Mtatiro: CHADEMA wameanza kuiga mbinu chafu za CCM za kuhonga wapiga kura

Mtatiro pole sana,unajua chama chako (CUF) kinakosa mvuto kwa wapiga kura....kama hukazi buti,2015 TZ bara ur part will not get even a single MP member!
 
Mananeo haya yamesemwa na Naibu Katibu mkuu CUF-Tanzania bara, ndugu Julius Mtatiro wakati akihojiwa na TBC1 kwenye viwanja vya halmashauri ya Igunga mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa mbunge katika jimbo hilo ambapo mgombea wa CCM alitangazwa kuwa mshindi!

wana chadema je mna utetezi wowote kuhusu tuhuma hizo?
mwacheni kidogo apumzike, amekuwa affected na matokeo!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
my bro! TAKEURABU!!
kama kweli Mtatiro ameongea maneno hayo ambayo ninaya-consider incredibly puking basi huyu jamaa atakuwa ana-confirm my theory that he's an authentic imbecile!!! Just yesterday i read his thread titled "CUF- tumefanya vibaya sana ktk uchaguzi mdogo wa Igunga" na ktk hiyo thread hakuwa anazungumzia hongo za CHADEMA bali alifanya what we can consider as a partial critical analysis and honestly speaking I appreciated his point of view, now what he says(?) today is completely and totally different from what he wrote yesterday - myself i'll tend to believe in what he wrote yesterday, verba volant scriptum manent - kama ataendelea kusisitiza kuwa CHADEMA wameonga pesa ili wachaguliwe basi nitazidi kuamini kuwa ana mtindio wa ubongo au hajui asemalo - ninaamini zaidi katika mtindio wa ubongo!!!
 
Mtatiro,
mme wako ccm amepata kura zaidi ya 1000 kila kata, lakn wewe umepata pungufu ya 50.
Mashehe waliiunga ccm na kukutosa wewe. Udini wenu na ccm, utaua vyama vyenu.
 
my bro! TAKEURABU!!
kama kweli Mtatiro ameongea maneno hayo ambayo ninaya-consider incredibly puking basi huyu jamaa atakuwa ana-confirm my theory that he's an authentic imbecile!!! Just yesterday i read his thread titled "CUF- tumefanya vibaya sana ktk uchaguzi mdogo wa Igunga" na ktk hiyo thread hakuwa anazungumzia hongo za CHADEMA bali alifanya what we can consider as a partial critical analysis and honestly speaking I appreciated his point of view, now what he says(?) today is completely and totally different from what he wrote yesterday - myself i'll tend to believe in what he wrote yesterday, verba volant scriptum manent - kama ataendelea kusisitiza kuwa CHADEMA wameonga pesa ili wachaguliwe basi nitazidi kuamini kuwa ana mtindio wa ubongo au hajui asemalo - ninaamini zaidi katika mtindio wa ubongo!!!
kaka niyaneanayo ni kweli kabisa nakuomba uangalie taarifa ya habari tbc1 saa mbili usiku huu kama wata-cover vizuri nafikiri utamsikia
 
.

user-offline.png
Julius Mtatiro

Yesterday 21:57

icon1.png
CUF tumefanya vibaya sana katika uchaguzi mdogo wa Igunga

Lazima nikiri kuwa washindani wetu wakubwa CCM na CHADEMA wametushinda katika uchaguzi mdogo wa Igunga. ...

Mimi kama kiongozi wa ngazi ya juu wa CUF - Tanzania Bara(Bila kujali nimekuwa kiongozi wa ngazi ya juu miezi minne tu iliyopita tu) nabeba dhamana kwa matokeo yote tuliyopita, najitwika mzigo wa kusimama imara kuiimarisha CUF. Sitatoka CUF na kukimbilia kwenye vyama vyenye nguvu Tanzania bara kama CHADEMA n.k. eti kwa sababu tu CUF imefanya vibaya kwenye uchaguzi. Ninaamini katika CUF na nitaisaidia Tanzania yangu nikiwa CUF, ninaamini siku moja wakati CUF imeimarika nitatajwa kati ya watu ambao hawakukata tamaa na hawakuyumbishwa na magumu yaliyowakabili na walisimama kidete kwenda mbele.

Tunawashukuru wale wote waliotuunga mkono katika uchaguzi huu na wale wanaotuunga mkono siku zote na wale watakaotuunga mkono siku zijazo. Kwa hakika wote tunawashukuru sana na CUF itasimama imara.

Mungu awabariki sana.

"HAKI SAWA KWA WOTE"

Julius Mtatiro,
Naibu Katibu Mkuu,
Chama Cha Wananchi - CUF,
Tanzania Bara,
02 Oktoba 2011,
Igunga - Tabora.

Hivi Mtatiro ana matatizo? Isijekuwa hiyo ndo tafsiri ya jina lake? Nani amemwuliza kama anataka kuhama chama? Au hiyo ndiyo nia yake ila anajaribu kubip ili akaribishwe? Hongera CUF! Matatizo, sorry Mtatiro ndo huyo anahama.
 
Msameheni bure huyu mpuuzi. Matokeo yamemchanganya sana! Bado haamini kilichotokea! Pole matatiro na ccmB yako. Hayo ndo malipo ya wasaliti. Na bado!
 
Ni kaka yangu kabisa wa damu huyu,ila kwa hiri ameniboa sana,badala ya kuwa bega kwa bega na mpinzani mwenzake,anamgeuka,huzuni tupu,kwa staili hii tutazidi kuongozwa na hawa mafisadi miaka yote, laiti angelijua mapema asingejunga na cuf coz nahisi atapoteza uelekeo kabisaaa
 
Akiongea baada kutangazwa matokeo ya uchaguzi aliyekuwa mgombea wa CUF Leopold Mahona amewataka wakazi wa igunga kumpa ushirikiano mbunge wao waliomchagua ili awaletee maendeleo, Pia nataka niwaambie kuwa Igunga hakukuwa na uchaguzi bali mashindano ya kugawa fedha kwa wapiga kura, Nasikitika na CDM nao wameingia katika mchezo huo.
 
Hana jipya huyu ninachojua mimi huyu jamaa anashangilia ushindi wa mmewe kwa staili nyingine, aende kwenye sherehe ya kupongezana mmewe kamuandalia zawadi kwa kile alichokifanyia chadema
 
Back
Top Bottom