Mtanzania wa kwanza kuwa profesa

Sio kweli, najua mtabisha lakini find out na utakuta kuwa "huyo Malima wenu" hata hiyo Doctorate ya
SABABU MUISLAM
 
Atleast kidogo wewe unaonekana una akili na upo serious.Mtu anauliza swali wengine kazi yao ni utani 2.

Just to Remind......HOME OF GREAT THINKER,,,,Let us think Big and contribute,if u don't know read and leave it.
 
wana jf mbona hamtoi majibu ina mana wote hamjui? au ili swali nilihamishe jamii intelijensi
 
Proffesor Kanywanyi-Miaka ya mwanzo ya sitini

Professor wa kwanza Watanzania naamini walikuwa Professors Arnold Temu and Isaria Kimambo in History. I think they became professors in early 1970s [1971?]. Before 1973 UDSM had the ranks of full Professor/Reader/Senior Lecturer/Lecturer/Assistant Lecturer. However from July 1973 this was changed to Full Professor/Associate Professor/Senior Lecturer/Lecturer/ Assistant Lecturer/Tutorial Assistant. Quite a number of people who were promoted to Associate professpor were called Professors. Kwa hiyo kuna haja ya ku tofautisha kama huyo uliyemtaja alikuwa Associate Professor or full Professor. Kulikuwa pia katika miaka ya 1974 mpaka 1981 watu walifanywa ma-professor kwa sababu ya mishahara yao - wengi wao walikuwa ni ma PS waliohamishiwa UDSM kutoka serikalini [e.g. Professors Machunda/ Kombo etc]. Baada ya 1981 vijana wadogo waliokuwa wanarudi kutoka masomoni nje ya nchi na PhD zao walishinikiza mfumo huo wa kuajiri ufutwe.
 
huyu ndie mbaye nilipata kusikia alikwenda kuufanyia uchunguzi mwili wa Sokoine akapata uchizi?
Hakupata uchizi. Tatizo nadhani ni kunywa pombe Kali kupita kiasi. Jambo lingine ni baada ya kifo cha mtoto wake aliyetarajia kumaliza masomo ya degree ya pili ya udaktari, professor alikuwa kama mtu aliyechanganyikiwa na hasa siku ya burial ceremony wakati desertation ya marehemu inasomwa.
Sasa hivi yupo vizuri sana, anaishi Marekani na anapendeza.
 
Wanajumuia,

Familia ya Professa James Shaba inasikitika kuwatangazia kuwa Mzee wetu Professa James Shaba amemaliza safari yake hapa duniani. Mzee wetu ametutoka jioni ya leo huko Marekani (Central Eastern Time) Chicago. Habari zaidi za maandalizi ya mazishi zitatumwa baadaye. Mzee alikuwa akiuguzwa na watoto wake Stella na Anale Shaba kwa muda mrefu. Mungu aipumzishe roho ya mzee wetu mahali pema peponi.

Kwa mtakawatoweza kuawasiliana au kwenda kuwaona Stella na Anale Shaba (Watoto wa Marehemu) na Wana Chicago wenzetu mnaweza kusailiana nao kwa kupitia namba ya simu hapo chini au kwenda kuwaona nyumbani kwao:

Anale Shaba: (847) 525-9224
4151 N. Richmond
Chicago, IL 60618

“Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe.”

NB: Uongozi wa TCA tutaendelea kutoa updates.
 
Back
Top Bottom