Mzee Kijana
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 1,405
- 1,086
I hate JK more than any other creature in this world. Go to hell
Hata ukimchukia inasaidia nini? Wewe ni mtu mdogo sana usiye na thamani yoyote kwenye jamii yetu. Chuki haitakusaidia chochote. Mbona humchukii yule Mkatoliki mwenzako (Mkapa)aliyebinafsisha migodi yetu kwa wazungu na kutufanya tuzidi kuwa maskini? Mbona hatuwasikii kumsema Mkapa kwa ufisadi mkubwa uliofanyika enzi zake? Udini wa Nyerere huuoni unauona wa JK tu? You are nothing but an idiot. Sana sana unamchukia JK kwa kuwa ni Mwislam. Utakufa vibaya na roho mbaya yako.