Foundation
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,421
- 596
Mnajifariji tu nyie. Na hiyo ni dalili ya KUTOJIAMINI. Mimi hapa nazidi kujiuliza hawa wanaoitwa walimu wa diploma sion ndio kwa miaka mingi wamekuwa wakifundisha shule za serikali zikiwemo za kata, si ndio tuneshuhudia miaka hadi miaka watu wakifeli sana na elimu ikishuka siku hadi siku. Ukiwauliza wanasema serikali haiwajali, lakini ukiwauliza ni field ipi ambayo serikali inawajali sana wanabaki kumung'unya maneno tu. Mimi bado naamini walimu wengi wa diploma ni vilaza sababu wengi wameenda huko baada ya kushindwa kuendelea na chuo kikuu. Afadhali miaka hii ya karibuni hata wenye matokeo ya kawaida sana wanaweza wakasoma vyuo vikuu baada ya vyuo vingi kuanzishwa.
Mimi huwa nawaona vijana wengi wanapojazana kwenye wizara fulani kuomba kusaidiwa kupata nafasi ya kusoma diploma, huwa najiuliza hawa wenye matokeo haya na wanaofosi kusaidiwa wanaweza kuwa walimu wazuri.
Bado naamini walimu hawa hawa ndion wamesababisha hata fani nyingine zimeharibika kwa sababu wanafunzi wanapoingia vyuo wahadhiri wanapata tabu , sababu kubwa hawakuandaliwa vizuri huko shule za msingi na sekondari.