Mtikila amfungulia Mch. Getrude Rwakare kesi 69/2011 high court

MTIKILA hana mke wa mtoto wa kumuuliza ada ya shule,hivyo kupoteza muda mahakamani haoni tatizo!
 
Wameanza kuumbuana..Kakobe ni mtumishi wa Mungu kweli ndo maana anapitia majaribu mengi..ni sawa na mti wenye matunda! kweli nabii hakubaliki nyumbani..HATA yesu hakukubalika Nazareth! Kakobe akienda nchi nyingine heshima anayopata siyo mchezo..! MUNGU MBARIKI MTUMISHI WAKO NA UWAUMBUE WOTE ZAIDI NA ZAIDI..AMEN!
 
Hivi jamani mtikila ni mchungaji wa kanisa gani? Lipo wapi? Nataka nimtembelee nkawaone waumini wake wanafananaje? Na pia anahubirije??
Linaitwa TANGANYIKA,linapatikana mahakamani anakoshinda kila siku
 
Kanisani hamna utaratibu wa kusuluhishana bila kufikishana mahakamani? Mbona huwa wanahubiri ukipigwa shavu la kushoto mgeuzie na la kulia?

Huyu Mchungaji nadhani ametandikwa mashavu yote na utosi pia sasa anachokiona ni mahakama tu. Tangu nazaliwa Mtikila na kesi. Huyu Mama Rwakatare anaichokoza Jamiiforums anataka kuchambuliwa ndipo aifahamu vizuri kuwa siyo mtandao wa udaku????
 
Hivi hizi kesi za mchungaji mtikila huwa zinaishaje,
kama ni mzuri naomba mwenye namba yake ya
simu ani -pm kuna kesi yangu nimuuzie.
 
hhaaha kwa hiyo nanai ananyongwa hapo? Mtikila kazidi na kesi zake, mpaka aibu. Hivi ana watoto yule mzee? Mke? Ni kabila gani? I am confused kweli!

Nasikia watoto watakuwa moto wa kuotea mbali kwani ndio kwanza anawapa tizi ktk kesi hizi anazofungua dakika za mwishomwisho
 
Back
Top Bottom