Mtanzania mwenzangu kwanini unampenda rais wa marekani obama?

Ametoa mabilioni ya pesa kwa ajili ya umeme vijijini maarufu kama "power Africa", wadanganyika wanadanganywa eti ni juhudi za Muongo, lakini nasikia wajanja wameziscrew
 
Mi nampenda kwa sababu ya dege lake lile air force 1, nalipenda sana lile dege kwa hiyo sio mbaya kumpenda mpandaji
 
Back
Top Bottom