Mtihani wa Dini Uondolewe kwenye Sylabus na kwenye Mitihani ya NECTA

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
8,390
4,055
kufuatia shutuma wa baadhi ya madhehebu/dini kwamba watoto wao/dada/kaka/ndugu zao kwamba wamefelishwa au hakutendewa haki na necta, basi ni vizuri hii mitahi au somo lote kwa jumla likaondolewa katika sylabus yetu, kwa maana kila dhehebu litakuwa lina hisia kwamba wafuasiwa wao wameonewa kwa hili au lile. hivyo basi ili wote wawe katika usawa ni mitahani inayo fanywa na makundi yote ndio yaingie kwenye sylabus ya taifa, hayo mengineyo kila dhehebu lifuate huko huko kwenye mamlaka zao.
 
Somo lenyewe lisiondolewe bali lisiwe sehemu ya kupata wastani wa kufaulu ili kuongeza division.
 
kufuatia shutuma wa baadhi ya madhehebu/dini kwamba watoto wao/dada/kaka/ndugu zao kwamba wamefelishwa au hakutendewa haki na necta, basi ni vizuri hii mitahi au somo lote kwa jumla likaondolewa katika sylabus yetu, kwa maana kila dhehebu litakuwa lina hisia kwamba wafuasiwa wao wameonewa kwa hili au lile. Hivyo basi ili wote wawe katika usawa ni mitahani inayo fanywa na makundi yote ndio yaingie kwenye sylabus ya taifa, hayo mengineyo kila dhehebu lifuate huko huko kwenye mamlaka zao.
mimi nachoombo wafanyakazi wenye hisia za kidini kama walivyo sasa dk ndalichako na kundi lao waondoshwe
 
Mimi nadhani topic hii haijawa wazi vizuri. Mpaka sasa hivi sijajua ni msingi upi unaotumika kuandaa mtihani wa dini. Labda tungepata sababu za wale waliokuwa wameamua kuwepo mitihani hiyo watuambie lengo lilikuwa nini. Kuna wakati nilishawahi kusikia mahali kuwa wale wanafunzi wanaochukua PHD huwa wanatakiwa wasome pia Biblia(Christians Religion book) kutokana na sababu kuwa kitabu hicho kina filosofia ya hali ya juu. Hebu wataalamu kama mpo mtupe ufafanuzi katika hili.
 
majiuliza sisi wote tumesoma shule, ua labda ilikuwa zamani...sioni mahusiani ya kufaulu na dini? nadhani ni shule zenyewe zinakosa viongozi wa kuzisimania..... sasa baraza la mitihani kosa lao nini?
 
Duh mkuu PHD ya nini inahitaji qualification hiyo..????!!! sijapata kusikia hii nasikia kutoka kwako
 
kwa kuwa linaleta migogoro sana bora hata lisiwepo kwenye mtihani ya kitaifa.
 
Wakati wetu Mitihani ya DINI haikuwa kwenye NECTA ni Utawala wa Rais gani walianza kuweka DINI kwenye Mitihani ya NECTA?

Hapo ni Makosa; Kama Unataka kusoma Dini unakwenda Moja kwa Moja Shule za Dini... ambazo hazijihusishi na Serikali
 
majiuliza sisi wote tumesoma shule, ua labda ilikuwa zamani...sioni mahusiani ya kufaulu na dini? nadhani ni shule zenyewe zinakosa viongozi wa kuzisimania..... sasa baraza la mitihani kosa lao nini?

Hoja iliyozungumza ni kukosekana utendaji wa haki na uaminifu ambayo muhusika aliaminiwa. hilo ufumbuzi wake sio kuondoa somo la dini, ufumbuzi wake ni kuwajibishwa na kuweka kiongozi muadilifu. Hii ni wakeup call kwa wahusika wajue kile kilichokua kikidaiwa muda mrefu kilikua ni madai ya msingi. Kama lilichofanyika ni kweli cha kuwafelisha wanafunzi kwa sababu ya dini zao kwa muda wa kipindi cha miaka isiyopungua kumi kwakweli hichi sio kitu cha kupuuza hasa ukizingatia kua hakuna njia ya kukilipa kwa thamani yoyote.
 
hakuna somo la dini katika sylabus zetu naomba mleta maada kasome vizuri, hivi "divinity" kiswahili chake ni dini?

di·vin·i·ty

1. the quality of being divine; divine nature.
2. deity; godhood.
3. a divine being; God.
4. the Divinity, ( sometimes lowercase ) the Deity.
5. a being having divine attributes, ranking below God but above humans:
 
Lol! Ana-imagine phd unaenda kusoma masomo, unafanya test na assignments afu unaandika ka-research paper.

Duh mkuu PHD ya nini inahitaji qualification hiyo..????!!! sijapata kusikia hii nasikia kutoka kwako
 
umenena sana mkuu sioni logic ya kuweka mitihani ya dini kwenye necta then what next kama mtu akifaulu huo mtihani wa dini? mambo ya dini yaachwe kwenye dini binafsi watu wabanane kwenye masomo ya ukweli kama maths etc sio kupata point za mezani hapo hakutakuwa na longolongo.
 
Wakuu tuache jazba....kosa lililofanyika limeshafafanuliwa kuwa mfumo ulotumika uliandaliwa kwa paper 3 zilizokuwa zikifanyika kabla ya format kubadilishwa mwaka jana kuingia pepa 2.

Watu tumekazania Udini na hata tunafikia mahali pa kutaka somo liondolewe...wengine Ndalichako ajiuzulu nk...yawezekana alohusika na kosa la kutokugagua ukokotoaji huo ni wa dini hiyo hiyo inayolalamika. Huyu ndalichako anayesulubiwa anahusika vipi na mfumo? Tatizo tunaingiza udini kila mahali...Wakuu wa shule zilizohusika walishaelimishwa juu ya kilichotokea na wameelewa lakini wengine (ambao nautilia shaka uwezo na elimu yao wako busy misikitini kuhamasisha maandamano.

Haka kanchi bana ... Sometimes ni kukosa kazi...Tuwaache NECTA wafanye kazi yao mimi nina uhakika pale ni moyo wa wizara ya Elimu (ambayo inaongozwa na Muislamu mwenzao) na Ikulu (ambayo pia inaongozwa na Muislamu mwenzao)...Kwa hakika kama kungekuwa nauchakachuaji wa makusudi nadhani wengine wangekuwa ndani sasa hivi..
 
mimi nachoombo wafanyakazi wenye hisia za kidini kama walivyo sasa dk ndalichako na kundi lao waondoshwe

mbona waziri hamjamtaka ajihuzuru ili hali kina EL na wengine wameondoka kwa uzembe wa watu walio chini yao? Tatizo lenu hamjui kuficha hisia zenu.
 
Wakati wetu Mitihani ya DINI haikuwa kwenye NECTA ni Utawala wa Rais gani walianza kuweka DINI kwenye Mitihani ya NECTA?

Hapo ni Makosa; Kama Unataka kusoma Dini unakwenda Moja kwa Moja Shule za Dini... ambazo hazijihusishi na Serikali[/QUOTE]
 
umenena sana mkuu sioni logic ya kuweka mitihani ya dini kwenye necta then what next kama mtu akifaulu huo mtihani wa dini? mambo ya dini yaachwe kwenye dini binafsi watu wabanane kwenye masomo ya ukweli kama maths etc sio kupata point za mezani hapo hakutakuwa na longolongo.

kesho na keshokutwa likitokea tatizo kwenye commerce nayo tuifute?????
 
Wakati wetu Mitihani ya DINI haikuwa kwenye NECTA ni Utawala wa Rais gani walianza kuweka DINI kwenye Mitihani ya NECTA?

Hapo ni Makosa; Kama Unataka kusoma Dini unakwenda Moja kwa Moja Shule za Dini... ambazo hazijihusishi na Serikali

ni lini hapo?
 
Back
Top Bottom