Mtatiro ni Mslamu? Mbona Ana doch usoni?

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Nimemuona StaRtV.

Amepanda cheo. Sasa ni Naibu KM.

Usoni vp? Ameslim kwani?

KWani kuhamia CUF ni mpaka uslimu? Mbona ana dochi jeus usoni?

swala tano?

Afunikwa na kafulia. Kafulia alikuwa anaongea pointi kuliko dogo Julias.

WaSI wangu ni kale kadochi.

jeeeeeeee ameslimishwa?
 
nimemuona startv.

Amepanda cheo. Sasa ni naibu km.

Usoni vp? Ameslim kwani?

Kwani kuhamia cuf ni mpaka uslimu? Mbona ana dochi jeus usoni?

Swala tano?

Afunikwa na kafulia. Kafulia alikuwa anaongea pointi kuliko dogo julias.

Wasi wangu ni kale kadochi.

Jeeeeeeee ameslimishwa?

crap + nonsense + unsubstantial, so it worth to be closed
 
Jamani wana JF acheni Kujamba jamba katika hili Jukwaa Tukufu mnalishushia hadhi bana kuna Maishu kibao ya Kuelimishana na Kushea
 
Kwani tatizo ni nini?? Anaweza akawa MKRISTO lakini MGOGO. nani kakuambia Sigda ni alama maalumu ya Dini??
 
Wewe Jerusalem mbona unapenda udini sana? Kama hauna kazi nenda kaoge!
 
Mtatiro julius, mzee wake alikuwa kada wa cuf,huko machochwe serengeti,na alikuwa muislam mzuri tu,kwa hiyo nadhani mtatiro nae atakuwa muislam,si unajua majority yetu dini ya mzazi ndio dini zetu.
 
crap + nonsense + unsubstantial, so it worth to be closed

Lengo na nia ni kubeza na kukejeli! asichojua hiyo alama imetajwa ndani ya 'agano la kale' na wataangamizwa siku 'ilee' watu watakao kuwa hawana alama hiyo.................... wewe beba tu hicho kitabu na hujui ndani kimeandikwa nini!:whoo:
 
Mtatiro julius, mzee wake alikuwa kada wa cuf,huko machochwe serengeti,na alikuwa muislam mzuri tu,kwa hiyo nadhani mtatiro nae atakuwa muislam,si unajua majority yetu dini ya mzazi ndio dini zetu. Cha msingi zaidi uko cuf ,haitaki maelezo mengi ni uswahilina.
 
Spirit mpya ya JF..pumba kwa kwenda mbele, hamna challenging discussions tena siku hizi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom