Elections 2010 Mtatiro wa cuf:umetuudhi wanaharakati

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
Kitendo cha mtatiro kugombea ubungo kimeudhi wengi tukiwemo wanaharakati wenzie tuliokuwa naye pale chuo.kwani hukuwepo wakati mnyika anaibiwa ushindi na keenja? Sasa nawe umeweka ili utawanye kura na ccm ishinde? Aibu kwako. Bahati nzuri bado pamoja na uchuro wenu,bado MNYIKA anaonekana kuwafunika.jirekebishe usijekuwa kuwa kama bosi wako prof.
 
ndio kawaida mtu akijiunga chadema, mchele, akijiunga kwengin e ni pumba. kuweni wanademokrasia
 
Hivi karibuni nilicheka sana,baada ya kumsikia Zitto akimlalamikia mgombea wa Cuf jimboni kwao,pale alipsema aliwapigia simu Cuf mara mbili kuwaambia yule mgombea wa Cuf bado ni ccm,kwa hiyo wasimuamini... Sasa nikajiuliza!!!!!!!!! wakiingia chadema sio ccm,lkn wakiingia Cuf bado wanakuwa ccm? Jamani au ndo mchecheto tu hoooooo. JULIUS MTATIRO wana ubungo wanasema ni wewe tu hawataki wababaishaji wengine.. Aluta continua baba.. Chadema wamesahau.. Waswahili wanasema MKUKI KWA NGURUWE LKN KWA M/DAMU NI MTAMU SAAANA. HAHAHA
 
Chadema sasa mmezidi kilakitu mnalalamika. hii ndio demokrasia si kama yenu yakuiminya demokrasia pambaneni acheni lawama za kijinga
 
Kitendo cha mtatiro kugombea ubungo kimeudhi wengi tukiwemo wanaharakati wenzie tuliokuwa naye pale chuo.kwani hukuwepo wakati mnyika anaibiwa ushindi na keenja? Sasa nawe umeweka ili utawanye kura na ccm ishinde? Aibu kwako. Bahati nzuri bado pamoja na uchuro wenu,bado MNYIKA anaonekana kuwafunika.jirekebishe usijekuwa kuwa kama bosi wako prof.

Hivi karibuni nilicheka sana,baada ya kumsikia Zitto akimlalamikia mgombea wa Cuf jimboni kwao,pale alipsema aliwapigia simu Cuf mara mbili kuwaambia yule mgombea wa Cuf bado ni ccm,kwa hiyo wasimuamini... Sasa nikajiuliza!!!!!!!!! wakiingia chadema sio ccm,lkn wakiingia Cuf bado wanakuwa ccm? Jamani au ndo mchecheto tu hoooooo. JULIUS MTATIRO wana ubungo wanasema ni wewe tu hawataki wababaishaji wengine.. Aluta continua baba.. Chadema wamesahau.. Waswahili wanasema MKUKI KWA NGURUWE LKN KWA M/DAMU NI MTAMU SAAANA. HAHAHA
hapa napo zitto alichemka tu
 
Namhurumia sana ndugu yangu Mtatiro kwani atagalagazwa vibaya sana.
 
ndio kawaida mtu akijiunga chadema, mchele, akijiunga kwengin e ni pumba. kuweni wanademokrasia

Ngoja matokeo yatoke wakimbiane.... wanadhani wale wanaoenda kuwashangaa wote wamejiandikisha kupiga kura na mbili kama kupewa nchi tungeitoa Zanzibar kwanza ukiona mwenzenu ananyolewa mtie maji....
 
:eek2:Tuheshim demokrasia jaman.harakati haimaanishi kuunga mkono chadema pekee.swali la msingi ni kama mtatiro anao mvuto wa kushinda na kuwakilisha mageuz ya kwel.wakati tunafurahia Rwakatale kujiunga chadema tusichukie mwera kujiunga cuf.hii ndio price ya demokrasia unles vyama hiv viache ubinafsi na kuunganisha nguvu kwa niaba ya watanzania
 
Then huyu jamaa naona kama ameweka ili kupoteza kura za Mnyika, maana nakumbuka mwaka 2005 hivyo nilijaribu kumsikiliza kwenye mdahalo ule wa TBC nikaona kama vile anatka kutumia kusoma kwake UDSM na kupoteza , Hivyo Naamini katika Mnyika
 
Msiwe mbumbumbu kamam makamba.mm na mtatiro tumekuwa ktk harakati chuo kkuu.sishabikii mtu mm.mtatiro siasa ni akili siyo mashindano ya pikipiki
 
JIMBO LA UBUNGE LIKIENDA CHADEMA......MIMI NATOA AHADI YA MARADONA.....to walk all the way to the city centre
 
Chadema wanatia kichefuchefu, wanapenda sana kulialia na kutaka kunewa huruma kwa kila kitu, wakati wenyewe wanajua ni chama nikiongozwa na STD7 from top to bottom
 
Kitendo cha mtatiro kugombea ubungo kimeudhi wengi tukiwemo wanaharakati wenzie tuliokuwa naye pale chuo.kwani hukuwepo wakati mnyika anaibiwa ushindi na keenja? Sasa nawe umeweka ili utawanye kura na ccm ishinde? Aibu kwako. Bahati nzuri bado pamoja na uchuro wenu,bado MNYIKA anaonekana kuwafunika.jirekebishe usijekuwa kuwa kama bosi wako prof.
naamini mtatiro ametumia haki yake ya kikatiba kama vile hawa ng'humbi na Mnyika... au kuna wengine wana haki zaidi ya wengine?
 
Ngoma nzito Ubungo... yeyote anaweza shinda.... all candidates are strong... ila naiombea CUF ili angalau kionekana chama cha Kitaifa. Kama vile navyoiombea CHADEMA kuwa na sheha Zanzibar!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom