Elections 2010 Mtatiro wa CUF kumvaa Mnyika wa CHADEMA Ubungo

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Leo nimeona kwenye Magazeti Julius Mtatiro atagombea Ubunge katika Jimbo la Ubunge kwa tiketi ya CUF.

Huyu Jamaa nilikuwa sifahamu kwamba yuko CUF, anyway kila la kheri lakini Mnyika lazima awanyooshe mwaka huu Ubungo
 
Hapo ndipo wanapozidi kuondoa matumaini ya Upinzani kulibeba jimbo hilo, wataishia kugawanya kura tu.
 
Hao Ndio CUF ambao jana Rais wao alikuwa anaweweseka na Uamuzi wa Dr. Slaa Kugombea Urais anaogopa this time Kushika nafasi ya Tatu yaani Nyuma ya JK
 
Leo nimeona kwenye Magazeti Julius Mtatiro atagombea Ubunge katika Jimbo la Ubunge kwa tiketi ya CUF.

Huyu Jamaa nilikuwa sifahamu kwamba yuko CUF, anyway kila la kheri lakini Mnyika lazima awanyooshe mwaka huu Ubungo

Hapo kura za wapinzani zitagawanyika tena na CCM watashinda kama kumsukuma mlevi. Hadi tutakapokomaa vizuri, lakini kwa sasa naona mambo bado.
 
Hao Ndio CUF ambao jana Rais wao alikuwa anaweweseka na Uamuzi wa Dr. Slaa Kugombea Urais anaogopa this time Kushika nafasi ya Tatu yaani Nyuma ya JK

Ata 2005, watu walimsign-out Lipumba na kudhania race ilikuwa ni kati ya Mbowe na Kikwete, matokeo wote tunajua yalikuwaje.

Kwenye nafasi ya pili kutakuwa na ushindani mkali kuliko unavyodhani, Lipumba ana uhakika wa kufikisha atleast 900,000 ambazo ni kazi kubwa kwa Slaa kuzifikia.
 
wewe unaota, mtu kapata wadhamini zaidi ya 1.3million, iwe taabu kupata kura 900,000 kwenye uchaguzi, kazi mnayo mwaka huu
 
Sasa lipumba aliposema wataangalia pale ambapo mgombea wa chama flani anakubalika watamwachia uwanja wameona mnyika hakubaliki ubungo?
 
wewe unaota, mtu kapata wadhamini zaidi ya 1.3million, iwe taabu kupata kura 900,000 kwenye uchaguzi, kazi mnayo mwaka huu

Nadhani haujui sifa za wadhamini na namna walivyokuwa wanapatikana.

Usipoteze muda kufanya mlinganisho wa wadhamini na wapiga kura wa Slaa.
 
Alikuwepo Richard Tambwe Hiza, Fred Lwakatare, kwa nini sio Julius? Yupo na ni Mkurugenzi wa nini sijui!

Mkurugenzi wa Mambo ya Propaganda aka Uongo Uongo, yaani mtu anaweza kukwambia kuwa maji ni Damu ni ya Nyeusi halafu akakulazimisha ukubali, hiyo ndiyo kazi ya Hiza CCM
 
Back
Top Bottom