Mtihani wa Darasa la Saba, baada ya miaka 50 ya Uhuru

mluga

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
676
215
Wakuu, nimeishiwa kauri na nguvu baada ya kuitizama hii picha ambapo mwalimu anasimamia mtihani wa kumaliza darasa la saba.
 

Attachments

  • Mtihani wa Darasa la Saba Tanzania.jpg
    Mtihani wa Darasa la Saba Tanzania.jpg
    15.2 KB · Views: 97
mwongo kabisa, hii picha mbona mnatuchanganya nayo? Mara monthly test mara zoezi na leo umekuja na nyingine ya necta? Heh!
 
Back
Top Bottom