Mtatiro Julius apata ajali mbaya Morogoro

hali yake ni mzima ila dereva amepata majeraha makubwa lakini anaendelea vizuri. mungu atawapa nafuu na mrudi tushirikiane kulikomboa taifa.
 
Mungu azidi kuwaangazia amani yake. Awape nguvu na awarejeshee matumaini dhidi ya tukio hili. Kwa rehema zake yeye Mola, si kitambo mtarejea buheri kwenye mapambano.
 
Updates ni kwamba, wote ni wazima na hakuna hata mmoja aliyelazwa hospitalini. wameondoka Morogoro muda si mrefu kurejea DSM. Shukrani kwa wote waliomtakia afya njema yeye na wote waliokuwa ndani ya gari hilo. Kwa kweli ni kwa msaada wa Mungu wamepona maana gari imeharibika sana.
 
Wewe unatoa shukrani kwa niaba ya nani?, mijitu mingine bana vihere here sana.

Asante kwa matusi ndugu............ila ungechukua muda kidogo kufikiria kwa nini mimi nimetoa shukrani hizi na si mtu mwingine hapa JF.Maana hunijui mimi ni nani kama ambavyo mimi nisivyokujua wewe. Ila tu kwa kujibu swali lako nimetoa shukrani kwa niaba ya Mtatiro. Uwe na amani.
 
Hilo eneo linaonekana pana caravan ya mapepo na wachawi.

Pole Mtatiro na wote uliokuwa nao.
sio kweli kuwa kuna mapepo labda barabara ni nzuri sana kiasi kwamba madereva wanakuwa mwendo kasi. Na hao CUF hawapati kitu Igunga wakae tu waendelee na mfungo. Hilo ni jimbo la SISIEMU mpaka kiama
 
sitaki kuamini kuwa kuna mkono wa ccm sababu cuf ni sehemu ya ccm...hope you get well soon wote mliopata ajali
 
Moro is my homeland,lakin kwa ajali inanitisha

Kama nimesoma vizuri chanzo cha ajali hii ni kukatika kwa "studs" za moja ya matairi ya nyuma. Hili halina uhusiano wowote na Morogoro kama sehemu au mji kwani ajali ingeweza kutokea mahali popote pengine tofauti na Morogoro.
 
poleni wote kwa ajali. Naamini Allah amewanusuru na ajali mbaya. Poleni tena na muendelee na mapambano
 
Duuuuuuuuuuuuuuh Sad News Mungu awape afya na awapunguzie maumivu yanayowakabili kipindi hiki kigumu.
 
Pole mpiganaji, MUNGU akujalie upone haraka urudi kwenye uwanja wa mapambano.
 
yani maandishi uliotoa yamefanana sana na avatar yako

mambaff

Ndio lengo langu haswa, hapo kwenye nyekundu kama ni tusi basi na wewe, dada yako, kaka zako, shangazi yako, mama yako, baba yako, babu yako, watoto wako, mume wako, mjomba yako, baba zako wadogo, haus geli wako, vikombe vyako, kama una paka na yeye pia, bila kumsahau bosi wako wooote MAMBAFU KILA MKIHEMA.
 
Wadau,

kamanda mpambanaji wa CUF na kiongozi wa kutumainiwa wa chama hicho JULIUS MTATIRO amepata ajali mbaya eneo la KILOMETA KUMI kutoka Morogoro mjini.

ripoti kwa ustaarabu basi.

Pole sana Julius!

'The struggle' continues
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom