Mtatiro,unasemaje kuhusu hili?

Makamuzi

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
1,155
263
Ndugu Mtatiro naibu katibu mkuu wa CUF umekua ukisema kuwa CUF imekuwa haitoi posho kwa viongozi na upo CUF siyo kwa ajili ya kuchumia tumbo,Hamad Rashd ndani ya startv kasema ulipewa sh 128million wakat wa kampeni igunga,hilo unasemaje au nini maoni yenu wana JF?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom