mtihani kwa mnyika

nunge boya

Member
Jul 3, 2012
6
1
mimi nawakubali sana chadema kwa sababu mara nyingi wanakuwa na hoja zenye mashiko. lakini hili la Mnyika alivyomtuhumu mwingulu nchemba kuhusika katika kashfa ya epa atakuwa na uthibitisho?
 
Kama siyo nchemba ina maana serikali itabidi imtaje hapo ndio unabaki mtihani kwa ccm na serikali yake sio mnyika
 
Siasa za Angaisha bw.eg.e zitawakomaza mishipa bureee,wanajuana hawa wanachofanya ni zuga tu pigen kaza kuufurusha umaskin,Siku anafumaniwa Simbachawene,wabunge wote wa cdm walokuwa pale hotelin walikuwa wanapombeka hotelin kwa Hisani Simabchawene tena wamekiri wenyewe kuwa walipewa Ofa je waliuliza chanzo cha mapato kabla ya kufakamia KIlaji?.
 
Daa kumbe huyu mzizi ni fisadi afu alifoji vyeti,. Da migulu unatisha je ukifika miaka 50 si utakua na dhambi zaidi ya shetani
 
jaman hata mimi nilishanga alikuja tegeta akatoa msaada wa mapikipiki kwa vijana wa tegeta pale na vijana wakachukua hizo pikipiki kumbe pesa kaiba kutoka bank kuu aise anatisha
 
Siasa za Angaisha bw.eg.e zitawakomaza mishipa bureee,wanajuana hawa wanachofanya ni zuga tu pigen kaza kuufurusha umaskin,Siku anafumaniwa Simbachawene,wabunge wote wa cdm walokuwa pale hotelin walikuwa wanapombeka hotelin kwa Hisani Simabchawene tena wamekiri wenyewe kuwa walipewa Ofa je waliuliza chanzo cha mapato kabla ya kufakamia KIlaji?.
Ala!! ... kumbe kweli eeh?
 
Hii kali.Mtu anayepewa ofa kuanza kumhoji mtoa pesa eti wewe hela hizi umepataje?wanamjua kabisa ni mbunge na ni naibu waziri ss jaman s kituko.hela ufisadi kama ni ndogo kama hiyo yaofa yaani naamin hata haitofika laki madhara uake kwa taifa yasingekuwa makubwa.
 
mimi nawakubali sana chadema kwa sababu mara nyingi wanakuwa na hoja zenye mashiko. lakini hili la Mnyika alivyomtuhumu mwingulu nchemba kuhusika katika kashfa ya epa atakuwa na uthibitisho?

Una imani haba na CHADEMA wewe
 
mimi nawakubali sana chadema kwa sababu mara nyingi wanakuwa na hoja zenye mashiko. lakini hili la Mnyika alivyomtuhumu mwingulu nchemba kuhusika katika kashfa ya epa atakuwa na uthibitisho?
==========================================Wakati wa Lema watu walisema hivyo hivyo, baada ya ushaidi kupokelewa, spika aliukalia hadi leo!!!!!!!!!!!!!! Mh. Mnyika hata akiwa na huo ushahidi siyo lazima kuukabidhi, bali akahoji ni lini SHAHIDI zilizotanguliua kama hii ya kwake zitawekwa wazi.
 
mimi nawakubali sana chadema kwa sababu mara nyingi wanakuwa na hoja zenye mashiko. lakini hili la Mnyika alivyomtuhumu mwingulu nchemba kuhusika katika kashfa ya epa atakuwa na uthibitisho?

Join Date : 3rd July 2012
Posts : 6
Rep Power : 302
Likes Received 0
Likes Given 0

Jf kuweni makini na watu hawa wanaojiunga siku hiyo hiyo na kuulizia mambo makubwa makubwa, wewe umetumwa, lakini kwa taarifa yako tu waambie data zote tunazo hata zile ambazo wanafikiri ni siri kwao zilishavuja siku nyingi, tulikuwa tunakusubiria tu kwenye corner. Imekula kwako, tutadhibitisha beyond reasonable doubt, kama kawaida yenu, spika atawalinda kwa kusema tuwasilishe kwa maandishi, kisha mtakaa na vielelezo kimyaa. Lakini siku yenu yaja.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom