Aingizwe kwenye Guiness World Record. Itakuwa zawadi tosha!Ndio wa kwanza kuupanda hadi kileleni na kurudi salama. Ni achievement ya hali ya juu na anastahiki zaidi ya box la maziwa.
hivi nikwel huyo ndo wakwanza,
au ye ndo wakwanza kutangazwa
Mi nshapanda mara kibao, napenda sana kumkiss demu wangu pale juu kileleni. Kipya hapa ni huyu jamaa wanayemtangaza. Wangesema Mtanzania wa kwanza kupanda mlima Everest bila sababu za msingi
Ndio wa kwanza kuupanda hadi kileleni na kurudi salama. Ni achievement ya hali ya juu na anastahiki zaidi ya box la maziwa.
Alienda kuwakilisha Tanzania au mkoa wa Kilimanjaro? I thought tungeuliza Tanzania tumemfanyia nini!
Wewe sababu zako zilikuwa kwenda kujamba tu huko juu na kurudi au sio?
Wewe ulitaka apewe nini mkuu, tigo?
Kila watu wana namna yao ya kupongezana na wao wameona iwe hivyo kama ishara ya kumrudishia afya. Labda nikuulize swali; alipoondoka kwenda huko KILELENI (ambapo mimi na shemeji yako tunafika kila tunapokutana kwenye mambo yetu) aliagana na watu hawa ambao unawashutumu kuwa hawajampongeza vya kutosha?
Yule jamaa aliyemnasa Mzee Rukra makofi si ni mtanzania wa kwanza kufanya hivyo, je ulimpa nini? Au amekutuma uje kumpigia debe baada ya kuona watu hawashobokei mambo yake ya kupanda milima?
Jinsi maisha yalivyopinda na dhiki kuwaandama wananchi, jitu linakurupuka na mambo ya milima hapa.
NDIO. Na kwa sababu kujamba ni shughuli yangu binafsi sikuwa na sitakuwa na haja ya kuunda tume za kudai zawadi as if ulikuwa mpango wa pamoja. Sasa wewe hiki kiherehere chako kinaletwa na nini?
Ni mwenyewe kakutuma au unashoboka tu?
Zomba wewe kama sio mwana CCM basi uko addicted na siasa zao maana kila kitu unafikiri sherehe na zawadi tu, Kilimanjaro hawako kama Mikoa mingine wakivuna mdundiko na sangura kila mtaa ili mradi wamepata sadolin moja ya mpunga kwahiyo inatakiwa iliwe iishe. Wale wako kimikakati zaidi na ndio maana kila ukitaja wenye maendeleo yasiyohusishwa na ufisaadi watano wachaga watakuwa watatu na mhindi mmoja na aliyebaki ndo mikoa mingine. Jifunze walichokifanya acha kulazimisha unayoyazoea ambayo bado yamekupa maisha duni mpaka sasa