Mtikila akamatwa kwa uchochezi

hata mie ningekuwa na muda ningesaidiana nae kushinikiza wananchi kutokumchagua Kikwete kwa sababu sijaona alichofanya mpaka sasa
Narudia tena mama kama busara, kwako ndo makao makuu yake. Msituangushe 31 October!
 
Je ni kweli alishakula hongo ya Mhindi?Kama ni kweli basi hana msimamo!Ni kama Mrema tu.

Mtikila ana mazuri yake na madhaifu yake pia kama wachangiaji walivyochangia hapo juu. Kuna habari zisizo rasmi kuwa kuna wakati alikuwa anadaiwa na benki moja mkopo wa around 60 mil. na wahindi zikawafikia taarifa hizo na kuutumia mwanya huo kumlipia deni hilo (kama hongo) ili aachane na sera zake za "maghabacholi" a.k.a wahindi.
 
Mtikila used to speak his mind freely even during Mwalimu’s time. We could not hear him then because Mwalimu ascertained that there was only one voice in the country, and that was his own. Some thugs tried to stop Mtikila by beating him up badly. He was left for dead but, in his stubbornness, Mtikila refused to give up the ghost!

Mtikila has reason to fear the people who have arrested him this time around. There is Suleiman Kova who gave the order. But as Mtikila is a national figure, Kova must have consulted Said Mwema before making his move. And who put Kova onto Mtikila’s trail? That’s Ramadhani Omari’s department. And Omari must have briefed and obtained the blessing of his boss, Jakaya Kikwete.

Now, it is entirely possible that all these people owe their appointment to their faith. They are not likely to be unbiased towards anyone who accuses their boss of UDINI.
 
nimewahi kuwa shabiki wa Mtikila miaka ya 1980 na 90 mwanzoni....sifa yake kuuubwa ni kuwa mkweli na muwazi kwa kitu ambacho anaamini.
anachodai Mtikila katika waraka wake anaanza kuusambaza ni kua......kuna fursa katika taifa zinatolewa kwa kuangalia dini ya mtu wala siuwezo ama sifa alizonazo mtu katika nafasi husika...
kumekuwa na ugawaji wa nafasi za kitaifa kwa kuangalia dini ya mtu eti katika kubalansi mambo.
hili ni kosa.....Mtikila anachozungumza ni kile ambacho viongozi wengi WAKISTO WANAHISI.
Mgawanyo huu unaliangamiza taifa.
Mtikila anaongea kile ambacho kina Pengo,Malasusa wanauma maneno. ila chini ya kapeti wanazungumza. mitafaruku katika taifa hasa kati ya Kikwete na kanisa imekua mingi....wengi hawasemi waaaazi kama Mtikila, ila nyuma ya mawazo yake ndio mawazo ya Wakristo wengi kua Kikwete anatumika kama wakala wakuzuia ueneaji wa kanisa. Kikwete anapokea maagizo kutoka kwa maswahiba zake Arabuni kuangamiza Ukristo. mawazo haya hayasemwi wazi na Wakristo wengi , ila kuna manung'uniko, Mwangi wa maneno ua Rev Mtikila utasika kwa kila Mtanzania, na maneno hayo ni Ishara kuwa kuna kundi halilidhiki na utawala wa Muugwana.
Mwisho Mtikila anaungana na wapenda Mageuzi wooote hapa Tanzania kua kikwete hachaguliki na wala hapaswi kurudishwa tena katika nafasi hiyo.....amegeuka gunia la misumari, ukilibeba shurti uumie.....Asante Mtikila.
 
GOD LORD FORBID!!!
Tukishaanza kuingia huko tu ndio the beginning of the end. If the above said is true than awekwe ndani tu!!
Labda kwasababu mimi sijihusishi sana na dini, lakini naomba wataalamu wanisaidia na swali lifwatalo:

Ni asilimia ngapi ya maamuzi ya viongozi wetu katika kuendesha taifa letu yanakua affected na dini ya huyo kiongozi badala ya manufaa ya umma AU( more appropriatly kwa viongozi wa nchi yetu) kwa manufaa yake binafsi!!!???
Swala kubwa linalotukosesha maendelea sisi wa Tanzania ni ubinafsi wa viongozi wetu WALA SI UDINI!!!!!
MTIKILA PLEASE DIE A SLOW DEATH!! You are trying to plant a cancerous cell into our already immunocompromised and weak body!!!
 
Zamani kabla sijakutana na Mtikila ana kwa ana nilisikiliza propaganda na kumuona kama kichaa.
Nilipokutana naye na kumsikiliza niligundua Mtikila ni kichwa kweli kweli. Bwana huyu pamoja na propaganda zinazofanywa ili ashuke kisiasa kama walivyojaribu kuwafanyia wengine na kufanikiwa yeye habadiliki. Ni mtu anayesema ukweli siku zote akiwa na ushahidi nyuma yake. Anakili wazi kuwa anaandamwa na hata kufungwa kwa kusema kweli. Na hataacha.
Niliwahi kumsikia akizungumza na kundi la watu kwa masaa 5 mfululizo tena aki back up hoja zake kwa ushahidi mzito. Ukimsikiliza ana kwa ana utashangaa maana yeye ni rahisi kuteka nyoyo za audience wake wanaomsikiliza.
Kuhusu huo wanaoita waraka ninaujua, nimeshauona na kuusoma tena unazunguka kwa kasi kweli kwa miezi mingi.
Nami naungana na wengine humu kuuliza hivi do we have a police state? maana yale ni mawazo yake binafsi sawa na Kikwete anavyotusomea nyaraka zake mwisho wa mwezi. Sasa shida iko wapi? hivi kwani sina ruhusa ya kusema udhaifu wa Kikwete kwa wengine na kisha kuwaomba wanaonisikiliza either kwa kusoma au ana kwa ana wasimchague? Inaelekea kuna nia ya kumfanya Kikwete mungu mtu. Na hapa ndipo tunatia mashaka kama kweli si udini kwa nini polisi wanaingilia uhuru wa mtu kuongea?
Ni ujinga huu huu wa polisi uliosababisha leo Jamal Rwambo kufunguliwa kesi ya madai na Mtikila mwenyewe huyu huyu. Usishangae kusikia mwisho wa siku anatakiwa kumlipa 500 millioni.
Kwa wale wanaohitaji kuuona waraka huo ni rahisi. Kwa kuwa si siri upo unazunguka mitaani, ni rahisi kuupata na kuwaletea hapa.
Hata katika kesi hii Kikwete na kundi lake watashindwa kama siku zote.
 
Mtikila used to speak his mind freely even during Mwalimu's time. We could not hear him then because Mwalimu ascertained that there was only one voice in the country, and that was his own. Some thugs tried to stop Mtikila by beating him up badly. He was left for dead but, in his stubbornness, Mtikila refused to give up the ghost!

Mtikila has reason to fear the people who have arrested him this time around. There is Suleiman Kova who gave the order. But as Mtikila is a national figure, Kova must have consulted Said Mwema before making his move. And who put Kova onto Mtikila's trail? That's Ramadhani Omari's department. And Omari must have briefed and obtained the blessing of his boss, Jakaya Kikwete.

Now, it is entirely possible that all these people owe their appointment to their faith. They are not likely to be unbiased towards anyone who accuses their boss of UDINI.

Thanks.
Clear and understood
!
Be blessed
.
 
Back
Top Bottom