Mtegemewa wa mafisadi katika Twitter!

Alfred Daud Pigangoma

JF-Expert Member
Mar 30, 2009
1,826
966
Sasa ni dhahiri kuwa huyu kijana anakoelekea ni pabaya kwani mbali na kuwakosanisha vijana ndani ya CHADEMA na wengine kunukuliwa visivyo na magazeti sasa imenipelekea kufuatilia anuani yake ya twitter na yafuatayo ndo niliyoyakut; Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe"@Semkae: @Decenttz @zittokabwe @mamaisara kweli CCM italaumiwa kila kitu?" Kwa sababu wanafanya kila kitu, Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
"@mamaisara: Mh. mbona wanakuandama sana huku Jamii forums kuwa unasaliti CDM kulikoni wakati vijana wengi tuko nyuma yako?" Sijui. Waulize

MY TAKE:
Kama kweli huyu Mtegemewa wa mafisadi kachukua nafasi hii ya kuamua kusaidia mafisadi kama walivyofanya wengine kwa NCCR-MAGEUZI, CUF, na kwingineko katika chaguzi mbalimbali nchini basi tumuepuke.
 
wewe umezoea siasa za ngumi na mapanga zito yupo smart na anafanya siasa za kisasa sion tatizo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom