Mtazamo wa CHADEMA juu ya Lema kujiingiza gerezani

Mangi nampenda lema ila kesho wacha tutafute hela kama kawaida,ye atatoka tu amenda kulea kwa kazi maalum.
Lema yupo chini ya uangalizi mkali sana wa askari Magereza ametwengwa na mahabusu na wafungwa wengine wa kawaida. Sababu kuu ni mbili, usalama wake na kisiasa asije kuharibu gereza, sasa hiyo kazi maalumu sijui ni ipi labda kama alikuwa halijui gereza lakini naamini analijua kwa sababu alishaleta gereza Arusha Tv 2 nadhani na king'amuzi. Lema amekwenda kule ili kuonyesha jinsi asivyo mioga wa watu wanaomtisha kuwa ipo iku watamfunga sasa ameamua kuwaonyesha kuwa kama hapa mnapaona ndiyo tishio lenu basi nakwenda kisha nikirudi mbadili mashairi maana jel itakuwa siyo issue tena.
 
Lema ndie kiongozi wa ukweli, kiongozi wa ukweli ni yule ambae yuko tayari kufia kile anachokiamini.big up Lema! ushindi uko karibu sana.
 
Lema yupo chini ya uangalizi mkali sana wa askari Magereza ametwengwa na mahabusu na wafungwa wengine wa kawaida. Sababu kuu ni mbili, usalama wake na kisiasa asije kuharibu gereza, sasa hiyo kazi maalumu sijui ni ipi labda kama alikuwa halijui gereza lakini naamini analijua kwa sababu alishaleta gereza Arusha Tv 2 nadhani na king'amuzi. Lema amekwenda kule ili kuonyesha jinsi asivyo mioga wa watu wanaomtisha kuwa ipo iku watamfunga sasa ameamua kuwaonyesha kuwa kama hapa mnapaona ndiyo tishio lenu basi nakwenda kisha nikirudi mbadili mashairi maana jel itakuwa siyo issue tena.

pamoja mukubwa
 
VIVA LEMA Hakuna Gereza lolote wala silaha yoyote ile ilishawahi kuzuia uhuru duniani, nenda kumuulize Mandela, Kenyata na Ghadaf ukikutana nae atakuambia, hili polisi wanalofanya ni upuuzi mtupu coz mwisho wake ni kutolewa kwenye makalfati na mitaro ya maji machafu kwa ndosi za ukweli
 
Lema yupo chini ya uangalizi mkali sana wa askari Magereza ametwengwa na mahabusu na wafungwa wengine wa kawaida. Sababu kuu ni mbili, usalama wake na kisiasa asije kuharibu gereza, sasa hiyo kazi maalumu sijui ni ipi labda kama alikuwa halijui gereza lakini naamini analijua kwa sababu alishaleta gereza Arusha Tv 2 nadhani na king'amuzi. Lema amekwenda kule ili kuonyesha jinsi asivyo mioga wa watu wanaomtisha kuwa ipo iku watamfunga sasa ameamua kuwaonyesha kuwa kama hapa mnapaona ndiyo tishio lenu basi nakwenda kisha nikirudi mbadili mashairi maana jel itakuwa siyo issue tena.
Mzee mwenzangu nilipita maeneo ya pale na taar
ifa ya toka vyanzo vya ndani tunazo jamaa yuko fresh anaona na wote,na kila wakati anakuwa akionekana kupean hi kwa kukunja ngumi na mazungumzo ya hapa na pale yaaani unaambiwa hata walioko ndani wana jiahisi wako nyumbani baada ya kumuona.
 
Mimi binafsi Na muunga mkono Lema kwakitendo chake cha kishujaa ninaweza kusema Lema nikama Mzee Madiba Nelson Mandela!
 
Naona zile ID zinafanya kazi kweli kwenye topic inayomhusu mh. lema, wanajamii si mnazijua lakini.......mjini shule!
 
Mbona hamkusema hayo alipowekwa ndani Mbunge wa CUF?
FF uwezo wako wa kuelewa ni mzuri ila unajilazimisha kuonekana mpuuzi. Niwie radhi. Alipozungumzia mwakilishi wa jimbo hukumwelewa? Yule wa Cuf hana jimbo ila VITU maalumu. Hata hivyo mazingira yao yanatofautiana kidogo tuu, mmoja alilazimishwa kwenda mahabusu mwingine alikataa dhamana ili afikishe ujumbe kuwa ktk kutetea haki gereza haliogopwi
 
Back
Top Bottom