Mtanzania yupo rumande - washington dc.

Status
Not open for further replies.
hahahahah!..i guess i might need to consult a dr what do you think? hahaha hata akiwa jr nitafurahi sana its abt time au siyo?LOL!....Then yournameismine atakuwa god father.

aaw helllz naw! huyo hawezi kuwa godfather....nadhani cuzn ndiyo anafaa...
 
Mimi siyo cnn mpaka nije nikupe details zake hapa then itakusaidia nini?.utatoa nusu ya hiyo bond yake au?....ooh well nimeshatapika na bado unanitia kichefuchefu

Hii ni public forum. Imeletwa habari. Umedai kuwa ni ya kizushi halafu hutaki kueleza kwa nini ni ya kizushi? Angalau mleta habari amedokeza kuwa hataki kutoa jina hadi apate kibali cha kaka wa mhusika. Huyu bado unaona kuwa ana nia mbaya na mhusika. Kwenye hili, mzushi ni wewe ambae hautaki kusubstantiate uliyoyasema!

Kwa mwendo huu, utatapika sana mwaka huu!

Amandla......
 
olooo dude Now i see unaenda far by calling my cupcake names...oloo you better take it back boy!....so wewe unataka awe on your side acha kuchekesha walio nuna shauri yako..besides huna hata eveidence yeyote ila kazi kuita tuu wenzio ni wafisadi....

Evidence gani zaidi ya ukweli kwamba ananyea ndoo huyo fisadi mtoto?? Hamna mitikasi huku zaidi ya kazi tu kwa kwenda mbele tena kwa furaha....
 
hahahahah!..i guess i might need to consult a dr what do you think? hahaha hata akiwa jr nitafurahi sana its abt time au siyo?LOL!....Then yournameismine atakuwa god father.

By that time dua'a lako litakuwa lime-tick...YNIM atakuwa ananyea ndoo kama huyo shoga lako...LOL
 
Hii ni public forum. Imeletwa habari. Umedai kuwa ni ya kizushi halafu hutaki kueleza kwa nini ni ya kizushi? Angalau mleta habari amedokeza kuwa hataki kutoa jina hadi apate kibali cha kaka wa mhusika. Huyu bado unaona kuwa ana nia mbaya na mhusika. Kwenye hili, mzushi ni wewe ambae hautaki kusubstantiate uliyoyasema!

Kwa mwendo huu, utatapika sana mwaka huu!

Amandla......

hey buddy....you better ease up on my cupcake or else i'll be forced to step in and you and me can go mano a mano.....
 
Hii ni public forum. Imeletwa habari. Umedai kuwa ni ya kizushi halafu hutaki kueleza kwa nini ni ya kizushi? Angalau mleta habari amedokeza kuwa hataki kutoa jina hadi apate kibali cha kaka wa mhusika. Huyu bado unaona kuwa ana nia mbaya na mhusika. Kwenye hili, mzushi ni wewe ambae hautaki kusubstantiate uliyoyasema!

Kwa mwendo huu, utatapika sana mwaka huu!

Amandla......

Wewe hebu acha kufagiliya kivuli...ok call whatever ila mzushi ni wewe ambaye unangangania kujua habari za watu then zikusaidie nini kama vile unamsaidia kulipa bills zake...hebu get a life kwanza...mimi nitakuaje mzushi? what i do ni kutoa fact kuwa acheni kuzusha huyu aliyeto ahii habari ni kazusha na anajua kazusha ndiyo maana hataki kutoa jina na anajua siyo valid story...i dont need to substanciate shit kwako and then what?....Nimeshakuuliza utamsaidia kulipa hiyo half of his bond nikishakwambia kafanya nini?....

ooh god unaendelea kunitapisha...lord have mercy on you and yourself really talk
 
Buraza,
Usimsikilize huyo mnyalukolo...hajui chochote zaidi ya fwact kwamba kuna siku alinunuliwa kinywaji club na huyo criminal, basi anaona ni mshkaji waaake!! Ipo siku na yeye tutamsikia hapa...dunia ya leo si ya jana! mwe!
 
Evidence gani zaidi ya ukweli kwamba ananyea ndoo huyo fisadi mtoto?? Hamna mitikasi huku zaidi ya kazi tu kwa kwenda mbele tena kwa furaha....

Weee mtoto unajua weee unaniudhi sana...ungekuwa karibu i swear ningekupiga kibao...jesus! what party ambayo huelewi lakini eeeh!....hivi kwanza swali fisadi unamjua wewe au?..
 
Buraza,
Usimsikilize huyo mnyalukolo...hajui chochote zaidi ya fwact kwamba kuna siku alinunuliwa kinywaji club na huyo criminal, basi anaona ni mshkaji waaake!! Ipo siku na yeye tutamsikia hapa...dunia ya leo si ya jana! mwe!

alafu unaona ulivyo muongo sasa hahahaha for the record miye i dont drink alcohol....see huna fact kazi kuzusha tuu kichwa kama samaki.
 
Buraza,
Usimsikilize huyo mnyalukolo...hajui chochote zaidi ya fwact kwamba kuna siku alinunuliwa kinywaji club na huyo criminal, basi anaona ni mshkaji waaake!! Ipo siku na yeye tutamsikia hapa...dunia ya leo si ya jana! mwe!

wow wow wow...hold up....you mean hiyo jemba ilimnunulia drink my cupcake?
hey cupcake, we need to talk....
 
you know i look out for my cupcake....soon nitaanza kurusha uppercuts na hooks...we ngoja tu...they are stepping over the line sasa and hommie don't play dat

Did you all hear that?!.....dot mess up with me!...you better watch what you write.
 
wow wow wow...hold up....you mean hiyo jemba ilimnunulia drink my cupcake?
hey cupcake, we need to talk....

Dont listen to huyo mzushi!....sijui hata anaongelea nini...unless ananifananisha me since when nakunywa unless anaongelea maji?...
 
Mwawado hawezi kuleta uongo. After all jamaa yuko ndani kweli.
 
Last edited by a moderator:
Mwawado hawezi kuleta uongo. After all jamaa yuko ndani kweli kwa sababu ambazo bado haziko disclosed.

And your point is??..........anyways dude alikuwa suppose kusubiri hadi case iwe disclosed ndiyo aongee lakini kama huna proof of anything then dont say it in public...unaleta utatanishi....did you get the point?....hii habari aliyoleta hana uhakika nayo ila ni kasikia tuu kutoka kijiweni you hear me?!! ...case closed!
 
Wewe hebu acha kufagiliya kivuli...ok call whatever ila mzushi ni wewe ambaye unangangania kujua habari za watu then zikusaidie nini kama vile unamsaidia kulipa bills zake...hebu get a life kwanza...mimi nitakuaje mzushi? what i do ni kutoa fact kuwa acheni kuzusha huyu aliyeto ahii habari ni kazusha na anajua kazusha ndiyo maana hataki kutoa jina na anajua siyo valid story...i dont need to substanciate shit kwako and then what?....Nimeshakuuliza utamsaidia kulipa hiyo half of his bond nikishakwambia kafanya nini?....

ooh god unaendelea kunitapisha...lord have mercy on you and yourself really talk

Ndugu yangu Kelly01 naomba uniwie radhi kama hii thread kwa namna yoyote imekukwaza.Napenda kusema tena kuwa habari iliyoandikwa ni kweli,na Huyu jamaa ni mtu wangu wa karibu......haikuwa nia yangu kuileta habari hii kwa ajili ya kuchochea matusi na kashfa!! Believe me kuna watu humu wamekuwa wanafuatilia kwa ukaribu na wengine wamediriki mpaka kutoa ushauri wa kisheria.Naomba usichukulie hii kama ni kumdhalilisha Jamaa,kwa kuwa mmemfahamu jina lake,naomba mfuatilie kwenye link nitakayoiweka hapo chini,na ikiwa hufahamu jina la Mtuhumiwa search case kwa kutumia case# 3D00223373.

Ingia:
Montgomery County Judicial Center, Circuit Court

Browse mpaka mahali palipoandikwa;
Montgomery County Judicial Centre, Count Court.

Baada ya picha ya Jengo la Mahakama angalia chini utakuta
MD Case Record Search

Tick: Kukubali Terms/Condition na click Continue.
Andika jina la Mtuhumiwa utapata mashtaka yake yote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom