Mtihani wa kesho huu hapa!!

I agree with this problem inakuja cost, hawa jamaa wanachofanya ni kupunguza gharama kwa ku-impair standard. wangelweza kutengeza secured network, na kuagiza high speed printers na kufanya kuwa ni lazima kila shule inunue au hata ikopeshwe kama shart la kusajiliwa na baraza. Tatizo linakuja, Internet, Kama baadhi ya wizara na idara nyeti hazina internet na sometimes updates zinafanyika mara moja kwa mwaka unatarajia nini. Hapa cha kufanya ni kuinvest kwenye elimu na sio siasa kama wanavyofanya watawala wetu.

Kila kitu cha msingi kina gharama. Tanzania tunapenda njia nyepesi na rahisi kutafuta ufumbuzi au kutatua matatizo ndio maana wanafunzi na wazazi nao wanatafuta njia fupi ku-wini hali halisi ya maisha Tanzania!

Dawa ni kuwa na computer centers wanafunzi wanakwenda fanya mitihani. Mtihani huu utakuwa mmoja tu kujua kama wanafunzi wana uelewo au hawana. Huko mashuleni, maksi zao na GPA zibakie huko huko pamoja na mitihani ya mwisho ambayo ni ya ama shule, kanfda au mkoa. Watakapofika kwenye exam center wakitumia namba ya mtu binafsi ya mtihani , akishaingiza jina na namba, maswali yanatoka kwa random order kuchanganya masomo yote kila akimaliza swali.

Akitoka hapo ni kijasho, awaambie kina John na Mwaimu swali la nne ni hsabati, akiingia John swali la nne ni Biology!

This will eliminate all the crap ya watu kukariri mambo au kuiba mitihani!
 
Kila kitu cha msingi kina gharama. Tanzania tunapenda njia nyepesi na rahisi kutafuta ufumbuzi au kutatua matatizo ndio maana wanafunzi na wazazi nao wanatafuta njia fupi ku-wini hali halisi ya maisha Tanzania!

Dawa ni kuwa na computer centers wanafunzi wanakwenda fanya mitihani. Mtihani huu utakuwa mmoja tu kujua kama wanafunzi wana uelewo au hawana. Huko mashuleni, maksi zao na GPA zibakie huko huko pamoja na mitihani ya mwisho ambayo ni ya ama shule, kanfda au mkoa. Watakapofika kwenye exam center wakitumia namba ya mtu binafsi ya mtihani , akishaingiza jina na namba, maswali yanatoka kwa random order kuchanganya masomo yote kila akimaliza swali.

Akitoka hapo ni kijasho, awaambie kina John na Mwaimu swali la nne ni hsabati, akiingia John swali la nne ni Biology!

This will eliminate all the crap ya watu kukariri mambo au kuiba mitihani!

Kaka Hata Hili nalo Bado siyo suluhisho....Wangeweza Wamerekani...Mitihani ya Microsoft na Cisco yote ipo online....Kazi kwako tu....Awali Ilikuwa ukienda kufanya exams zao hakuna ID na Picha, Last year wameweka na wamesema its must...pamoja na kudhibitii kote bado exams zinaleak..Hasa China, India, Pakistan na nchi zenye population kubwa...na Ukileak sehem moja, within no time ulimwenguni kote washajua!!!
apart from hio, setup ya Maswali yanakuwa objectives types...sio ya kujieleza...kwa technologia ya sasa....so bado ipo weakness ingine itatokea...

Tunachoweza fanya ni kudhibiti Taathira ya Kuvuja isiwe Kubwa sana. Na Hapa Wizara na NECTA wawe na Kazi ya review kila mara namna ya kuendesha mitihan yao...

Pia lipo wazo la Kuwa na Baraza la Mitihan zaid ya Moja...then Management yake itategemea iwe vipi..like UK..Cambridge exams...etc....Pia wazo la kuwa na Mitihani ya Kanda nalo si baya....Kudhibiti at 100% ngumu...Unaposoma Security...Moja ya kitu muhim ni wafanyakazi wako. siku zote wizi unatokea within an org...
 
This is serious. Unajua impact yake ni kushusha kiwango cha elimu. Habari hii inafika mbali matokeo yake vyeti vya kibongo vitaanza kushukiwa popote pale duniani na hasa huku dunia ya kwanza. Swali la kujiuliza kama patriotic ni kitu gani kifanyike kulinda heshima ya elimu ya Tanzania.

"ask yourself what you can do for the country and not the country can do for you"
 
Wanakuwa na mitihani tofauti mitatu ambayo inasambazwa yote hadi nadhani ngazi ya mkoa. Kwa hiyo wakiamua kubadili ni kusambaza toka mikoani

Uko sahihi Mpita Njia, na taarifa ni kwamba, usiku huu taarifa kutoko mikoani zinasema mitihani mipya ilikuwa ikisambazwa chini ya ulinzi mkali wa polisi wa kiraia na wenye sare, huku kukiwa na ufuatiliaji wa kiana. Lakini hayo yote yametokana na JF, kwa kweli sasa JF imerudi kwenye kazi yake halisi, kama ilivyo jina la muwasilishaji.

Lakini sasa ukirudi mwanzo wa thread hii utaona kwamba, mitihani ilivuja karibu yote sasa kazi iko kwa wale ambao tayari walikuwa nayo na imekwishafanywa. Lakini pia ukipeleka mipya utakuta pia wanayo watu na wanafunzi wengi si kwamba wanakariri bali wanaisoma na kufundishwa na walimu wao zile topic zilizotoka katika mitihani walioiona, kwa hiyo hata ukamataji wa kusahihisha itakuwa ngumu sana. Watakaokamatwa ni wale mbumbumbu kabisa ambao wanalazimika kukariri majibu. LAKINI HUU NI UHALIFU AMBAO TUMEULEA KWA MIAKA MINGI NA SAA UNAZAAA MAFISADI.
 
samahani wakuu, kwa miundo mbinu ya tanzania ni vigumu sana kudhibiti wizi wa mitihani, natoa mfano wa shule moja ya secondary iko km 30 tu kutoka musoma mjini, inaitwa kiagata sec, cha ajabu hiyo shule huwa wanakuja kuchukua mitihani yao kutoka mara sec, ambayo iko musoma mjini, sababu ya ukata huwa hakuna ulinzi na mara nyingi huwa hiyo mitihani inafatwa na mwalimu wao wa taaluma, tena kwa baiskeli, wakati nikiwa bado sijastaafu uhuni nilikuwa namteka sana huyo mwalimu na kumtoa mitihani, na alikuwa ananipa kilaini tu, nachukua nachana bahasha kisha nampa iliyobaki aende nayo, mie kazi yangu ilikuwa kuweka target tu ya nani atakuja kuchukua mtihani, wakati mwingine nilikuwa namlia mingo hadi kwenye kipori tu!
Hivyo ni rahisi sana kuiba mitihani hasa kwa shule za vijijini.
cha msingi itafutwe njia mbadala ya kupunguza ila sio kuzuia wizi wa mitihani, haiwezekani kabisa!
 
Ndiyo historia inabalika wewe fikiria toka miaka ya Id hadi leo ya mseveni kuna historia ngapi zimetokea?

Nadhani ktk mitihani hiyo kungekuwepo na swali afadhali moja la kuelezea anguko la siasa za Nyerere yani ukominist wa Tanzania.

Historia ipi hiyo inayobadilika ndg? Unachozungumzia ni historia kupanuka .. nadhani umenielewa..
 
This is serious. Unajua impact yake ni kushusha kiwango cha elimu. Habari hii inafika mbali matokeo yake vyeti vya kibongo vitaanza kushukiwa popote pale duniani na hasa huku dunia ya kwanza. Swali la kujiuliza kama patriotic ni kitu gani kifanyike kulinda heshima ya elimu ya Tanzania.

Hiyo hoja niliyoi-bold imenigusa sana.

Ama kweli sisi watanzania ni mbumbumbu na tuna akili za kuku..yaani hatuoni mbali kabisa.. Sasa mavyeti na ma degree mshenzi yetu yatakapokuwa boycotted sijui tutakuwa wageni wa nani.. Hakika tumo ndani ya very strong vicious cycle

Masikini nchi yetu..
 
Hivi mnajua baraza letu lina mawaziri wangapi waliothibitika kuwa wametumia vyeti bandia vya elimu na bado wanalindwa na utawala kwa madai kuwa wakichukuliwa hatua ni chama (CCM) ndio kitaathirika?

Hivi tumewahi kujiuliza ni viongozi wangapi wa nchi hii waliofanikiwa kumaliza masomo yao walikuwa mabingwa wa kudesa hata ktk elimu ya chuo kikuu...

Na siku hizi mtindo ni kukodi majeshi. Vilaza wanakodisha vipanga kuwafanyia mitihani....

Kesho waliofanya haya wanakuja kuongoza taasisi ya kuzuia rushwa, Mahakama, Polisi, Usalama, Uwaziri Mkuu na hata Urais....

Tanzanianjema
 
sasa hebu tuanze kusolve hiyo paper

Why did british adopt indirect rule in her colonies?
1. the first point is TO REDUCE THE COSTS OF ADMINISTRATION
by using local officers and paying them less, helped them to reduce the costs of administration

2.The second point was TO MAKE PEOPLE FEEL THEY GOVERN THEMSELVES
this aimed at reducing resistance from the people, by appointing officers among the locals helped to make people feel they pull the strings of their own affairs

3.The third point was, BRITISH HAD NO ENOUGH PERSONEL TO GOVERN ALL HER COLONIES, the total number of britain officers who would otherwise be needed to govern in the colonies was not enough, because the british empire was so huge!. so they needed locals
 
Nashuka swali la pili
2. Explain the factor of the rise and consolidation of the centralized states in different African societies

the factors are
1: The discovery and usage of iron Technology
after the discovery of iron technology, tools started to be made of iron, agricultural tools were much better now so the agricultural output was sufficient, also deffence tools such as arrows were much better due to iron technology

2. The second point was GOOD LEADERSHIP
leaders such as Mansa KanKan Musa of Mali, Queen Nzinga Mbandi of Congo, Sundiata Keita were good leaders who helped their states to be strong

3.The third point is Strong armies
Kingdoms such as Songai, Ghana had strong armies which defended the kingdoms against external rivalies.

4.Unity
Unity among people also was a factor for the rise and consolidation of these Centralised African states, people were ready to unite to fight the enemies of their states

5. The fifth point was Trade
in the Pre-Colonial era, african states and kingdoms used to trade one another
the trade was in the form of barter trade,

all in all the above are the main points for the rise and consolidation of centralised African states in the Pre-colonial era
 
This is serious. Unajua impact yake ni kushusha kiwango cha elimu. Habari hii inafika mbali matokeo yake vyeti vya kibongo vitaanza kushukiwa popote pale duniani na hasa huku dunia ya kwanza. Swali la kujiuliza kama patriotic ni kitu gani kifanyike kulinda heshima ya elimu ya Tanzania.

"ask yourself what you can do for the country and not the country can do for you"

Usiwe na wasiwasi hatutakaa tuifikie Nigeria na Misri
 
Nashuka Swali la nne

4. Describe various methods used in the establishment of colonial economy

methods used were:
1.Taxation
by introducing taxes in the form of currency, africans were compelled to work in the colonial established infrastructures such as plantatations and mining sites

2.Introdution of various laws
Laws such as kipande system in Kenya were established, the aim was to make sure that labour is well controlled and managed by making sure that information concerning the labourers is available and well documented, also to indirectly force people to work for the colonialists

3.Migrant labour system was used
Some areas such as Kigoma were reserved for providing labourers, while areas such as Kilimanjaro were reserved for huge plantatations

4:Building of Infrastructures
Colonialists built railways and ports as well as roads to the areas which were of the great importance to the economy, the aim of the infrastructure was to feed the economy with raw materials, transfer of labourers and the law enforcers as well

5:Land alienation
by alienating people's land , colonialists forced people to find other places to sustain themselves,
so people had no much of choices except to work in the colonialists plantatations.

6:Opening of training centres
the aim was to train clerks who would administer in the areas where otherwise they would not be able to reach themselves
 
Serikali ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Arusha jana ilitoa tamko lake kuunga mkono kauli ya Umoja wa Serikali za Wananfunzi wa Vyuo Vikuu (TAHLISO) kumtaka Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Jumanne Maghembe ajiuzulu kutokana na kashfa ya kuvuja kwa mitihani ya kuhitimu kidato cha nne. Mbali ya kumtaka Prof Maghembe ajiuzulu, pia chuko hicho kimemtaka Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Joyce Ndalichako aachie ngazi kutokana na kushindwa kusimamia vema idara hiyo hadi mitihani ikavuja.


Akitoa tamko hilo kwa vyombo vya habari, Waziri mkuu wa serikali hiyo, Silas Noah Bwire alisema, Prof Maghembe ameshindwa kusimamia utendaji na uendeshaji wa mitihani ya sekondari hivyo yeye na Ndalichako waachie ngazi.


Bwire alisema kitendo cha kuvuja kwa mitihani hiyo ni aina ya ufisadi wa hali ya juu hivyo kwa utendaji bora na wenye kutukuka kwa watendaji hao ni kujiuzulu kama walivyowahi kufanya viongozi wengine waandamizi wa serikali.

Alisema serikali ifanye uchunguzi wa kina na watakaobainika kuwa nyuma ya kashfa hiyo baada ya kuvuliwa nafasi zao wachukuliwe hatua za kiutumishi na kisheria ikiwa ni pamoja na kufikishwa mbele ya mahakama.

"Hii ni sekta muhimu kuliko sekta zote, wizi wa mitihani na vyeti ni kitisho kwa Watanzania, kwa mtindo huu tutajenga taifa la aina gani? La wasomi feki wenye sifa lukuki katika vyeti lakini wabovu katika utendaji? Hili halitavumulika," alisisitiza Bwire.

Aidha ameonya kuwa suala la mitahini ni la kitaalamu mno na kamwe siasa isiruhusiwe kuingia hata kidogo kwani ubora wa wanafunzi kwa viwango vyote hupimwa kupitia ufaulu katika mitihani yao na si vinginevyo.

Aliogeza kuwa hata mitihani ya kidato cha nne inayoendelea wakati huu inafaa isitishwe kwani ikiwa Baraza limekiri kuwa somo la hisabati limevuja haiwezi kupinga kuwa hata mingine haikuvuja kwani yote ilikuwa katika stoo moja.

Wizara ya Elimu na Necta yamekumbwa na kashfa lukuki katika kipindi hiki kama vile migomo ya wanafunzi wa shule na vyuo, vyeti kuibiwa, vyeti bandia kutumika kuingia katika chuo cha ualimu Kange na sasa kuvuja kwa mitihani.
 
nakamua swali namba Saba

7. Factors of abolition of slave trade

the factors are
1.The industrial revolution
the industrial revolution in england matured to an extent that slave labour could be replaced by machines, so slaves were no longer needed

2.The other point was, to make slaves remain in their respective areas where due to the rise of colonialism they would be able to work in the colonial economy for providing cheap labour while residing in the colonies.

3.Humanitarian reasons
some evangelicals spoke against slave trade, and due to their influnce in england, people slowly started to turn against slave trade.
 
majibu ya Matching items na miaka itakayokuwemo kwenye mtihani

A. Bunyoro
B. Busaga
C. Buganda
D. Ankole
E. Rwanda
F. Burundi
G. Karagwe
H. Ghuba
I. Burma

(a) 1880
(b) 1898
(c) 1900
(d) 1885
(e) 1977
(f) 1884 – 1885
(g) 1890
(h) 1822
(i) 1921
(j)
 
all in all the above are the main points for the rise and consolidation of centralised African states in the Pre-colonial era
__________________


Ndugu yangu hii ndio imeniua kabisa!!! tehe tehe
 
Back
Top Bottom