mzee wa kurukia na hili umerukia umenikumbusha ile issue ya dc wa igunga ulikuwa hujui kama ni mwanamke au mwanaume ukadai walimchania suruale ikabidi aazimwe!Umeongea ukweli mkuu ingawa magwanda haohao leo wanakupinga, kweli Chadema wanafiki sana,
Kichwa cha habari na message vitu 2 tofauti.hizi ndizo akili za kijinga za magwanda siku zote.
Sote tunajua hivyo lakini hilo halikumzuia kuweka post hii: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/174089-haya-ya-igunga-ni-fundisho-kwa-ccm.html. Kuna tofauti yoyote juu ya Malaria Sugu na hiyo post yako na malalamiko yako dhidi ya Mallya hata kufikia kuhisi sio mwanaCCM kama mweneye anavyojinasibu?...Nani asiejua Malaria Sugu na Ritz wao ni CCM kindakindaki? ....
Mtazamo wako juu ya maandamano ni kuwa umeratibiwa na CDM through JF?
Eliakim Mallya amenyimwa ulaji CCM ndio maana ameturn against his party ?
Wewe na mjumbe wa nyumba kumikumi mtaani hamna umeme na hamjui utarudi lini ?
Hao waliojiandikisha kuandamana wanatumiwa kwa maslahi ya wachache kama wale wanaosombwa na malori kuja kusikiliza siasa na kulishwa pilau
Baada ya kuchanganua dukuduku lako, naomba sasa utujuvye mtazamo wako juu ya maandamano hayo maana hayo hapo juu hayaweki bayana nia ya thread hii
<br />Umeongea ukweli mkuu ingawa magwanda haohao leo wanakupinga, kweli Chadema wanafiki sana,
mbona hueleweki!?Kichwa cha habari na message vitu 2 tofauti.hizi ndizo akili za kijinga za magwanda siku zote.