Mtihani wa kwanza anga za kimataifa kwa Rais ni mwezi August mwaka huu

leo mwezi Februari tungoje mpaka Agosti, ndo Magufuli ajitome anga za kimataifa, we mtu vp!
 
Kuna watu mnakera hadi baasi, hivi hiyo mikutano ina umuhimu gani kwa watanzania maskini hawa hadi iwe kipimo cha Rais wetu? subirini 2020 mgombee tena kama bado mna kihoro cha kukosa urais
 
Kuna watu mnakera hadi baasi, hivi hiyo mikutano ina umuhimu gani kwa watanzania maskini hawa hadi iwe kipimo cha Rais wetu? subirini 2020 mgombee tena kama bado mna kihoro cha kukosa urais
Mleta uzi anamaanisha kwamba....
Pombe anapata shida kuzungumza lugha ya malkia kwa ufasaha.
Naona watu wanazunguka m-buyu tu hapa na figisu majanga tu...
 
Kama shida ni lugha ya Malkia, ataongea lugha yetu. Hii lugha yetu inatumika katika mikutano ya AU na wakalimani wapo. Rais wa China alikuja hapa na aliongea kichina, sioni ajabu
Unaongea kishabiki mkuu,ukweli ni kwamba kiingereza uchina sio lugha ya kufundishia lakini hapa ni lugha rasmi secondary na vyuo vikuu na mheshimiwa kapita huko huoni hiyo ni aibu??isitoshe atakuwa ndio rais wa kwanza kufanya hivyo hapa TZ.
 
Mmmh kuna mtu aliniambia kuna kingilishi cha kisiasa na kingine cha kisayansi! Akasema ukibobea kingilishi cha kisayansi basi si rahisi kuzungumza cha kisiasa! Eti wajameni kuna ukweli hapo?
Hasa waliosomea michepuo ya sayansi aaaah ni shida wanajua cha kujibia maswali na kukariri kwingiiiiiiii kipo lakini cha kuunga unga sana you know you know nyingiii.wanaopita michepuo ya sayansi kwa shule za sasa hivi wanaotoka na kiingereza chekechea hao wanajua na wako vizuri.
 
Waziri wa fedha Mpango yuko vizuri lugha imefika mahala pake hakujaribu kuipiga teke kama wengine wanavyojaribu kuifanyia masihara huku wakijua ni moja kati ya madaraja ya kufikia ughaibuni.
 
Back
Top Bottom