Mtatiro anasemaje kuhusu hatma na Upepo huu unaovuma CUF Live on STAR TV

Yahaya,Nafuatilia kipindi ingawa nimekikuta mwisho kabisa!Nashauri kwa Mwanza Mabuga asiwepo,kwakweli huwa anaonekana kama anahoja zanyuma yamlango anapohoji wanasiasa waupinzani.Tafuteni mwendesha kipindi mwingine kwaupande wa Mwanza!
 
Wazazi tatizo la CUF ni mpunga kuna wanao kula na wasio kula na ndoa yao kukubali kuwa Mrs CCM, kushidwa kukubali gharama za kuleta mabadiliko zanzibar na kuamua kupitia shortcut kirahisisi rahisi hicho chama kimekufa na muda si mrefu matatiro atatimuliwa.
 
Ahsante sana wadau kwa michango yenu,

kutokana na kuchelewa kwa zaidi ya nusu saa katika kipidni kwa wageni wetu mza kutokana na Jam iliyozuka huko maeneo ya misheni hatukuweza kuzishughulikia vema hoja hizi. Ila kimsingi tumeafikiana kuirejea mada hii Jumapili na michango yote imetunzwa na itasomwa siku hiyo.

Tukutane Jumapili katika matangazo ya Tuongee asubuhi kwa muendelezo wa Mada Hii.

Ahsanteni sana wanaJF

Jumaa karim
 
Please, Naombe tujadili sifa za walio hai kuliko kujadili waliokufa?? kilichokufa hakifufuki tena hata kwa dawa ya babu Loliondo
 
Yahya,
Please siku ya jumapili awepo Dotto badala ya Mabuga. I please u maana ninawajueni nyie hapo, tunahitaji kushibishwa na sio kuburuzwa kwa hoja.
 
Swali; Mtatiro kutosimamisha mgombea Arumeru hamuoni ndo mnapotea kisiasa?
 
Let Dotto host the program siku ya jumapili kwa Mwanza, wewe uwepo Dar & Dotto awe Mwanza hapo itakuwa vema zaidi. Mabuga mmmh!
 
Nadhani mwenyewe anajua jinakufa ila kwavile wanasiasa nh waongo atajitetea kwakutumia uongo
 
Mtatiro,
Kwa kuwa wengi hawakupata fursa ya kuangalia kipindi, lakini maswali yapo kwenye JF, unaonaje ukitoa majibu ya maswali yaliyoulizwa kwa post maalumu. Kumbuka 99.99% ya Watanzania makini, wapo JF na wanafuatilia mustakabali wa nchi yao.
 
Back
Top Bottom