mbogoshi ya boganga
Member
- Jan 24, 2012
- 32
- 21
Wapendwa Ndugu zangu Watanzania,Naomba tuangalie kwa umakinisana swala la udini, hili swala liliibuka baada ya uchaguzi na wakati wauchaguzi uliokwisha,Na mbaya zaidi. Viongozi wakubwa wa nchi waliliongea mbeleya umma,haya yanayotokea sasa ni madogo kuna makubwa zaidi kuhusu udiniyatakuja.
Ewe Mtanzania jiulize maswali haya kabala ya kuchukua hatua zozote zakidini
· Jiulize katika historia hizi dini zilikuja kwasababu gani?
· Je tangu umekuwa muumini wa dini fulani ni mambomangapi umefaidika nayo ya maendeleo out of imani?
· Jiulize mababu zetu kwanini wao walikuwawanagombania ardhi na mifugo tu na wala sio vyanzo vyao vya kuabudu?
· Jiulize hawa walioleta hizi dini huku Africa jebado wao katika nchi zao wana mijadala ya kidini?
· Ni kwanini nchi zenye rasilimali nyingi zaafrica ndio udini unachochewa ili watu wapigane?
· Jiulize hizi dini zililetwa kwa dhamira gani?
My Note:
· Hawa jamaa waliondoka kwa kinyongo sana ktk nchi za kiafrica, sasa wakatafuta mbinu za kurudi tena wanyonye rasilimali tulizonazo. Wakaja kwa na style ya MULTPARTISIM, kuna baadhi ya nchiziligawanyika kwa sababu ya mambo hayo,na kuna baadhi ya nchi zinapigana mpakasasa kwa sababu ya hiyo.
· Wamekuja na UDINI sasa, wakiona nch iko stablepolitically wanatafuta njia ya udini ambayo ndio naona TZ tunaelekea kuingiakwenye hilo shimo, Mungu atujalie tufaulu mtihani huu.
· Watakuja tena na UKABILA, hii ndio mbayasana,NAWAOMBA WTZ WOTE TUONE KWA MACHO MAWILI HAYA MAMBO.