Mtatiro Julius apata ajali mbaya Morogoro

Pole Sana kamanda Mtatiro namwomba Mungu Akuponye mapema ili Uendeleze Mapambano Dhidi ya hawa Wala Nchi
 
Mkuu MTM, Kwa taarifa ya bibikuku ambayo ameitoa kwa uhakika, ajali imetokea saa11, wanafamilia hao waliosoma thread hii na kuhamaki hawana mawasiliano ya karibu na ndugu yao. Kama hali ya Mtatiro ni nzuri kama ilivyoripotiwa lazima atakuwa ametoa taarifa kwa baadhi ya ndugu. Anyways tunashukuru na zaidi Namshukuru Mungu my Coursemate is doing ok. GET WELL SOON BRO.

kwenye bold hapo, think n have your facts before you write.
 
Ukweli ni kwamba, Mtatiro kapata ajali umbali wa kilomita 15 kabla ya kuingia mjini Morogoro wakati akitokea Igunga na ajali imetokea saa 11 unusu. Hata hivyo Mtatiro yuko salama na amepata majeraha kidogo. Huu ndio Ukweli wa tukio hilo wakubwa!

Still anatakiwa akimbizwe kwenye proper medical center na afanyiwe uchunguzi wa kina... kuna case nyingi tu za watu wanaotoka seemingly wazima kwenye such accidents, kucollapse na kufa ghafla in the next few days.
 
Pole sana kwa Julius mtatiro na wote waliopatawa na ajali hiyo.Mungu ni mkubwa na inshalah atawaponya.
 
Pole kamredi Mtatiro. Mungu atakusaidia upone haraka ww na hao jamaa uliokua nao.
 
NYONGEZA: Gari alilokuwamo limeharibika vibaya kama mtoa thread hii alivyoeleza ingawa kidoooogooooo alifanya watu wapate mstuko mkubwa kwa kusema huenda watu waliokuwamo garini wasitoke hai. Mwenyezi Mungu kawanusuru walau hadi wakati huu.

Tuendeleeni na majukumu yetu wakubwa
thanx mdau,ALLAH atamuafu julius MTATIRO
 
kwenye bold hapo, think n have your facts before you write.
I had my facts thats y I specificaly directed that 2 MTM. Kama umesoma comments zake utagundua kabisa hao wana familia hawakuwa na taarifa yoyote, nae akaanza kumpa lawama mleta mada, jambo la busara ilikuwa ni kuthibitisha taarifa kwanza kabla ya kutoa lawama kwa mtu ambae it turned out kwamba amewasaidia kupata taarifa ya 'mwanafamilia' taarifa ambazo hawakuwa nazo kabisa.

Unless u hv smthing else on my comment, those r the facts.
 
Get well soon brother. Mungu awaponye tuendelee kulizungusha gurudumu la kuikomboa Tanzania kutoka kwa wakoloni weusi.
 
NYONGEZA: Gari alilokuwamo limeharibika vibaya kama mtoa thread hii alivyoeleza ingawa kidoooogooooo alifanya watu wapate mstuko mkubwa kwa kusema huenda watu waliokuwamo garini wasitoke hai. Mwenyezi Mungu kawanusuru walau hadi wakati huu. Tuendeleeni na majukumu yetu wakubwa

At least umenipa relief manake vidole vilikuwa vinatetemeka kila niposonga page moja baada ya nyingine!
 
Back
Top Bottom