Mtazamo wa CHADEMA juu ya Lema kujiingiza gerezani

Hakuna sababu ya msingi iliyompeleka jela zaidi ya sifa za kijinga.

Mahakama inaongozwa na sheria sio siasa.
 
Kamanda Lema alikuwa ametishiwa sana na Zuberi Mwombeji (OCD) kuwa atampeleka gerezani. Sasa kitendo alichofanya kamanda Lema ni kuonyesha haogopi Magereza wala kitu chochote. vile vile ametudhihirishia kuwa ukombozi wa Tanzania unaanzia Arusha!

God bless Kamanda Lema! aluta continue
 
Akitoka huko atakuwa na picha nyingine nzuri tu ya kutupa watanzania ambao hatujawahi kujua watu wanaishije jela,kutokana na kuwa na kesi nyingi za kisiasa Arusha nadhani huu ndio wakati muafaka wa kujua wale watuhumiwa wote waliopo huko wanafanyiwa nini,maana inawezekana pia kukawa na mateso zaidi ya tunavyojua huku uraiani.

Hongera Lema kwa uamuzi wa UJASIRI ambao ni watanzania wachache sana wanaoweza kuuchukua.
 
Hakuna sababu ya msingi iliyompeleka jela zaidi ya sifa za kijinga.

Mahakama inaongozwa na sheria sio siasa.

Mkuu a.k.a Mzee!!!

Hivi kati ya yeye Lema na wewe nani anasababu za kijinga hapa?

Waweza kutuambia kuna kosa gani katika kesi ya Lema zaidi ya Police kufanya imagination ya jambo au tukio ambalo halija tokea? wao siku zote ni kukimbila maandamano ndilo kosa kubwa wakisema sababu za kiintelligensia kivipi?

Mara ngapi Police wameruhusu Mikutano na maandamano ya CDM na hukjatokea fujo yoyote iweje leo mtu anatoka Mahakamani mwenyewe una mzushia kesi ya mkusanyiko kuwa ni maandamano hilo lina ingia akilini? Mfano tumekupa wa Byesige na Museven Jana anakwenda kazini kwa miguu ati hurusiwi tembea lakini alitolewa ndani ya masaa 24 sasa ya lema Police wao wameifanya kesi kwa kosa gani hapo kweli wewe waona ni sheria inatizama mkondo wake ??

Na hao Mahakimu wa mahakama watupe Ushahidi wa kusema ile ni kesi au wanataka kufuja kodi za wananchi tu na ku draw attention zisizo na kichwa la miguu, Hii ni Order kutoka kwa watendaji wa juu hapo Arusha na kupata support ya wakuu kutoka Dar na hakuna hata vyombo vya Media kujadili kuiuliuza Police makao makuu kutufafanulia tukio hilo lilikuwaje? Au wao walikuwa wana mtishia Lema Nyau.

My Take;

Mfano wa Lema kwenda jela sasa wapo wana CDM watukutu kuliko Lema mara hamsni yake sasa sijui Police itaweza wazuia hao au? Libya watua walijifunza kufyatua risasi njiani kwenye mapambano na wakamweka chini Gaddafi sijui utasema nao ni wahuni pia sasa NTC ndio imeweka Prime Minister sasa na Tanzania hii nayo imekubali ingawa walikuwa hawataki kwa sababu zao wao wenyewe huku wakijua wao ndio wale wale wa Gadaffi
 
Lema ni kiongozi wa kweli hawa maaskali wako kwa ajili ya wanasiasa tu lakini kwenye mambo ya msingi ambayo wananchi wanataka huduma yao wanakuwa hawapo hawa ni mbuzi wa waccm
 
Hakuna sababu ya msingi iliyompeleka jela zaidi ya sifa za kijinga.

Mahakama inaongozwa na sheria sio siasa.

Sasa kama inaongozwa na sheria,hakimu amemfungulia kosa lipi?Kutembea
kwa miguu?
Lema hakukurupuka mwenyewe,alijua kuwa angekataa dhamana na ndio
maana akaacha waraka.Lakini ukweli ni kuwa CCM wanampandisha chati
kuliko wanavyofikiria.

Kamanda kaza buti,tuko nyuma yako.
 
Viva Lema viva CHADEMA we are behind you. Freedom z near!
 
Wanamlazimisha Lema atembee na gari ili asifuatwe na wafuasi...
Wanasahau wao wenyewe kuwa jamaa yao JAIRO alikuwa kwa gari (issued by the government) lakini bado alifuatwa na gari ikasukumwa.
Wanatakiwa wajue sio Lema alieamua kufuatwa bali ni wananchi waliamua kumfuata Lema.

Na kama basi kufuatwa ni mbaya, wawaulize wananchi shida ni nini? Kisha wawatatulie. Wakifanya hivyo hawataona tena kufuatana fuatana.

Lema kaonesha kuwa tabia ya kuwapa baadhi dhamana na wengine kunyimwa ni kawaida sana kwa polisi na ndio maana aliweza kuandaa huo waraka mapema akijua yatakayotokea.

Ndugu zangu polisi ninyi ni binaadam kama sisi, ndugu moja, na watanzania. Mnachofanya leo mkifanyiwa nyie kesho baada ya kustaafu mtafurahi? Tupendane na tutendeane haki.
 
Hakuna sababu ya msingi iliyompeleka jela zaidi ya sifa za kijinga.

Mahakama inaongozwa na sheria sio siasa.

Mahakamani hasa Tz yetu ya rushwa nyingi hapatendwi haki kabisa,panapindishwa sheria kama wewe wanavyoupindisha ubongo wako na kukutumia watakavyoona inafaa kwa wao kukupenyezea chochote kwako sababu ya njaa zako.Unabisha na kupotosha mpaka kitu unachokiona kwa macho.
 
Mkuu a.k.a Mzee!!!

Hivi kati ya yeye Lema na wewe nani anasababu za kijinga hapa?

Waweza kutuambia kuna kosa gani katika kesi ya Lema zaidi ya Police kufanya imagination ya jambo au tukio ambalo halija tokea? wao siku zote ni kukimbila maandamano ndilo kosa kubwa wakisema sababu za kiintelligensia kivipi?

Mara ngapi Police wameruhusu Mikutano na maandamano ya CDM na hukjatokea fujo yoyote iweje leo mtu anatoka Mahakamani mwenyewe una mzushia kesi ya mkusanyiko kuwa ni maandamano hilo lina ingia akilini? Mfano tumekupa wa Byesige na Museven Jana anakwenda kazini kwa miguu ati hurusiwi tembea lakini alitolewa ndani ya masaa 24 sasa ya lema Police wao wameifanya kesi kwa kosa gani hapo kweli wewe waona ni sheria inatizama mkondo wake ??

Na hao Mahakimu wa mahakama watupe Ushahidi wa kusema ile ni kesi au wanataka kufuja kodi za wananchi tu na ku draw attention zisizo na kichwa la miguu, Hii ni Order kutoka kwa watendaji wa juu hapo Arusha na kupata support ya wakuu kutoka Dar na hakuna hata vyombo vya Media kujadili kuiuliuza Police makao makuu kutufafanulia tukio hilo lilikuwaje? Au wao walikuwa wana mtishia Lema Nyau.

My Take;

Mfano wa Lema kwenda jela sasa wapo wana CDM watukutu kuliko Lema mara hamsni yake sasa sijui Police itaweza wazuia hao au? Libya watua walijifunza kufyatua risasi njiani kwenye mapambano na wakamweka chini Gaddafi sijui utasema nao ni wahuni pia sasa NTC ndio imeweka Prime Minister sasa na Tanzania hii nayo imekubali ingawa walikuwa hawataki kwa sababu zao wao wenyewe huku wakijua wao ndio wale wale wa Gadaffi

Usipoteze muda wako kumpigia mbuzi gitaa. Hawa ikifika jioni wanaprint utumbo wao jf na kupeleka kwa nepi kama attachment za malipo yao. Bila hivyo hawaishi hawa! Njaa inawasumbua sana.
 
Namsifu Lema kuwazidi akili maofisa wa polisi, yaani amefanikiwa kuwachezea akili zao mpaka hawata lala. Hata viongozi wa kisiasa walio watuma lazima wachanganyikiwe! Hivi watakaa vikao vya kila namna kujinasua na mtego mdogo walio jiingiza.

Najua watambembeleza atoke angekuwa ananisikia ningemshauri wamfutie kesi hiyo ya kishenzi than watangaze kwa umma kuwa walikosea. Yaani maofisa wazima wamegeuka kuwa watumwa wa siasa?

Eti tumezuia maandamano kuhofia al shabaab! Huku simba na yanga wanacheza mkusanyiko mkubwa kuliko maandamano! Nimetokea kuwachukia mpaka naumwa!
 
hivi mbona pale nishati waliposukuma gari la Jairo polisi hawakuwakamata?
 
akiwa kama waziri kivuli wa mambo ndani ni sawa nae kukaa ndani na kujua matatizo yaliyomo ndani huwezi ukawa waziri wa mambo ya ndani ukiwa upo nje na hukuwahi kukaa ndani. hongera kamanda LEMA na ukitoka huko najua utakua na mabomu ya kulipua bungeni ya kufa mtu.
 
tusujidanganye kuwa nchi yetu ni ya utulivu na amani hilihali wananchi wake wamejawa na hasira mioyoni mwao. tafsiri ya amani si kwa kumwangalia mtu usoni ila moyoni mwake anafikiria nini. matendo kama haya yanayofanywa na jeshi la polisi hususani wa arusha mpaka kufikia kuita raia panya, maneno aliyoyatumia Ghadafi kwa wananchi wake na akaishia kukumbilia kwenye calvat na kukamatwa kama MBwa.

Wanayatenda haya kwa amri za wakubwa wao lakini wajue ya kwamba bomu wanalotengeneza siku linalipuka hakutakalika. wanaounga mkono hali kama hii ya uonevu na ukandamizaji ndani ya nchi yao hakika si wazalendo wala si sio wapigania haki ya kweli. Ni wanafiki na vibaraka ndani ya nchi yao. Ukiona kijana anashabikia na kuunga mkono hali kama hii hafai kusikilizwa.

WAJUE YA KWAMBA THERE IS NO SITUATION WHICH IS PARMANENT iko siku na wao watakua upande wetu. Kila kitu kina mwisho. hali hii isitukoseshe nguvu wala isitufunge midomo Lema kaonyesha njia na sisi wapenda haki tummunge mkono.

Kwa kweli Kamanda Lema namkubali ni shujaa wa kweli ambaye hataki kuona mtu akidhalilishwa kwa namna yoyote. Ngoja akaone uozo mwingine unaofanywa na serikali legelege ya magamba. Hao maajenti wa ibilisi wasidhani wanamkomoa bali wanampandisha chati kwelikweli na mpaka sasa amedhihirisha kwamba he is really a BOLD and SMART leader when it comes to defining his position.

Keep it up Comrade Lema
 
Lema ni Mbunge wa Arusha Mjini,
"Stakeholders" wake sio lazima wawe Raia huru tu,
Hata wafungwa na mahabusu pia wanahitaji huduma yake,
Hivyo sio ajabu kwa kitendo alichokifanya!!
Labda kwa wabunge waliozoea kula kuku muda wote ndio watamshangaa Lema
 
Mimi ni mwanachadema tangu 2005 na ninakipenda sana chama chetu makini CHADEMA. Kama wadau na wenye chama tunachukuliaje jambo alilofanya Mh. Lema kwa kukataa dhamana na kukubali kuingia gerezani?

Nafikiri amuombe hakimu amfunge kabisa kama lengo nikufikisha message!
Hakuna zaidi yakutaka umaarufu hapo!Hizi zote ni mbwembwe,
nimeusoma vizuri waraka wa mh Lema kimsingi hana zaidi yakusaka umaarufu.
Mh Lema jamii itakutambua kama ni makini kweli ila sio kwa style hizo!
 
Back
Top Bottom