mchakachuaji192
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 366
- 68
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara mdada anapokutana na kijana wa kiume anakuwa na mtazamo gani ndani ya nafsi yake? Kuna hadithi moja ya kijana na binti walikuwa wako katika maandalizi ya mitihani yao ya kumaliza mwaka wakawa wako kwenye discussion mda umeenda wakajikuta ni usiku na binti hawezi kwenda anapoishi wakakubaliana na jamaa alale tu pale kwake na keshi wataamkia shuleni kwenye pepa walipolala ktkt wakaweka mito ili kutengenisha wa huku asije kwa mwenzie, Mungu akasaidia kukawa kumekucha ila walichelewa kuamka na walipofika shule wakakuta geti limefungwa na hawakuwa na la kufanya, yule kijana wa kiume akatoa wazo turuke ukuta jibu lililotoka kwa binti likuwa ni hili nyoooooo umeshindwa kuruka ukuta mdogo ule ndio utaweza kuruka huu mkubwa?
Hivi hawa akina dada huwa vichwani mwao mnakuwa na mawazo gani katika hali kama hii? Hii ni hadithi inawezekana umeshawahi kuisikia lakini tuiwekee uhalisia tuone inavyo-apply in real world
Hivi hawa akina dada huwa vichwani mwao mnakuwa na mawazo gani katika hali kama hii? Hii ni hadithi inawezekana umeshawahi kuisikia lakini tuiwekee uhalisia tuone inavyo-apply in real world