakuwa Odinga wa Tanzania.
 
Namkubali mzalendo Rev. YMtikila, ila Kenya pamoja na kufundishwa wizi wa kura na magamba sasa hivi wana katiba mpya, tume ya uchaguzi ni huru. Uchaguzi ujao ni Raila.
 
Bora federation lije, tutapata nafasi ya kutanua hadi kampala..

Ardhi ardhi yote ni Mungu kila mtu ana haki ya kuitumia..let them use..mipori yote ..ya nini?

Mr. Sitaki kuamini kama ulidhamiria kuliandika hili, naamini umekosea.
 
Taarifa kutoka nairobi kenya zinaeleza kuwa nkutano wa siasa uliohusisha wenyeviti na makatibu wa vyama afrika mashariki umeisha huku mtikila akichafua hali ya hewa.

Mtikila(0713 435016) alipinga east afrikani federation kwa sababu zifuatazo
1. Umoja huo si kwa maslahi ya wananchi bali viongozi pekee yao
2. Hakuna demokrasia katika chaguzi kwani ccm ya tanzania ndiyo imekuwa ikifundisha wizi wa kura ,katika chaguzi za kenya, zimbabwe,uganda,malawi,n.k
3. Wakenya wanataka muungano huo kwa kuwa wanataka ardhi ya watanzania na si muungano
4 .museveni ni rais dikiteta ambaye hataki upinzani hivyo hatuwezi kuungana na wauaji
5. Rwanda ni wauaji na wamemwaga damu hivyo ni hatari.
6. Serikali ya kenya wanaua wapinzani na mtu yoyote akitaka kuipinga serikali anauawa.
7. Ccm tanzania ina lindwa na vyombo vya dola na kuchakachua matokeo kuwalinda wagombea wa ccm
8. Tume ya uchaguzi tanzania haiko huru kwa kuwa wakuu wa wilaya, wakurungezi , wakuu wa mikoa wanahujumu upinzani

Faida za huu Muungano kwa TZ zina utata,
 
Namheshimu na kumuamini sana mzee mtikila, huwa anajiamini, hakurupuki, hana majungu bali huwaweka wazi wote wasio waadilifu bila woga ni shujaa kiujumla namuunga mkono 100 ya 100

Kati ya wazalendo wachache wa nchi hii waliopo kwenye list yangu, Mtikila ni mmojawao. Wanaomdharau basi hawamjui, na wanaomjua wanamheshim sana, na miongoni mwao wanamwogopa mno. Mtikila huongea akimaanisha kile akisemacho.
 
hiyo fisadi.pdf attachement mbona ina picha zisizo na maana , JF siku hizi kaazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom