mtazamo tuu!!

beibe nasty

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
1,640
523
habari za jion wana jf, mwenzenu leo tangu asubuhi nimeamkia kulitazama bunge kwa ufasaha saana waziri huyu vwai nahodha memsikiliza kwa uzuri sauti yake nduo ilionifanya niandike thrade hii alivosoma hotuba yake kwa umakin na uweled mkubwa basi nikafikiria kazi amabayo kama asingekuwa waziri basi angekuwa mtangazaji tena wa hizaya ya kiswahili.narudia tena huu ni mtazamo tuu kama wewe unamtazamo mwingne ambao unahis huyu jamaa angefanya kazi ipi? Nawasubiri hapa
 
Mi namkubali Nahodha, tena nilitarajia wakati ule angekuwa presidaa wa zenji.
 
Hana lolote huyo Nahodha, mnafik mkubwa huyo. Labda angekuwa nahodha wa jahazi, sio waziri.
 
Ila kiwango cha ulaza ndio tunatofautiana Remmy

Lakini kwa neno moja ni ukilaza sio? Ila kiwango ndio kimetofautiana. Ni kweli Lusinde na Shibuda wametofautiana hahahaaaaaaaa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom