Mtihani mzito sana kwa JK mwezi huu

Jambo la kuuawa kwa mwandishi wa habari lipo mahakamani hivyo sitalizungumzia. Pia kuhusu suala la vuigogo kuweka pesa uswisi huu ni uongo tu unaopikwa na benki ya dunia ukishirikiana na viwanda vya uongo vya hapa ndani. After all huu ni upepo tuu utapita.
 
Chezea jeikei wewe...yaani mnakaa na shauku kwamba anakuja na maamuzi ya maana kumbe wapi, full mipasho kama ada ref. Viwanda vya kutengeneza uwongo
 
Hakuna lolote la maana atakalosema, sana sana anaweza kuahirisha kuhutubia na kama akihutubia utasikia maelezo ya kisaniisanii kama haya:

1/Daraja la kigamboni.

2/Mradi wa mabasi ya kwendakasi Dar.

3/Kitisho cha mvua za El-nino

4/Hali ya uchumi na chakula nchini.

5/Mradi wa vitambulisho vya taifa(Updates)

6/Mchakato wa katiba mpya(Updates)

7/Feedback ya kufanyika kwa mtihani wa darasa la saba

8/Msisitizo wa kupigia kura vivutio vya utalii(Mt. Kilimanjaro, Ngorongoro)

9/Suala la mauaji ya mwangosi lakini kwa lugha ya kisanii sana(eg. Rambirambi!!, Liko mahakamani, Tusubiri report ya kamati)

10/Mgogoro wa ziwa Nyasa(Updates)
Kwa uzoefu wake wa KUUSOMA UPEPO na KUZUGA hayo ndiyo atakayozungumzia!!

Na anaweza kuongezea chuo kikuu cha kijeshi
 
Hakuna lolote la maana atakalosema, sana sana anaweza kuahirisha kuhutubia na kama akihutubia utasikia maelezo ya kisaniisanii kama haya:

1/Daraja la kigamboni.

2/Mradi wa mabasi ya kwendakasi Dar.

3/Kitisho cha mvua za El-nino

4/Hali ya uchumi na chakula nchini.

5/Mradi wa vitambulisho vya taifa(Updates)

6/Mchakato wa katiba mpya(Updates)

7/Feedback ya kufanyika kwa mtihani wa darasa la saba

8/Msisitizo wa kupigia kura vivutio vya utalii(Mt. Kilimanjaro, Ngorongoro)

9/Suala la mauaji ya mwangosi lakini kwa lugha ya kisanii sana(eg. Rambirambi!!, Liko mahakamani, Tusubiri report ya kamati)
B
10/Mgogoro wa ziwa Nyasa(Updates)
Thank you
 
Hakuna jipya zaidi ya kutoa lawama na kusema ame wasamehe madaktari walio omba msamaha!

Nitamshukuru kama baada ya hotuba ataamua kutulia nchini.
 
Mi nakumbuka kipindi kile cha dowans jamaa alipiga kimya,watu tukasubiri atoe ufafanuzi kwenye hotuba za mwisho wa mwezi,ilipokaribia mwisho wa mwezi jamaa akasafiri,nakumbuka hadi mama Maria Nyerere alipaza sauti akipinga dowans kutolipwa,baada ya kimya cha mda mrefu jamaa akaibuka kwenye mkutano wa CCM akisema hawajui dowans na wala haitaji kuwaona,nilishangaa sana aisee
 
Back
Top Bottom