Mtatizo haya ya udini nchini yanasababishwa na mambo haya tu!

Status
Not open for further replies.
tusiishie kurumbana kwenye mitandao nashauri kuitwa kwa kongamano la kitaifa na kisha waitwe viongozi wote wa dini .kwa upande wa eaislam nashauri waitwe wale wansoaminika kama watetezi wa waislam.wasitumike bakwata kwa kua inaaminika kua bakwata ni tawi latfr kanisa na hivyo kaxi yake ni kudhirikiana na kanisa kuwadhulumu waislam.kongamano liwekwe uwanja wa taifa na lirushwe na vyombo vyote vya habari nchini.huu ndio mwarobaini wa kusaka suluhisho kwa maslahi ya taifa letu.lkn matusi na kulaumiana ni juchichea chuki na hivyo kujitumbukiza wenyewe ktk machafuko ambayo hakuna atakae baki salama.
 
Udini umehamia mashuleni, Hadi za msingi, siku ya kipindi cha dini, mtu mzima anaeitwa Mwl WA dini, anawafundisha watoto namna dini nyingine walivo makafiri, waalimu wengine huzunguka nje ya darasa kulindi asisogee Mwl WA dini nyingine, akisogea tuu! Mzozo na kumfukuza, watoto wanaanza hivi umemuona yuleee nanii mkristo/muislam!? Kafanya hivi na vilee! Njoo upande upande WA afya ndo usiseme, kuna kauli mbiu ya kuwaumiza wakristo, mpaka hofu ni kubwa kwenda hospital za governments, unaumwa hili unadungwa sindano ya ugonjwa tofauti na dozi kali. Tumefika kubaya sana.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
sio kutumiwa waislam wana hoja za msingi ambazo zimekosa majibu.suala la necta mfano tangu mwaka 1973mwenyekiti necta ni p.msekwa,i.kaduma,N.kuhanga,M.luhanga,D.mmari,E.mwaikambo,Prof.mukandala.makatibu wakuu tangu mwaka wa kuundwa kwa necta ni R.liyao,D.bagendo,A.modesti,P.P.gandye,E.N.mkambi,na Dr.J.ndalichajo.wote hawa ni wakristo trna wa roman catholic,unadhani kama hao vuongozi muhimu kwa elimu ya taifa kama wote wangekua waislam wakristo wangevumulia.?waislam eanahitaji usawa katika mambo yote yakitaifa.kama usawa na haki vimipatikana naamini tutaishi kwa amani na upendo.
 
sio kutumiwa waislam wana hoja za msingi ambazo zimekosa majibu.suala la necta mfano tangu mwaka 1973mwenyekiti necta ni p.msekwa,i.kaduma,N.kuhanga,M.luhanga,D.mmari,E.mwaikambo,Prof.mukandala.makatibu wakuu tangu mwaka wa kuundwa kwa necta ni R.liyao,D.bagendo,A.modesti,P.P.gandye,E.N.mkambi,na Dr.J.ndalichajo.wote hawa ni wakristo trna wa roman catholic,unadhani kama hao vuongozi muhimu kwa elimu ya taifa kama wote wangekua waislam wakristo wangevumulia.?waislam eanahitaji usawa katika mambo yote yakitaifa.kama usawa na haki vimipatikana naamini tutaishi kwa amani na upendo.[/QUOT

Kwa hiyo hoja ni nini? ndio unataka kusingizia hiyo ndiyo sababu ya pepa kuwaona watu wa dini fulani? suala la usahihishaji liko so independent ulizia kwa wahusika.
 
Mambo mengine hata hayaingii akilini. Eti baraza la mitihani limeongozwa na wakatoliki since 73. Na muda wote huo mfumo wote wa elimu ulikuwa umeshikiliwa na wakristu? Hilo ni moja ya sababu za kuhujumu wakristu? Hv kwa mfumo huu wa rais, makamu wa rais igp jaji mkuu usalama wa taifa ni hao wanaokula nguruwe kificho. Na ni kipindi hiki ndo wakristu wamepata kila aina ya kadhia. Huko baraza nani kapendelewa matokeo? Uwezo wenu ni mdogo wa kuchambua mambo. Turudi kwa vibaka, makahaba mateja majambazi wote wa kiislam na kikristo chanzo ni baraza la mitihani? Tuanze kujisahihisha kuanzia ngazi ya familia kabla hatujawanyooshr
 
Muandishi wa thread hii unaonekana hujui unachokiongea ila una ungea tu kwa kua unamdomo.

Wewe unamsiliza Vizuri Sheikh Ilunga, au unakurukupuka tu. Nyie ndio mawakala wa kanisa mnao waimimbisha watu wimbo wa amani na kudhulumu vizazi vyao.

Wewe unajua historia gani ya nchi hii. Unajua kua Nyerere ndio alieleta Uhuru sio. Hiyo ni historia ya kanisa. Nyerere na John Rupia walitwa na wazee wa kiiislamu ili kukipa chama sura ya utaifa tu. Haya tumesha yaongea saana. Wewe kumbe ndio usiejua historia ya nchi hii.

Hebu tutajie Askofu au Padre hata mmoja alieshiriki kudai uhuru wa nchi hii? Je kwanini historia ilioandikwa imeficha majina ya mashujaa wa majimaji walio nyongwa na wajerumani. Kwanini inataja majina moja moja. Je wewe unajua jina la kwanza la kinjeketile kiongozi wa vita ya MAJI MAJI. Hiyo ndio historia unayo ipigania ifundishwe. Je unajua mchango wa Sheikh Selemani Takadiri katika historia ya nchii?. Unajua kwanini Nyerere alilia kwenye kikao, kwa maneno ya Sheikh Selemani Takadiri?. Je unajua salamu za wanatanu walizokua wanasalimiana wanapokutana kabla ya salamu ya zidumu fikra sahii za mwekiti wa chama?.

Wewe unajua Historia gani?

USALITI WA NYERERE KATIKA NCHI HII KWA WAISLAMU, NI SAWA NA USALITI WA MKE WAKO ANAPOKUTILIA SUMU KWENYWE CHAKULA. SIO KAMA ALIKUA MJANJA AU SHUJAA. NI HUJUMA ZA KUAMINIWA.

UVUMILIVU WA WAISLAMU NDIO ULIOLIFIKISHA TAIFA HAPA TULIPO. HAYO YA MTWARA YANA MIZIZI YAKE.

AMANI HUONDOKA PALE WANAO DHULUMIWA WANAPOKATAA KUENDELEA KUDHULUMIWA. SASA MSIROPOKE NA KUJIDAI KUANDIKA MAKALA ZA KUIMBA AMANI NA KUWADANGANYA WATU.

HII MBEGU YA UDINI ILIPANDWA NA NYERERE KWA MASLAHI YA KANISA DHIDI YA WAISLAMU. ref. SIASA YA TANZANIA NA KANISA KATOLIKI by DR. JOHN C. SIVALON.

UACHE KUONGEA MAPUMBA YAKO HAPA, SISI TUNAONGEA KITU AMBACHO KIPO.

KWELI WEWE MZIMU!! HAKIKA UMEJAWA NA ROHO YA MAUTI NA MAUDHI,UJINGA NA UPAMMBAVU.....KWA HIYO NYIE MNATAKA TANZANIA IWEJE MAANA SIWAELEWI,,MNATAKA WAKRISTO WAWE MAAKIDA WENU AU WAFANYE NINI WAWAPIGIE MAGOTI,,MNATAKA NINI HASA AU WAWAACHIE VITU TULIVVYO NAVYO,AU MNATAKA KUPIGANA NAO,LENGO LENU HASA NINI,MBONA SIELEW MNATAKA NINI? HAKI MNAYO GOMBANIA NI IPI? MNADHANI NJIA MBADALA NI KUCHOMA MAKANISA NA KUUA VIONGOZI WA DINI,NAOMBA UNIELEWESHE MI SIWAELEWI LABDA NTAUNGANA NA WEWE KUWASAIDIA KWASABABU TASWILA NILIO NAYO KWENU NAWAONA WAPUUZI....

SASA NANI KAROPOKA KATI YENU WEWE (JINI/MZIMU) AU bULLET PROOF NISAIDIENI JAMANI NANI KILAZA KATI YAO?
 
Hivi sasa nchi yetu inashuhudia mzozo mkubwa wa kdini ambao mpaka sasa umegharimu maisha ya watu, mali, nyumba za ibada nk kinyume kabisa na mazoea yawatanzania.

Hata hivyo tatizo hili limesababishwa na mambo yafuatayo:

Kwanza, tabia ya watanzania/waumini wa dini kutikuwa na tabia ya kujisomea. Waumini wengi hususani vijana hawana utaratibu wakusoma vitabu vya dini ie quran na au biblia. Hali hii imewafanya wahuni wachache kutumia mwanya huu kufundisha na kutafsiri aya za misahafu hii kwa kupotosha ili kulenga maslahi/matakwa/hisia zao binafsi. Mathalan, Uislam (waislam) ambao hasa ndo unalalamikiwa zaidi kwa kuwa sababu ya haya matatizo (mauaji, uharibu wa mali nk) hakuna sehemu unafundisha mauaji holela ya kikatili kama haya. Isipokuwa baadhi ya mashekhe/maustaadh mfano wa HASSAN ILONGA wameamua kufundisha chuki tofauti kabisa na Uislam wa MOHAMMAD (SAW). Kiukweli uislam anaoufanya mtu kama ILONGA na ule wa mtume (SAW) ni tofauti sana.

Pili, Kutojulikana vizuri kwa historia ya nchi zetu ie Tanganyika na Zanzibar. Hii imesababishwa na vijana wengi kutokuwepo wakati wa kupigania uhuru/mapinduzi-wachache sana wamebahatika kusoma historia hizi shuleni lakini wengi zaidi hata hii historia ya kusoma hawaijui. Wengi wanalalamika kuhusu Zanzibar kujitenga na Tanganyika-hii siyo sawa. Mfano, wazanzibar tunaingizwa kwenye mtego ambao hatuujui na watu wa aina ya MAALIM SEIF S. HAMAD, SHEKHE FARID WA UAMSHO nk ambao wanadai ZANZIBAR TUSISHEREHEKEE SIKUKUU YA MAPINDUZI BADALA YAKE TUSHEREHEKEEUHURU WA '63 ALIOPEWA MWARAB.Hawa wamekuwa wakihamasisha wazanzibar kudai kujitoa kwenye muungano kwa kutumia MWAMVULI WA DINI-UISLAM ILI KUPATA KUUNGWA MKONO. Laiti wanzanzibar tungejua adma ya watu hawa ( MAALIM SEIF, FARID, UAMSHO nk ) tungekataa haraka, tunaingizwa menge kwa kutuchonganisha wa ndugu zetu watanganyika ili wapate KURUDISHA WAARAB KWA MGONGO WA UHURU WA '63 WA ZANZIBAR.

Muungano haujaleata ukristo zanzibar. ukristo umekuwapo zanzibar miaka mingi sana tu kabla ya Uhuru. Mfano kanisana Anglikan la Mkunazini limejengwa mwaka 1873, mikaka takriban 91 baadaye
ndo muungano unatokea.

Tatu, Uongozi mbovu. Viongozi wengi tuliowachagua ili kushughulikia matatizo yetu wamegeuka nafasi zao kuwa pahala pa kujipatia neema binafsi huku watanzania wengi tukiendelea kuwa masikini. Ndiyo maana vijana wameendelea kutumiwa sana kwenye vurugu hizi bila hata kufikiria kwa sababu tu wameahidiwa kitu kidogo, na wajanja wachache wamewalaghai kuwa tatizo la umaskini limesabababishwa na ukristo!!!

----------------------WAY FORWARD---------------------

1. Siku za sherehe za MAPINDUZI/MUUNGANO/UHURU wazee wangesaidia kutoa historia za nchi zetu hadharani ili kila mwanachi aijue vizuri nchi yake na malengo ya Uhuru/Mapinduzi badala ya hawa wazee kuletwa tu uwanjani tunawaona then wanaondoka bila kutuambia lolote kuhu nchi zetu.

2. Waumini wa dini tusome vitabu vyetu ili itusaidie kutopotoshwa na mashekhe/wachungaji/mapadre wahuni kwa kisingizio cha nafasi zao. Hakuna mtu mwenye hodhi(monopoly) ya elimu. Kuwa shekhe/mchungaji/padre haimaanishi wanajua kuliko sisi waumini/maamuma.

3. Viongozi wa serikali simamieni utawala bora wa sheria. Acheni visingizio. Kuna baadhi ya viongozi, majina yapo, wameshindwa kutekeleza wajibu wao badala yake wanakimbia kwenye misikiti/makanisa kujisafisa eti wanatengwa na wenzao wa dini tofauti hali ambayo huchochea chuki miongoni mwa wananchi.

Watanzania pia tuamke. Tuache kujitenga kwa dini/kabila/ukanda nk. Tukomae na viongozi hawa wababaishaji watimize wajibu wao.Tunaona jinsi elimu inavyoshuka nchini, badala tukae pamoja, tuseme pamoja, tunaanza kutengana eti oh, waislam tunafelishwa nk.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, HEKIMA, UMOJA NA AMANI ND NGAO ZETU!!!!!!!!
Mkuu wewe ni Mtanzania halisi unaelewsa kinacho endelea ndani ya nchi yetu, hata wale wanotoa misaada makanisani tuangalie kauli zao, kina sheikh Ilunga tuwakemee hadharani tusikubali kuyunbishwa eti ni dini!!! Pomoja na swala la kuchinja litafutiwe muafaka badala ya chuki na uhasama!!! Umeeleweka mkuu kwa pamoja saana, tukomboe nchi yetu toka utumwa wa ujinga!!!

sio kutumiwa waislam wana hoja za msingi ambazo zimekosa majibu.suala la necta mfano tangu mwaka 1973mwenyekiti necta ni p.msekwa,i.kaduma,n.kuhanga,m.luhanga,d.mmari,e.mwaikambo,prof.mukandala.makatibu wakuu tangu mwaka wa kuundwa kwa necta ni r.liyao,d.bagendo,a.modesti,p.p.gandye,e.n.mkambi,na dr.j.ndalichajo.wote hawa ni wakristo trna wa roman catholic,unadhani kama hao vuongozi muhimu kwa elimu ya taifa kama wote wangekua waislam wakristo wangevumulia.?waislam eanahitaji usawa katika mambo yote yakitaifa.kama usawa na haki vimipatikana naamini tutaishi kwa amani na upendo.

wewe acha ujinga unangalia necta tu,,,,wananguvu gani kama wakuu wa nchi wote ni waislamu geuza jicho angalia safu ya viongozi wa serikali na wabunge viti maalum alafu uje na hiyo habari yako tena..mbona wakristo kimya tu,,,,,vitu vingine msilala mike mi nimishi kota moja na familia ya kiislam toka nikiwa na miaka 5 hadi 25..nimewafahamu vema familia yangu ilipo nianzisha sule familia ya jirani ilimpeleka mtoto madrasa nilipo himizwa kusoma niliona mtoto mwenzangu akihimizwa kuhudhulia swala msiktini na vipindi vya madrasa tumemaliza pamoja pr na nikaendelea na masomo yeye sahiz yeye ni moja ya viongozi dini yanu katika eneo lake na ndiye anaye nipa na nyaraka zenu mnazosomeana kila leo misikitini na anamlaumu wazazi wake

pia ukija kwenye ufaulu wa elimu za juu msingizie tu asilimi kubwa ya watu wa dini yako ni vilaza naamini hata wewe unjua hili akifaulu basi kasaidiwa sana au karudia sana...je na elimu ya juu pia necta wanawafelisha?

Hamwaandai watoto wenu kujitambua wao kwanza ila kuitambua dini yao kabla ya wao na maisha wanayotakiwa kuishi/watakayo ishi...wakristo pia wanafeli sana haionekani kwasababu wako wengi.. Wanaonekana kama wanashika maeneo mengi ya serikali kwasababu wapo wengi na wana sifa hizo za kutawala au kuwepo kwenye nafasi hizo.

Kwa kutafuta usawa hata kama hakuna watu wenye sifa ndo kumeifikisha nchi hapa.
 
Muandishi wa thread hii unaonekana hujui unachokiongea ila una ungea tu kwa kua unamdomo.

Wewe unamsiliza Vizuri Sheikh Ilunga, au unakurukupuka tu. Nyie ndio mawakala wa kanisa mnao waimimbisha watu wimbo wa amani na kudhulumu vizazi vyao.

Wewe unajua historia gani ya nchi hii. Unajua kua Nyerere ndio alieleta Uhuru sio. Hiyo ni historia ya kanisa. Nyerere na John Rupia walitwa na wazee wa kiiislamu ili kukipa chama sura ya utaifa tu. Haya tumesha yaongea saana. Wewe kumbe ndio usiejua historia ya nchi hii.

Hebu tutajie Askofu au Padre hata mmoja alieshiriki kudai uhuru wa nchi hii? Je kwanini historia ilioandikwa imeficha majina ya mashujaa wa majimaji walio nyongwa na wajerumani. Kwanini inataja majina moja moja. Je wewe unajua jina la kwanza la kinjeketile kiongozi wa vita ya MAJI MAJI. Hiyo ndio historia unayo ipigania ifundishwe. Je unajua mchango wa Sheikh Selemani Takadiri katika historia ya nchii?. Unajua kwanini Nyerere alilia kwenye kikao, kwa maneno ya Sheikh Selemani Takadiri?. Je unajua salamu za wanatanu walizokua wanasalimiana wanapokutana kabla ya salamu ya zidumu fikra sahii za mwekiti wa chama?.

Wewe unajua Historia gani?

USALITI WA NYERERE KATIKA NCHI HII KWA WAISLAMU, NI SAWA NA USALITI WA MKE WAKO ANAPOKUTILIA SUMU KWENYWE CHAKULA. SIO KAMA ALIKUA MJANJA AU SHUJAA. NI HUJUMA ZA KUAMINIWA.

UVUMILIVU WA WAISLAMU NDIO ULIOLIFIKISHA TAIFA HAPA TULIPO. HAYO YA MTWARA YANA MIZIZI YAKE.

AMANI HUONDOKA PALE WANAO DHULUMIWA WANAPOKATAA KUENDELEA KUDHULUMIWA. SASA MSIROPOKE NA KUJIDAI KUANDIKA MAKALA ZA KUIMBA AMANI NA KUWADANGANYA WATU.

HII MBEGU YA UDINI ILIPANDWA NA NYERERE KWA MASLAHI YA KANISA DHIDI YA WAISLAMU. ref. SIASA YA TANZANIA NA KANISA KATOLIKI by DR. JOHN C. SIVALON.

UACHE KUONGEA MAPUMBA YAKO HAPA, SISI TUNAONGEA KITU AMBACHO KIPO.
Sasa ndugu yangu Mzimu kama ulivyo jiita unahitaji nini hasa, kuleta vurugu eti ndio unadai haki??? Haki gani hasa kwenye nchi yetu ya Tanzania, hapa kwetu bara Raisi watu ni Mwislam, makamu wake ni Mwislamu vingozi kibao tu kwenye serikali ni waislamu sasa uonezi uko wapi??? Wewe na watu wenu mnaeneza chuki zisizo na msingi kwa kuchukua watu wasio na elimu na kuwajaza ujinga wa kujitakia kama ulivyo eleza eti mnaonewa!!!Kuna mtoto yeyote wa kiislamu alipelekwa shule ya mission akafukuzwa asisome, au hospitali ya mission akakataliwa kutibiwa?? Mkuu peleka watoto shule wafunguke wacha kuwapiga viboko eti wakalili quran kwenye madarasa badala ya kusoma elimu ya kuwa komboa!! Matokeo yake sasa mnafundisha watoto karate, kungufu,mapanga kama wauwaji wa kininja, na kuwajaza ujinga wa chuki na hasira eti wakristo ni makafiri wauwawe, kweli wewe ni Mtanzania kweli??? Tena unajigamba eti tunahubiriwa amani, ina maana wewe huoni kinachotokea Syria, Pakstan na kwingineko, utajificha wapi wewe huna familia ndugu kaka mjomba au shangazi???

wewe acha ujinga unangalia necta tu,,,,wananguvu gani kama wakuu wa nchi wote ni waislamu geuza jicho angalia safu ya viongozi wa serikali na wabunge viti maalum alafu uje na hiyo habari yako tena..mbona wakristo kimya tu,,,,,vitu vingine msilala mike mi nimishi kota moja na familia ya kiislam toka nikiwa na miaka 5 hadi 25..nimewafahamu vema familia yangu ilipo nianzisha sule familia ya jirani ilimpeleka mtoto madrasa nilipo himizwa kusoma niliona mtoto mwenzangu akihimizwa kuhudhulia swala msiktini na vipindi vya madrasa tumemaliza pamoja pr na nikaendelea na masomo yeye sahiz yeye ni moja ya viongozi dini yanu katika eneo lake na ndiye anaye nipa na nyaraka zenu mnazosomeana kila leo misikitini na anamlaumu wazazi wake

pia ukija kwenye ufaulu wa elimu za juu msingizie tu asilimi kubwa ya watu wa dini yako ni vilaza naamini hata wewe unjua hili akifaulu basi kasaidiwa sana au karudia sana...je na elimu ya juu pia necta wanawafelisha?

Hamwaandai watoto wenu kujitambua wao kwanza ila kuitambua dini yao kabla ya wao na maisha wanayotakiwa kuishi/watakayo ishi...wakristo pia wanafeli sana haionekani kwasababu wako wengi.. Wanaonekana kama wanashika maeneo mengi ya serikali kwasababu wapo wengi na wana sifa hizo za kutawala au kuwepo kwenye nafasi hizo.

Kwa kutafuta usawa hata kama hakuna watu wenye sifa ndo kumeifikisha nchi hapa.
Mkuu watoto wanaopopolewa vichwa na bakora eti wakariri kuruaani, watapata wapi muda hata wa tuition waweze kufaulu vizuri?? Ndugu zangu woote wenye akili wa dini ya kiislama huwezi kusikia wakilalamika wamekazana kusomesha watotowao, mifani ninayo wafantikazi wenzangu ofisini!!! Nenda sasa Uganda Waislamu wanashika nafasi za juu serikalini, biashara kubwa kubwa ni Waislamu madaktari mainginia sijui nimweleze lipi hiyu ndugu yangu!!! Tulipo pata uhuru wenzetu walio wengi walikazana kufundisha watoto dini, kule Bukoba Katoro walipeleka watoto hadi Cairo, Saudia kusoma dini, siku hizi wameshtuka wamefungua sekondari kufundusha wtoto elimu ya ukombozi!! Hebu huyo jamaa afunguke aache kufikiria fujo na vurugu wageuze madarasa shule za tuition ili waendane na kasi ya eleimu kwa sasa, vinginevyo watawauwa watu bure wanatafuta maendeleo ya taifa na binafsi!!!

Sasa ndugu yangu Mzimu kama ulivyo jiita unahitaji nini hasa, kuleta vurugu eti ndio unadai haki??? Haki gani hasa kwenye nchi yetu ya Tanzania, hapa kwetu bara Raisi watu ni Mwislam, makamu wake ni Mwislamu vingozi kibao tu kwenye serikali ni waislamu sasa uonezi uko wapi??? Wewe na watu wenu mnaeneza chuki zisizo na msingi kwa kuchukua watu wasio na elimu na kuwajaza ujinga wa kujitakia kama ulivyo eleza eti mnaonewa!!!Kuna mtoto yeyote wa kiislamu alipelekwa shule ya mission akafukuzwa asisome, au hospitali ya mission akakataliwa kutibiwa?? Mkuu peleka watoto shule wafunguke wacha kuwapiga viboko eti wakalili quran kwenye madarasa badala ya kusoma elimu ya kuwa komboa!! Matokeo yake sasa mnafundisha watoto karate, kungufu,mapanga kama wauwaji wa kininja, na kuwajaza ujinga wa chuki na hasira eti wakristo ni makafiri wauwawe, kweli wewe ni Mtanzania kweli??? Tena unajigamba eti tunahubiriwa amani, ina maana wewe huoni kinachotokea Syria, Pakstan na kwingineko, utajificha wapi wewe huna familia ndugu kaka mjomba au shangazi???

Mtumishi Wetu, hapa haujajibu mada yangu, umenibadilishia mada nyingine. OK. Sawa Rais Ni Muislamu, Waziri Mkuu ni Muislamu Na Mawaziri wengi tu ni waislamu kuliko wakristo. Tehe! tehe! Nadhani Umenisoma. Ok. Hilo sio tatizo. Tatizo watendaji wengi nikama kina Ndalichako wa NECTA, Na DPP. Sasa watu kama hao, ndio wanaligharimu Taifa. Lakini hawa wanafanya kazi kwa maelekezo ya Viongozi wao wa kiroho. Hebu jiulize, Sheikh Ponda kwanini Wamnyime Dhamana katika CIVIL CASE. Alishtaki, Muislamu, allieshtakiwa Muislamu, Mashahidi waislamu. Sasa juu yanini kumnyima dhamana Sheikh Ponda?. Lengo ni kutaka waislamu waandamane ili amani ya nchi ivunjike? HIVI NYINYI MTAVUNA NINI KWA KUHARIBU AMANI YA NCHI HII?

Kuhusu watoto wa Madrasa kujifunza karate. Huo ni mchezo tu kama football. Nyinyi kwa kua ni wadhulumu basi mnaogopa. Si unajua mwizi alivyo. Huo hajiamini. Hivi wewe kwa akili yako, huu ni ulimwengu wa kupigana kwa visu. Labda uwe chizi.

Tumia akili yako vizuri katika hili.
 
KWELI WEWE MZIMU!! HAKIKA UMEJAWA NA ROHO YA MAUTI NA MAUDHI,UJINGA NA UPAMMBAVU.....KWA HIYO NYIE MNATAKA TANZANIA IWEJE MAANA SIWAELEWI,,MNATAKA WAKRISTO WAWE MAAKIDA WENU AU WAFANYE NINI WAWAPIGIE MAGOTI,,MNATAKA NINI HASA AU WAWAACHIE VITU TULIVVYO NAVYO,AU MNATAKA KUPIGANA NAO,LENGO LENU HASA NINI,MBONA SIELEW MNATAKA NINI? HAKI MNAYO GOMBANIA NI IPI? MNADHANI NJIA MBADALA NI KUCHOMA MAKANISA NA KUUA VIONGOZI WA DINI,NAOMBA UNIELEWESHE MI SIWAELEWI LABDA NTAUNGANA NA WEWE KUWASAIDIA KWASABABU TASWILA NILIO NAYO KWENU NAWAONA WAPUUZI....

SASA NANI KAROPOKA KATI YENU WEWE (JINI/MZIMU) AU bULLET PROOF NISAIDIENI JAMANI NANI KILAZA KATI YAO?

Soma vizuri Comment zangu, Tafakari then, Zingatia. Hayo mengine yote Chuki tu hizo mnazo pandikizwa katika majumba yenu ya Ibada, mkitoka mnatuchekea midomoni kumbe roho zenu Mbaaaya. (SIO WAKRISTO WOTE, WAKO WANAOJITAMBUA KAMA MZEE WA UPAKO).
 
Kesi ya ponda iko mikononi mwao waislamu. Jeshi la polisi wanaofanya upelelezi kuna said mwema na selemani kova. Huko mahakamani ndo kabisaaaa jaji mkuu muislamu. Sasa nashangaa ya sheikh ponda kutwa kuandamana na hasira zinaishia kwa wakristo. Mbona wapenzi wa muziki hatukuwahi kuandamana kwa sakata la Nguza Viking na wanawe? Tafuteni shighuli za kufanya. Mkiuwa wakristo na kuchoma makanisa shida zenu zaisha?
 
sio kutumiwa waislam wana hoja za msingi ambazo zimekosa majibu.suala la necta mfano tangu mwaka 1973mwenyekiti necta ni p.msekwa,i.kaduma,N.kuhanga,M.luhanga,D.mmari,E.mwaikambo,Prof.mukandala.makatibu wakuu tangu mwaka wa kuundwa kwa necta ni R.liyao,D.bagendo,A.modesti,P.P.gandye,E.N.mkambi,na Dr.J.ndalichajo.wote hawa ni wakristo trna wa roman catholic,unadhani kama hao vuongozi muhimu kwa elimu ya taifa kama wote wangekua waislam wakristo wangevumulia.?waislam eanahitaji usawa katika mambo yote yakitaifa.kama usawa na haki vimipatikana naamini tutaishi kwa amani na upendo.[/QUOT

Kwa hiyo hoja ni nini? ndio unataka kusingizia hiyo ndiyo sababu ya pepa kuwaona watu wa dini fulani? suala la usahihishaji liko so independent ulizia kwa wahusika.

mkuu umemezeshwa ambu sema waziri anachaguliwa na rais na marais walio pita wapo waislam na wakristo kwann msiwaambie! Mi naona kazanen kusoma na kutafuta uzoefu mtapewa tu acha kujidumaza
 
Soma vizuri Comment zangu, Tafakari then, Zingatia. Hayo mengine yote Chuki tu hizo mnazo pandikizwa katika majumba yenu ya Ibada, mkitoka mnatuchekea midomoni kumbe roho zenu Mbaaaya. (SIO WAKRISTO WOTE, WAKO WANAOJITAMBUA KAMA MZEE WA UPAKO).

Let us be specific,
unaweza kutaja Kanisa au nyumba ya Ibada ya kikristo ambayo yana hubiri na kupandikiza chuki za dini dhidi ya uisilamu? If not, na Bwana na akukemee...
 
Mambo mengine hata hayaingii akilini. Eti baraza la mitihani limeongozwa na wakatoliki since 73. Na muda wote huo mfumo wote wa elimu ulikuwa umeshikiliwa na wakristu? Hilo ni moja ya sababu za kuhujumu wakristu? Hv kwa mfumo huu wa rais, makamu wa rais igp jaji mkuu usalama wa taifa ni hao wanaokula nguruwe kificho. Na ni kipindi hiki ndo wakristu wamepata kila aina ya kadhia. Huko baraza nani kapendelewa matokeo? Uwezo wenu ni mdogo wa kuchambua mambo. Turudi kwa vibaka, makahaba mateja majambazi wote wa kiislam na kikristo chanzo ni baraza la mitihani? Tuanze kujisahihisha kuanzia ngazi ya familia kabla hatujawanyooshr

Mkuu mbona povu linakutoka? au ndo malipo ya ruzuku nini?
 
Udini umehamia mashuleni, Hadi za msingi, siku ya kipindi cha dini, mtu mzima anaeitwa Mwl WA dini, anawafundisha watoto namna dini nyingine walivo makafiri, waalimu wengine huzunguka nje ya darasa kulindi asisogee Mwl WA dini nyingine, akisogea tuu! Mzozo na kumfukuza, watoto wanaanza hivi umemuona yuleee nanii mkristo/muislam!? Kafanya hivi na vilee! Njoo upande upande WA afya ndo usiseme, kuna kauli mbiu ya kuwaumiza wakristo, mpaka hofu ni kubwa kwenda hospital za governments, unaumwa hili unadungwa sindano ya ugonjwa tofauti na dozi kali. Tumefika kubaya sana.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Kwani mkuu hospitali za serikali ni za waislamu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom