mtihani wa kiswahili kidato cha nne 2011

Kitu gani au kipimo gani umetumia kusema mtihani wa Kiswahili ni mgumu mkuu?Kama utakuwa nje ya mtaala basi watakuwa wameonewa ingawa kuna utata kwa mfano syllabus,mwanafunzi huko kidato cha nne na anafundishwa kutumia syllabus ya kidato cha nne lakini mtihani anafanya wa syllabus nne form 1,2,3,4 je hapo tunakuwa tunampima nini huyu mtu?
 
mtihani sio lazima wote wafaulu wakuu. acha vilaza watofautiane na vipanga wakuu
 
Back
Top Bottom