Mtanzania ameshinda Apps4Africa!!

Tanzania kuna wasomi ambao ni wabunifu lakini hawana muda ajili ya kuhangaika kutafuta shilingi ambayo inazidi kuwa ngumu. Lakini watanzania wanajulikana hivyo toka zamani. Hongera nyingi kwa Eric na wote wale wako katika harakati za kudumisha maendeleo ya taifa.
 
Back
Top Bottom