Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,850
- 155,799
Gwajima aongee rasmi na vyombo vya habari, vinginevyo atapoteza imani na heshima kwa jamii
Mambo ya kuendekeza njaa tu!
naskia kawe,sijui mtaaaaa,,,,ingia google
ahsante mkuu, ila unajua haya makanisa hayana hata email, natamani sana kwenda uko ila kila nayemuuliza hajui lilipo.
Mkuu lipo kawe ndani ya viwanja vya Tanganyika packers! nenda
Yule jamaa wa Kova anayedaiwa kumteka ulimboka ni mgonjwa wa akili. Alikutwa kanisani anafanya fujo kwa kupiga watu na kutukana ovyo. Wakamkamata wakamfunga akawa anatoa vitisho kuwa yeye ni mtu hatari ndiye aliyemtesa ulimboka. Akapelekwa kituo cha polisi ili kanisani pawe shwari, hapo ndipo Kova na jamaa zake wakapata kichaka kingine cha kujifichia.
Utaalamu ni kuwa ugonjwa wa akili alionao huyu jamaa unajulikana kama MANIA. Na jinsi alivyojipresent ni kuwa alikuwa na delusions yaani mtu kujiona kuwa yuko katika hali fulani ya juu tofauti na ukweli. Mfano, mtu anaweza kuamini kuwa yeye ni Roho Mtakatifu au yeye ni Mungu na ndiye anayeishikilia dunia tofauti na kweli yenyewe.
Kanisa la Gwajima limemshangaa sana Kova na wenzake kwa kupotosha ukweli.
Pia habari za uhakika zinasema kuwa kabla ya kutoa habari hizi, Kova kwa mkono wake mwenyewe aliwagawia hela nyingi waandishi wa habari ili wauaminishe umma kuwa aliyowaeleza ni ya kweli. Hii ni kwa mujibu wa shuhuda aliyemwona kova kwa macho yake mwenyewe.
upo kwenye ibada mkuu??
Mh sasa hiyo diagnosis we umeipata wapi? Mania?? delusion??
Hebu tupeni taarifa za uhakika na sio za kuunganisha maneno ya kitaalamu, mania na delusion ambayo hata tafsiri ulizotoa hazipo sahihi.