Mtihani wa kidato cha nne wahahirishwa

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
leo ktk mapitio ya magazeti kuna kichwa cha habari juu ya kuhahirishwa kwa mitihani hiyo,je kuna ,mtu mwenye details zaidi?
 
Sasa kama ni siasa huyu JK inabidi tumuondoe ikulu haraka sana hiyo tarehe 31, this would be a joke of the year!!!!!!
 
Serikali ya ccm haina hasara kwani watoto wao wanapata elimu nje, hawajui shida, wala hawana wasiwasi juu ya baadae kwani kila mmoja anajua kitengo kipo tayari kinasubiri amalize shule hata kwa kuunga unga mara London, mara Moscow mara New york. Ndo nchi yetu tuliachiwa na wazee wetu.

Kama hatubadiliki tufanyeje? kama hata jeshi ambalo linatumia jina la wananchi linaanza kutishia, watanzania tutegemee nini, Miujiza ya mungu.
 
leo ktk mapitio ya magazeti kuna kichwa cha habari juu ya kuhahirishwa kwa mitihani hiyo,je kuna ,mtu mwenye details zaidi?

Kuhahirishwa ndio nini? Inabidi tupitie tena syllabus zetu kwani wengi wa wanaomaliza secondary siku hizi hawajui kuandika....
 
Back
Top Bottom